Mr.panya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 248
- 274
Wakuu habari, ninapoishi umeme upo vizuri tu sema unakatika baadhi ya muda kwahiyo nahitaji backup system lkn sitaki kuingia gharama ya kununua solar panel nataka ninunue battery za solar, charge controller na inverter hapo nakuwa natumia umeme wa kawaida wa Tanesco kuchaji battery za sola.
Umeme ukikatika nitumie battery kupower accessory zangu na umeme ukirudi nichaji battery yani kiufupi ni kama power bank. Je huu mfumo unawezekana au una mapungufu gani?
Kama inawezekana niwe na battery yenye Ah ngapi Vitu ninavyohitaji kutumia umeme ukikatika ni feni, taa moja, kuchaji simu na desktop pc