Ninunue HP au dell

Mkuu naomba tafsiri ya Maelezo haya kwani kuna laptop nimeinunua juzi na bado ipo ndani ya warranty nikaambiwa kama sijaridhika nayo naweza kuirudisha. Sasa uliposema masuala ya DXDIAG nami nikafanya ila kitaalamu maana ya information hizi sijui. Maelezo ni kama ifuatavyo. Kitakachomiss utasema niongeze au kufanya marekebisho na mwisho naomba ushauri kama yafaa au laah! Nimenunua kwa ajili ya kuandika project mbali mbali za kiofisi!

1. Computer name: laptop
2. Operating system: window 7 professional 32-bit (6.1 build 7600)
3. Language: English
4. System manufacturer: Toshiba
5. Bios: ver 1.00PARTTBLO
6. System model: satellite
7. Processor: genuine Intel (R) CPU T 2250@1.73ghz(2cpus)~1.7ghz
8. Memory: 4096mb
9. Page file: 744used; 5378mb available
10. Direction version:direct X 11
Name: mobile Intel(R) 945 express chipset family
11. Manufacturer: Intel corporation

Note: ltk window system ilikuwa 8 nikaomba installation ifanywe ya window 7!!!
Hayo no Maelezo ya ukurasa Wa kwanza baada ya kugonga DXDIAG

cc: wataalam wa ict wote karibuni!!!
Mzee bei gani vile umenunua!!!!!
 
vitu vingi ndani ya laptop vinadumu miaka 10 na zaidi.
-cpu miaka 20 hadi 30
-ram nayo 20+
-HDD miaka kama 4 na kuendelea
-same kwenye motherboard zinakaa miaka na miaka

nenda maduka used zile laptop baadhi ni za miaka 10 na kuendelea, mfano angalia core 2 duo
-cpu ya mwisho ya core 2 imetoka 2010.
-cpu ya mwanzo imetoka 2006

hivyo unapoona laptop ya core 2 duo au quad inamaana ina miaka 7 hadi 11, hivi ni vitu vya kawaida kwenye computer kudumu hivyo.

kitu cha kuogopa kwenye laptop ni power supply aka adapter, ikizingua tu hio au ukitumia ambayo ni mbaya na umeme wetu huu wa bongo ujue una risk ya kuunguza vilivyomo ndani,

pia usipofuata maelekezo mengine vizuri kama vile kuziba feni hewa isiingie vizuri, kuacha iingie maji au hali ya hewa pia inaweza sababisha isidumu muda mrefu.
Huwa sihitaji zinazodumu milele kwakuwa nahitaji teknolojia mpua. Ukiwa na mashone nzee ujie hutatumia programs za kisasa na with time inakuwa imechoka hata kama ni nzima na mwendo kasi unaisha.

Mie huwa naangalia yenye LATEST SPECS na Endurance kubwa. Maana tunao RUN SCIENTIFIC MODELS na kutumia SCIENTIFIC SOFTWARES tunahitaji mashine YA KISASA NA YENYE NGUVU.

Kuhusu brands HP, SONY, DELL, na TOSHOBA wako vizuri. Sijawahi kutumia huyu LENOVO na kwa kweli kama unataka kuitumia mashine kwa kazi ngumu usinunue tofauti na TOSHIBA. DELL na HP. Huyo LENOVO anazidiwa uwezo na baadhi ya simu za mkononi. Nikimaanisha mfano ukichukia flagship ya lenovo yenye i7 na kulinganisha na flagship ya Samsung Galaxy utaona maajabu. Kwa wanoweza kuifanya simu kuwa kompyuta wamenielewa.

Wanaotaka vinavyodumu pasipo kuangalia ENDURANCE namba moja ni TOSHIBA akifuatiwa na DELL kisha HP.
 
Ndiyo maana situmii mashine zaidi ya miaka 5. Inakuwa outdated na perfomance hupungua.

Niwashauri wanaopenda kupeleka kwa fundi. Mafundi wengi wa kibongo ni waharibifu na wezi. Labda upate fundi mnayefahamiana. Mara tatu mafundi wameniharibia mashine zangu. Wa mwisho alilipa maana aliiba vifaa nikamkamata navyo kulikuwa na alama. Nikampeleka kwa pilato akaninunulia mpya niliyoitaka.
 
PC ni matunzo na jinsi unavyoitumia.
Kwangu mimi nje ya HP ntanunua Macbook Pro tu.
HP naziaminia sana na hazijawahi niangusha hata siku moja.
Ni kweli kabisa. Tukiwa tunamalozia Masters Degree tuliamua kujaribu uwezo wa mashine za brands tofauti zenye specs zinazofanana. Tuka run complex model. HP alimaliza kwa masaa 6. Toshiba masaa 6 dk 38 Dell masaa 6 na dk2. Brands zingine kama Lenovo na Sony tulizizima baada ya masaa 7 na nusu. Hazikumaliza.
 
Huwa sihitaji zinazodumu milele kwakuwa nahitaji teknolojia mpua. Ukiwa na mashone nzee ujie hutatumia programs za kisasa na with time inakuwa imechoka hata kama ni nzima na mwendo kasi unaisha.

