Acha kudanganya watu kutoka Dar kwenda Mwanza ufike sa1 katumia usafiri ganiKutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
atashangaa unaona bango la karibu mbeya jiji kule nanenane jeshini , kisha utasuburi kuingia jiji mpaka utakapo kutana na bango la karibu tena mbeya hapo kule chini mbaliizi,ndo utajua mbeya ni mbeaKama unaishangaa mwanza kuwa jiji siku ukifika mbeya itakuwaje?
Umetishaatashangaa unaona bango la karibu mbeya jiji kule nanenane jeshini , kisha utasuburi kuingia jiji mpaka utakapo kutana na bango la karibu tena mbeya hapo kule chini mbaliizi,ndo utajua mbeya ni mbea
ingawa kwa kujengwa vijumba amazing papo kam huko thay, porini nk



Huyu jamaa anaongea kama amekatika kichwa, nyegezi ni sehemu gani kuna mashimo? Acha kudanganya umma,
hahaaa mbeya nzima nimezunguka palipo nishawishi kidogo ni kabwe tu huko kwingine big no...in short huwezi itambua hali ngumu ya maisha waliyonayo watanzania kama ukiwa nimtu akuishi dar tu pasipo kutoka na kwenda mikoani
LA laaa laaa huko ndio usiseme kabisaa ...huko kama vile pamesuswa na taifaSasa mara kumi ya Mbeya ila Kigoma ndo mwisho wa mshangao. Waha waliojaa Dar lugha ndefu kujifanya wajanja kumbe kwao ni zero gravity.....shida kweli kweli.
LA laaa laaa huko ndio usiseme kabisaa ...huko kama vile pamesuswa na taifa
kumbe wajua kuwa kule kuna uchawi eeehhh daaahhh kuna uchawi wakutisha mnooo ...zito hawezi kumudu idadi kubwa ya wajinga waliopo kule ..ili waweze kutoka katika hilo tabaka laujinga kigoma inahitaji kuwa na kina zito zaidi ya 10Ulishaona enheeee, Kigoma shida kweli...sijuwi Zitto anawasadia vipi watu wake, yaani hawajielewi na wako hovyo mno. Pengine ndiyo maana wanaendekeza sana uchawi kwa kukosa la kufanya.


kumbe wajua kuwa kule kuna uchawi eeehhh daaahhh kuna uchawi wakutisha mnooo ...zito hawezi kumudu idadi kubwa ya wajinga waliopo kule ..ili waweze kutoka katika hilo tabaka laujinga kigoma inahitaji kuwa na kina zito zaidi ya 10
MmmmhKumi tu, mbona unawadharau ndugu zetu? Kigoma inahitaji watu dizaini ya Lipumba kama milioni hivi zaidi.
Wana mwanza hao mkuu wakiwa katika utetezi uliotukuka wa jiji lao!Watanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
saa yake kaiandika kiswahilinila anataka tuisome kizungu ni saa saba usikuMuulize mwandishi kwa nini alitaja muda kwenye makala yake? Members wanatumia muda kama ku-cross check ukweli wa kilichoandikwa.
Uongo mtupu, mashimo ni kwenye daladala zinapopita pale stand lakini kule kwenye destination ya mabasi hakuna mashimo. Kama huijui Mwanza ukae kimyachief ile barabara ambayo gari za buhongwa zinaingia kuchukua abiria wa nyegezi stand ina mashimo balaa nahisi haupo mwanza kwa muda mrefu,stendi ya nyegezi ina mashimo ya hatari
Uongo mtupu, mashimo ni kwenye daladala zinapopita pale stand lakini kule kwenye destination ya mabasi hakuna mashimo. Kama huijui Mwanza ukae kimya
Majiji mengi hapa Tanzania hayana hadhi ya kuwa majiji kwa sasa