Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

jamaa kaacha bomu na kutoweka, naona watu wa mwanz wanajitahidi kuliteguaa.
Hahahaaj
 
anachosema mleta mada yupo sahihi kabisa hata mimi mara ya kwanza kufika sikuamini kama ndo lile jiji nalosikia linasifiwa sana na akinangosha, Ni mji mdogo sana na haujapangwa kabisa ukielekea buzuruga angalia apo mabatini huamini kama upo mjini tena, kweny usafir wa public ndo kituko hapo kuna vigari vinabeba abiria apo mfano Kihesa,airpot ni aibu. kweny suala la stand ndo wamepitwa hadi na singida. huwezi kulinganisha stand zote mbili na stand kuu ya singida. niliona hili nikapiga kimya kumbe na ww umeyaona. mje hapa

Akhsante saaaaana ndugu
Tatizo watu wameshupalia Muda mie nilimaanisha saa Saba usiku

Mwanza uisikiayo kwenye Radio sio hii ambayo utakumbana nayo kwenye vi hiace vilivyo chokaa
Pia ikumbukwe hatushindani kwa mihemko toa mifano ilo hai
Nenda mabatini, mecco, buzuruga uwiiiiiii Ile sio stand ni sheeeeeda tupu
Pia hakuna vituo vya daladala tizama Natta hapo alipo Zuberi anashindwa na shabib dodoma ingawaje isha bomolewa
Viongozi wachukue hatua hilo taa za barabarani ziwake na simaanishi za kuongozea magari
Hongera kaka Makonda kwa dar es Salaam mpya
 
Pia kama umeishi dar halafu ukasema daladala za mwanza zinajaza abiria, nina wasiwasi na wewe. Maana kama kuna daladala za wastaarabu ni mwanza.
 
Akhsante saaaaana ndugu
Tatizo watu wameshupalia Muda mie nilimaanisha saa Saba usiku

Mwanza uisikiayo kwenye Radio sio hii ambayo utakumbana nayo kwenye vi hiace vilivyo chokaa
Pia ikumbukwe hatushindani kwa mihemko toa mifano ilo hai
Nenda mabatini, mecco, buzuruga uwiiiiiii Ile sio stand ni sheeeeeda tupu
Pia hakuna vituo vya daladala tizama Natta hapo alipo Zuberi anashindwa na shabib dodoma ingawaje isha bomolewa
Viongozi wachukue hatua hilo taa za barabarani ziwake na simaanishi za kuongozea magari
Hongera kaka Makonda kwa dar es Salaam mpya

Pamoja Mkuu. acha vijana walioishia bariadi na lamadi waone mwanza ni Half London...Apo Buzuruga wala usinikumbushe tena Mkuu zacharia tu anaijaza hiyo stand..
 
Sorry wadau nilimaanisha saa 7 usiku
Afu watu hubisha bure Ila ukweli waujua ktk mioyo yao
Kwenda zako bwana, nawe ukweli waujua wewe kama ulipita tu ukielekea Magu.
 
Huyu jamaa anaongea kama amekatika kichwa, nyegezi ni sehemu gani kuna mashimo? Acha kudanganya umma,
 
Pugu road viwanda viko mbali na barabara?
Huwezi fanananisha viwanda vya pugu road (kipawa, vingunguti, tazara etc) na namna viwanda vya Mwanza vilivyo.

Viwanda vya pugu road (dar)
1. Kuna space/distance kubwa sana kutoka barabara mpaka viwanda vilipo, kwanza kuna service road baada ya barabara ndipo unakuta kiwanda/viwanda.
2. Barabara ya pugu road ni four ways
Na ina eneo la kutosha kupita gari, watembea kwa miguu, baiskeli, bila kusahau service road.

Viwanda vya Mwanza (kuanzia mkuyuni)
1.barabara ni finyu mno, huwezi hata Ku ova take kutoka na aina ya barabara yenyewe (narrowness). Ukiwa maeneo ya Pepsi then kukatokea ajali hakuna option nyingine ya kufika mjini mpaka urudi usagara then upite njia mpya ya kisesa uje utokee kisesa, ndio uje igoma, nyakato halafu town.

2. Njia za Mwanza hasa maeneo kuanzia mkuyuni ambayo ndio njia kuu ya kuingia katikati ya mji ni double road (moja kwenda na nyingine kurudi) hakuna njia ya watembea kwa miguu pia njia INA mashimo sana hasa maeneo ya njia panda igogo mpaka sahara.
 
