Mwiyuzi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 854
- 448
Iko fresh. Ni nzuri kuliko window 7. Usiogope vitu vipya. Ukiizoea utamfuata jamaa kumuomba msamaha![]()
Wakuu ahsanteni kwa ushauri wenu
Niliamua kuchukua Dell
Ram yake 4.00 GB
Operating system ni 64 bit
Ila kuna jamaa kaniwekea window10 mi nilikuwa nataka window 7
Kaniboa kweli nimemchana
Vipi wakuu mliowahi kutumia window 10 mnijuze mi nimezoea window 7