Mie huwa naangalia yenye LATEST SPECS na Endurance kubwa. Maana tunao RUN SCIENTIFIC MODELS na kutumia SCIENTIFIC SOFTWARES tunahitaji mashine YA KISASA NA YENYE NGUVU.

Kuhusu brands HP, SONY, DELL, na TOSHOBA wako vizuri. Sijawahi kutumia huyu LENOVO na kwa kweli kama unataka kuitumia mashine kwa kazi ngumu usinunue tofauti na TOSHIBA. DELL na HP. Huyo LENOVO anazidiwa uwezo na baadhi ya simu za mkononi. Nikimaanisha mfano ukichukia flagship ya lenovo yenye i7 na kulinganisha na flagship ya Samsung Galaxy utaona maajabu. Kwa wanoweza kuifanya simu kuwa kompyuta wamenielewa.

Wanaotaka vinavyodumu pasipo kuangalia ENDURANCE namba moja ni TOSHIBA akifuatiwa na DELL kisha HP.
mkuu lenovo ndio manufacture mkubwa wa pc sasa hivi na series zake za Thinkpad ndio best kwa watu wanaofanya mambo serious. mambo yenu ya kisayansi mengi yanahitaji bandwidth ya kutosha inawezekana mashine zina cpu inayofanana lakini ukawa limited kwenye memory zipo situation mbalimbali kama vile
-mmoja ana storage yenye speed kama ssd na mwengine storage yake ipo slow kama HDD
-mmoja ram yake ipo slow mwengine ram yake ina speed
-mmoja anatumia dual/quad chanell ram na mwengine single chanell ram etc

kuhusu i7 lenovo hana usemi, i7 zote zinatoka kwa intel hivyo haiwezi yake ikawa slow, unless ulipata laptop ya kizamani, mathalan i7 ya 1st generation au zile za Y series za kizamani hizo zinaweza pitwa na simu, ila ukiwa na laptop ya i7 ya kisasa iwe ni lenovo, HP, Dell zitaperform almost sawa tu, kutakuwa na utofauti mdogo labda kwenye cooling hivi, inayopoza vizuri itaweza kukaa kwenye clocks kubwa kwa muda mrefu (turbo boost)
 
Ndiyo maana situmii mashine zaidi ya miaka 5. Inakuwa outdated na perfomance hupungua.

Niwashauri wanaopenda kupeleka kwa fundi. Mafundi wengi wa kibongo ni waharibifu na wezi. Labda upate fundi mnayefahamiana. Mara tatu mafundi wameniharibia mashine zangu. Wa mwisho alilipa maana aliiba vifaa nikamkamata navyo kulikuwa na alama. Nikampeleka kwa pilato akaninunulia mpya niliyoitaka.
ni kweli kuhusu hao mafundi wengi wajanja wajanja tu, kama unanunua laptop ambayo sio ultrabook ni rahisi hata kuitengeneza mwenyewe nyumbani kurekebisha matatizo madogo madogo.
 
Habari wakuu....
laptop yangu ni hp probook 440g3 inashindwa ku- detect wireless naombeni msaada wa kitaalam. CHIEF MKWAWA na wataalam wengine wa haya makitu.
 
Habari wakuu....
laptop yangu ni hp probook 440g3 inashindwa ku- detect wireless naombeni msaada wa kitaalam. CHIEF MKWAWA na wataalam wengine wa haya makitu.
kuna laptop zina wireless na nyengine hazina. na zenye wireless zinahitaji drivers ili kuweza kufanya kazi.

click start halafu search neno device manager, kwenye network adapter angalia kama una adapter ya wifi, kama ipo right click halafu update hio wifi.
 
Chief-Mkwawa habari kaka, naomba nikuulize kuhusu kucheki graphics za laptop mara nyingi nikichei hizi core i3 au core i5 ninakuta ni 520 je ni sawa au nakosea jinsi ya kucheki coz huwa naenda kwenye DIAGDX,then DISPLAY au kuna njia nyingine
 
Nunue dell mkuu HP kimeo cha maana. Au nunua Toshiba mkuu hutajutia Matumizi ya fedha yako. Nilinunua Toshiba nikiwa chuo 2011 hadi leo ipo poa sana haina tatizo lolote.
Mm nmenunua HP probook mpk kesho ipo n bado mpya n kwa speed duma akasome
 
Chief-Mkwawa habari kaka, naomba nikuulize kuhusu kucheki graphics za laptop mara nyingi nikichei hizi core i3 au core i5 ninakuta ni 520 je ni sawa au nakosea jinsi ya kucheki coz huwa naenda kwenye DIAGDX,then DISPLAY au kuna njia nyingine
mkuu kwenye computer hasa laptop i3, i5 na i7 zote zinafanana tu kasoro mambo machache,

hivyo i3,i5 na i7 zinakuwa na gpu moja tegemea na generation.

kwako ni intel HD 520 inamaana hio ni 6th generation skylake.

ni gpu nzuri mkuu
 
Ahsante sana Mkuu ngoja sikukuu zikipita nikachukue
 
Back
Top Bottom