Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Huyu jamaa ni muongo mi nimetoka mwanza jumatatu hii kwenda Arusha mbona ni uongo mtupu kutokea usagara-buhongwa-mkolani-nyegezi-bohari-mkuyuni-voil-mwanza south hadi NATA hakuna barabara yenye mashimo,mbona kila sehemu hili lipo dar barabara nyingi za mtaani ni lami chini ya kiwango labda tu kuhusu taa barabarani zimetolewa ili kupunua barabara kwani hta ukifika MISSION-GHANA-KONA YA BWIRU-NYAMANORO-PASIANSI-ILOGANZALA-SABASABA-ILEMELA hamna taa pia magari yte yanaenda na form maalumu lazima wakifika singinda wagongewe mhuri na traffic na wakifika pia mwanza hivo hivo labda mkuu ulienda na gari LA mizigo sio basi huo ni UONGO mabasi yte ya dar,arusha,Moshi yanafika usiku
 
Hakuna jiji jingine wenye daladala nzuri ukitoa dar kama Mwz Arusha wanatumia vile vifupiiii lakini mwanza ni zile superroof na coasters so ukifika Arusha utashangaa sana barabara ya MBAUDA-OLJORO FFU- KWA MOROMBO ni mbaya kupindukia mashimo ya ajabu wewe sizani kama hta DAR ulishawahi kufika
 
Wewe ndo una matatizo mkuu, sisi sio watz wote. REASON; hii inaitwa "impeachment of credibility of witness' evidence".

Ndo maana ukiwa mashaidi utakutana na maswali km balozi wa eneo lako anaitwa nani? n.k lakini kesi ni kumgonga kwa pikipiki na kumuumizi msafiri kwa miguu.

Basi gani ya kufika Mwz sa 1 jion (19hra) tokea jiji la Makonda?? Huoni kuna rise doubts??

Wanaohusika na uhamiaji tunaomba mumfuatilie huyu bwana
 
Pale pamba road kuna shimo kubwa hilo hata nguruwe akijificha umuoni, lakini tuache utani pale malikusema pana michemsho ya kuku ya kufa mtu
 
Ukienda Mwanza na bus lazima upaone pa ajabu. Kwanza umefika umechoka. Pili kama huna wenyeji utaona kero pia. Mwanza nimeenda kama mara nne na sikukaa sana ila napakubali sana
Tatizo yeye kafika usiku, katoka Nyegezi hadi Natta, kumbuka hapo ataishia kuona maduka ya wahindi tu barabarani.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kwani hata hapa Dar kuna stendi ya mabasi unayoweza kujivunia? Pathetic.
 
Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Hata kama ni jiji lakini uongo mwingine umepitiliza hakuna bus la kufika Mwanza saa moja from Dar unless umetoka dodoma... hata yasiyolala njiani yanafiki kuanzia saa sita usiku
 
Hata kwenye mitihani hivyohivyo wanaoteza muda kujibu swali lisilo ulizwa
Wewe nae walewale, mtoa maelezo kajichanganya halafu nawe unajichanganya humohumo kuanza kujibu..Nyie ndo huwa mnakurupuka kujibu bila kuelewa.
 
Wanaohusika na uhamiaji tunaomba mumfuatilie huyu bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wao waje watanikuta, niwa_impeach, maana hata hiyo phrase uliyowekea RED COLOR mimi sikuandika hvyo rejea post usome kwa makini. Wakuunganishe na wewe km (PW1) nione km utajib maswali yangu kwa kwa sahihi ukiwa kwenye WITNESS BOX.
 
Punguza big expectations, hata mbingun sidhani kuna shopping mall kama mwanza,ila kwa kisoda kimoja cha akili yako unaonekana ukadhan mbingun ni over new York city.tafakari
 
Sema mtoa post punguza uongo toka nyegezi mpaka Nata sehemu yenye mashimo ni pamba road tu tena kipande kidogo halafu viroba vya taka mbona unakua muongo... bara bara uliyotaja hainaga takataka katikati hata siku moja... by the way bora daladala za Mwanza kuliko mwendokasi wa Dar.
Kwanza Mwanza ukiwa na kipato cha kawaida unaishi kama mtu lakini Dar usipokuwa na pesa utaishi kama shetani.
 
Mwanza ni njema, kiukweli sema huyu jamaa kaongeza chumvi. Kiu kweli Bara bara ya Pamba utazani hakuna halimashauri ya jiji kama siyo Tan Road, Lumumba nayo ni kichefu chefu sijui kama ndo sehemu ya kupigia hela au kitu gani. Mbunge wetu Mabula kama vile hayupo.
 
Ndo kitu nilitaka kumjibu bora umemjibu ww mimi lingefuatia bonge la tusi sema basi tu
Kaandika ili watu wajue yupo mwanza
Yaani kiufupi lijamaa ni liongo East Africa nzima hakuna.Mwanza ni mji wenye town bus za kiwango na hakuna mashimo kama anavyojaribu kusema.hili jamaa litakua limetokea Ovada huko Kondoa
 
Back
Top Bottom