Kimpango wako rudi ulikotoka huko hakuna chipsHabari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi
Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa
Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza
Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki
Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara
Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Sio SAA Moja lakini. SAA sita.
Tz hakuna jiji yote ni ujinga tu majiji yapo mbele
Alisema dar lux iliingia saa 1:23(moja dkk 23 usiku) inawezekana?Kwan mm nimesema saa moja ama saa sita? Yy kaandika hakuna mabasi yanayo toboa ndio nikampa baadhi ya mabasi hayo. Hakuna sehemu nimeandika kuhusu mda.
Hapana kuna bus zingine zinafika kutokana na muda.
Ndo kitu nilitaka kumjibu bora umemjibu ww mimi lingefuatia bonge la tusi sema basi tuAcha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?
B
Best line nayo iko vizuri saa tano mpk sita usiku hakuna kulala njiani
Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi
Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa
Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza
Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki
Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara
Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Hata Morogoro hawezi kufika saa mojaBasi la kuingia mwanza saa 1 usiku mmetokea morogoro au?!
Si kweli mtakuwa hamuijui MwanzaKutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
Alisema dar lux iliingia saa 1:23(moja dkk 23 usiku) inawezekana?
Kama litafika siku hiyo siyo saa mojaHapana kuna bus zingine zinafika kutokana na muda.
Wewe ndo una matatizo mkuu, sio sisi watz wote. REASON; hii inaitwa "impeachment of credibility of witness' evidence".Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Hata kwenye mitihani hivyohivyo wanaoteza muda kujibu swali lisilo ulizwaWatanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Tatizo siyo kujadili tatizo ni kusema uongoWanapotezea kisa hawataki tuijadili Mwanza