Nisaidieni mzungu kanipenda

Nisaidieni mzungu kanipenda

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
94
Reaction score
12
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya
 
Watu kibao wanauraia na wana maisha magumu kwa nini umuache mpenzi wako.Love na Uraia kazi unayo
 
unategemea ukipata mali moyo wako utaridhika,au unaandaa kaburi lako mwenyewe angalia usije ukawa mzinzi maisha yako yote kwa sababu hukumpenda mzungu wa watu.
 
Utaishije na mtu usiyempenda??? Kwa hiyo ukiambiwa uwe Freemason kwa sababu maisha ya Bongo ni magumu utakubali???
 
Kwa hiyo huko tayari kuwa mama wa nyumbani? unategemea kukaa milele bila kazi?huna mikono?

kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya
 
Naomba nielewesha kidogo Natalia i mean mie nafikiria my life naona hii ni kama opportunity ya kutoka hebu niambie kiundani ugumu unakuja wapi once nikiwa nae huku europe
 
Last edited by a moderator:
Acha mashauzi wewe. Stori kama hizo zinawafaa akina Shigongo. Nakushauri urejee Bongo ili uhenye na huyo mpenzi wako akupige kibuti baada ya kujua hukuja na kitu. Pia nakushauri ukae na huyo mtasha akutumie kama shamba boy na sex machine. Kwa ufupi hapo una mikuki miwili. Amua mwenyewe kwa vile maisha ni yako na si yetu. Ni ushauri na mtazamo tu.
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya
 
Hakuna mapenzi kuna kudanganyana tu.
Neda kamdanganye mzungu ili utengeneze maisha ya baadae

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
muunganishe kwa dogo yoyo ..huyu dogo inabidi aende ulaya one time akaoshe
 
Last edited by a moderator:
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya

Ni dalili ya kutaka kuwa mtumwa!
Haya kazi ni kwako!
 
Usipomsikiliza Natalia hata waje wafu hautowasikia.
Alamsikh.
 
Last edited by a moderator:
Listen to your heart buddy...asikudanganye mtu bwana kwenye maisha magumu hata mapenzi hakuna!
Go for that muzungu and have those 'makaratasi'....chezeya US wewe!!
 
Back
Top Bottom