kama hujawahi kuizunguka dunia lazima uione kuwa ni nzuri ...handsome wakijiji huwa huwa ana geuka kuwa shamba boy pindi afikapo mjiniAcha kuiponda mwanza yangu ww dah ......yaan mwanza ni mbaya hebu tuombe radhi maana mji uko poa sana mkuuu
Msibishane na huyu yaweza kuwa hayupo mwanza tuliyopo sisi utoke dar hadi huku ufike sa moja labda amepanda bas linalopaa hewanHilo basi lililala njiani?maana hakuna basi linalotaka Dar na kuingia muda huo Mwanza.Ni lazima kulala Nzega au Shy.
niKama nimeweza ishi dar miaka yote bas naweza ishi mji wowote tz kumanin.a,,..yaan mi nje ya dar naonaga ni machakan tuu,hahahah hata useme wap,nmeish arusha,mwanza,tanga,mbeya ,iringa kootr huko naona machakan na ndomana hata bei ya mdudu huko kotr iko chin tofaut na dar,..dar mdudu bila elf12 hujala ila huko kwenu had jero mdudu unakula
Hata inayotokea morogoro haifiki muda huo.....huyu muongoBasi la kuingia mwanza saa 1 usiku mmetokea morogoro au?!
Niko mwanza kweli kaka ulichokiongea, jiji la mwanza sasa hivi linazidi kupunguza kiwango kabsa.
Wapi umetukanwa?Naona Vijana wanaotoka JIJI la mwanza mnavyorusha Mitusi na kejeli. Ila msisahau baada ya maneno meengi ukweli upo pale pale Mkoa lilipo jiji ni Mkoa fukara zaidi tanzania licha ya kubebwa kwa kila hali na serikali na ikumbukwe kwamba Mwanza ingestahili kuwa mbali zaidi kwa kuwa ni center ya kanda ya ziwa yote lakini kinyume chake imesalia kuwa center ya umasikini wa kanda ya ziwa. Kwa taarifa tu Kanda ya ziwa ni kanda ya kwanza kuwa na mikoa mingi zaidi masikini Tz kwa maana nyingine kanda hii ndio kanda masikini zaidi nchi hii. MATUSI yanadhihirisha ubovu wenu wa kuchambua hoja. POVU RUKSA!!
Unaweza kunipa tofauti ya muonekano kati ya Nyegezi stand na Ubungo?Nimeingia Mwanza Jumapili nikitokea Kahama na Frester.
Ni mara ya kwanza kufika Mwanza... Nilifika saa 3 kasoro hivi Usiku
#1. Nyegezi nilikutana na giza... Hakuna muonekano wa stendi kuu
#2. Mwanza ni chafu kila mahala.... Kituo cha Sahari kiko hovyo n.k.
#3. Mwanza haina muonekamo wa Jiji.
Nimeondoka leo kurudi zangu Kahama...
Kabwe kwenyewe hovyo tu,hahaaa mbeya nzima nimezunguka palipo nishawishi kidogo ni kabwe tu huko kwingine big no...in short huwezi itambua hali ngumu ya maisha waliyonayo watanzania kama ukiwa nimtu akuishi dar tu pasipo kutoka na kwenda mikoani
hahaaa angalau aiseeKabwe kwenyewe hovyo tu,
Vp Kahama bado mnachunga Ng'ombe,Mbuzi,Kondoo pale katikati ya mji?Nimeingia Mwanza Jumapili nikitokea Kahama na Frester.
Ni mara ya kwanza kufika Mwanza... Nilifika saa 3 kasoro hivi Usiku
#1. Nyegezi nilikutana na giza... Hakuna muonekano wa stendi kuu
#2. Mwanza ni chafu kila mahala.... Kituo cha Sahari kiko hovyo n.k.
#3. Mwanza haina muonekamo wa Jiji.
Nimeondoka leo kurudi zangu Kahama...
Mwanza watu wanaingia saa 7 usiku acga uongo wwKutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
niKama nimeweza ishi dar miaka yote bas naweza ishi mji wowote tz kumanin.a,,..yaan mi nje ya dar naonaga ni machakan tuu,hahahah hata useme wap,nmeish arusha,mwanza,tanga,mbeya ,iringa kootr huko naona machakan na ndomana hata bei ya mdudu huko kotr iko chin tofaut na dar,..dar mdudu bila elf12 hujala ila huko kwenu had jero mdudu unakula
Kutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
Vipi mkuu ulimaanisha saa 7 usiku? Au saa 1
Vipi mkuu ulimaanisha saa 7 usiku? Au saa 1
Sorry wadau nilimaanisha saa 7 usikuVipi mkuu ulimaanisha saa 7 usiku? Au saa 1
Papai bichi wewe, rudi kwenuHabari zenu wadau
Ni siku yangu Ya pili hapa Rock City (Mwanza) kama inavyo julikana na wengi
Kwa wale wanao tamani kufika mwanza ambalo lisha tunukiwa sifa ya jiji miaka kadhaa sasa lakini jina hilo haliendani na sifa ambayo inapewa
Saa yangu inaonyesha ni saa 1:23 usiku ndani ya dar lux tunaingia mwanza, moyo unashtuka baada ya kuambiwa Nyegezi stand ndo mwisho wa safari, wakimaanisha tusha fika mwanza
Ni giza kila sehemu stand ya nyegezi kama dampo jamaaaani hakuna taa barabara imejaamashimo, taa za barabarani haziwaki
Tunatoka nyegezi twaelekea Nata ambako ndio mwisho wa gari jamaaaani city centre mashimo, viroba vya taka vimetupwa katikati ya barabara
Hiyo ndio mwanza unayo isikia
Pana pambazuka asubuh najiandaa kwa ajili ya mishe ilo nifikisha uuuuuwiiiiii daladala zimechoka, na zinajaza balaa, vituo havieleweki kama vile hakuna mkandarasi wa jiji
Je mkuu wa mkoa hayupo au hajifunzi kutoka kwa Makonda
Samahan mkuuu. N mza au mwanza??? Dizain kama sjakuelewaAcha uongo.Tuache na mza yetu,ukimaliza yaliyokuleta sepa.Mza tangu lini basi lifike saa 1:23 usiku? Utakuwa ulitokea KIGOMA sio bure.
Kwani kasema anatokea Dar?Watu wqnatafuta uongo wake
Kutoka mwanza to dar unafika saa saba usiku kama mkishindwa kutoboa bas mnafika kesho asubuh yake
Huyu chalii wa chuga anatuzuga hata mwanza hakujui kaisoma tu kwenye magazet ya shigongo
ni wapi kasema katoka na basi la Dar?Wewe ndo una matatizo mkuu, sio sisi watz wote. REASON; hii inaitwa "impeachment of credibility of witness' evidence".
Ndo maana ukiwa mashaidi utakutana na maswali km balozi wa eneo lako anaitwa nani? n.k lakini kesi ni kumgonga kwa pikipiki na kumuumizi msafiri kwa miguu.
Basi gani ya kufika Mwz sa 1 jion (19hra) tokea jiji la Makonda?? Huoni kuna rise doubts??