Mwiyuzi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 846
- 432
Iko fresh. Ni nzuri kuliko window 7. Usiogope vitu vipya. Ukiizoea utamfuata jamaa kumuomba msamaha
Wakuu ahsanteni kwa ushauri wenu
Niliamua kuchukua Dell
Ram yake 4.00 GB
Operating system ni 64 bit
Ila kuna jamaa kaniwekea window10 mi nilikuwa nataka window 7
Kaniboa kweli nimemchana
Vipi wakuu mliowahi kutumia window 10 mnijuze mi nimezoea window 7