Ninunue HP au dell

Wakuu naombeni msaada

Weekend hii nataka ninunue PC

Nina laki tano mfukoni

Je kwa laki tano bidhaa gani bora nitapata kati ya HP au dell

Msaada wenu Tafadhali

Sijajua unataka laptop au desktop kwa upande wa desktop Dell utakuja lia tu ndugu,motherboard zao mbovu.sana.Nunua hp tu ziko vizuri halafu kingine pc za dell zina power kubwa umeme ukipungua tu kidogo zinazima.
 
Chief-Mkwawa vp tofauti kati ya hizi notebook zinazotumia SSD na zinazotumia HDD
ssd ni storage zinazotengenezwa na flash zinakuwa kimya sana na hazina part za kuzunguka wala kutembea, wakati HDD ni storage yenye disc (kama cd kwa ndani, na yenyewe zinapiga kelele kiaina na zinazunguka.

ssd ni nzuri zaidi na ina speed zaidi, laptop yenye ssd inawaka ndani ya sekunde kama 10 tu na ukifungua apps zinafunguka upesi upesi.

ila tatizo linakuja ssd ni ghali hivyo unakuta laptop zenye ssd inakuwa na storage kidogo mara nyingi 128GB au 256GB, gharama ya 128gb ssd unaweza ukanunua HDD yenye gb 1024 (1TB).

ili kupata faida ya vyote yaani speed na uwezo mkubwa wa kuhifadhi ni vyema kutafuta laptop yenye vyote, ssd na hdd, ssd hata ikiwa ni 128GB inatosha sababu humo unaeka tu operating system na program zako muhimu, mambo kama movie, audio, picha, documents yanakaa kwenye HDD.
 
Mkuu naomba tafsiri ya Maelezo haya kwani kuna laptop nimeinunua juzi na bado ipo ndani ya warranty nikaambiwa kama sijaridhika nayo naweza kuirudisha. Sasa uliposema masuala ya DXDIAG nami nikafanya ila kitaalamu maana ya information hizi sijui. Maelezo ni kama ifuatavyo. Kitakachomiss utasema niongeze au kufanya marekebisho na mwisho naomba ushauri kama yafaa au laah! Nimenunua kwa ajili ya kuandika project mbali mbali za kiofisi!

1. Computer name: laptop
2. Operating system: window 7 professional 32-bit (6.1 build 7600)
3. Language: English
4. System manufacturer: Toshiba
5. Bios: ver 1.00PARTTBLO
6. System model: satellite
7. Processor: genuine Intel (R) CPU T 2250@1.73ghz(2cpus)~1.7ghz
8. Memory: 4096mb
9. Page file: 744used; 5378mb available
10. Direction version:direct X 11
Name: mobile Intel(R) 945 express chipset family
11. Manufacturer: Intel corporation

Note: ltk window system ilikuwa 8 nikaomba installation ifanywe ya window 7!!!
Hayo no Maelezo ya ukurasa Wa kwanza baada ya kugonga DXDIAG

cc: wataalam wa ict wote karibuni!!!
Kimeo changu changu cha ofisi nimebonyeza kimeandika

Processor: Intel (R) Core(TM) i5-4200U CPU @1.60GHz (4CPU) ~ 2.3GHz

Memory: 8192MB RAM

Ngoja na mie nijifunze maana kuna kipindi nilitaka kununua PC yangu baada ya kupewa hii ikabidi nihairishe kwa muda mpka baadae kidogo

CC: shadownet
 
e04a918598d7c7b7fe39ee3047df03ad.jpg

Wakuu ahsanteni kwa ushauri wenu

Niliamua kuchukua Dell

Ram yake 4.00 GB
Operating system ni 64 bit

Ila kuna jamaa kaniwekea window10 mi nilikuwa nataka window 7

Kaniboa kweli nimemchana

Vipi wakuu mliowahi kutumia window 10 mnijuze mi nimezoea window 7
 
Laptop mkuu

Back
Top Bottom