Habari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi

Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa

Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza

Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki

Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara

Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Mkuu Stand za mabasi ya mkoa na mkoa ziko Moshi, Morogoro na Iringa kwa mbali lakini kwingine ni majalalani tu hata hapo UBT ni jalalani tu heri mara 100 Stand ya daladala Mbezi mwisho. NI hihivyo tu mkuu hata mimi nilishawahi fika hapo nikawa siamini kama ndio nimefika Mwanza nikadhani nipo Chato
 
Tuondoleeni kelele ninyi nendeni hata kwa Mandela "Bondeni" au south Africa mkaone nini maana ya Miji Na Majiji.

Sio wewe uko Mbagala,Manzese,Keko,Tandika,Tandale na Mabibo unajiona uko "Half London" na kumdharau MTU wa Mwanza.

Mimi nimekulia,kusoma na ninaishi Dar. Ukiondoa maeneo mengi ya wilaya ys kinondoni na Ubungo + Maeneo mapya yanayojengwa makazi ya kisasa sehemu zingine zote zilizobakia katika wilaya ya kinondoni huwezi kumcheka MTU wa mikoani. MTU anaeishi Ipuli - Tabora kuna Nyumba nzuri na mitaa mizuri kuliko MTU anaeishi tandale au Manzese au Mabibo au Mburahati na Keko.

Kiukweli Tanzania kwa ujumla hatutofautiani kwahyo acheni dharau
 
Dah nilitaka kwenda Mwanza weekend moja ila kwa hii thread imenikatisha tamaa
 
Ingekua rami na usafi ndio vigezo vya kuwa jiji basi moshi ingetangulia kuwa jiji kabla hata ya arusha na mwanza
 
Wewe ndo una matatizo mkuu, sio sisi watz wote. REASON; hii inaitwa "impeachment of credibi352002071552806lity of witness' evidence".

Ndo maana ukiwa mashaidi utakutana na maswali km balozi wa eneo lako anaitwa nani? n.k lakini kesi ni kumgonga kwa pikipiki na kumuumizi msafiri kwa miguu.

Basi gani ya kufika Mwz sa 1 jion (19hra) tokea jiji la Makonda?? Huoni kuna rise doubts??
 
Acha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?
Mkuu una chembechembe za uana siasa,
Unavyoitetea hoja yako bila shaka angekuwepo jirani mleta mada siajabu ungemnasa Bakora.
 
Mkuu una chembechembe za uana siasa,
Unavyoitetea hoja yako bila shaka angekuwepo jirani mleta mada siajabu ungemnasa Bakora.
Sina siasa wala sipendi siasa maana siasa ni uongo na sipendi kudanganya.mleta mada ni mtu fulani tu hivi aliyezaliwa kijijini na kuhamia Dar kisha na kuigeuza Dar kua ndo nyumbani kwao.
 
Huyu chalii haijui mwanza,labda kama anaishi New York HAPO SAWA AKIISHANGA MWANZA,LAKINI KIBONGOBONGO MWANZA NI BONGE LA MJI KUSEMA UKWELI
 
Huyu chalii haijui mwanza,labda kama anaishi New York HAPO SAWA AKIISHANGA MWANZA,LAKINI KIBONGOBONGO MWANZA NI BONGE LA MJI KUSEMA UKWELI
hivi ukiacha dar,mwanza utaifananisha na mji gani kibongo bongo?basi kiunafki utasema arusha haya toa arusha utaifananisha na mji gani uliobaki kwa tanzania hiii?
 
Tuondoleeni kelele ninyi nendeni hata kwa Mandela "Bondeni" au south Africa mkaone nini maana ya Miji Na Majiji.

Sio wewe uko Mbagala,Manzese,Keko,Tandika,Tandale na Mabibo unajiona uko "Half London" na kumdharau MTU wa Mwanza.

Mimi nimekulia,kusoma na ninaishi Dar. Ukiondoa maeneo mengi ya wilaya ys kinondoni na Ubungo + Maeneo mapya yanayojengwa makazi ya kisasa sehemu zingine zote zilizobakia katika wilaya ya kinondoni huwezi kumcheka MTU wa mikoani. MTU anaeishi Ipuli - Tabora kuna Nyumba nzuri na mitaa mizuri kuliko MTU anaeishi tandale au Manzese au Mabibo au Mburahati na Keko.

Kiukweli Tanzania kwa ujumla hatutofautiani kwahyo acheni dharau
tanzania bado sana hivi ukiacha dar(baadhi ya sehemu),arusha (city centre,njiro moshono kidogo),mwanza (city centre,capri point,bwiru and the like) sehemu zilizobaki tanzania kweli wanachekana?
 
Back
Top Bottom