Ninunue HP au dell

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,689
2,000
Wakuu naombeni msaada

Weekend hii nataka ninunue PC

Nina laki tano mfukoni

Je kwa laki tano bidhaa gani bora nitapata kati ya HP au dell

Msaada wenu Tafadhali
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,854
2,000
kwa mpya hutapata laptop nzuri kwa bei hio, utapata tu vimeo vya celeron na pentium ongeza hadi 700,000 hadi 800,000 utapata mashine ya i3. brand si muhimu sana kwenye pc.
mkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,336
2,000
mkuu kwa nini brand sio muhim sana, nilikuwa na Hp pavillon ilikufa feni yake mpaka leo sitaki kuzisikia Hp...
cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.

kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.

huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,854
2,000
cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.

kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.

huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.
poa sana mkuu
 
shadownet

Senior Member
Aug 4, 2015
133
1,000
Cha msingi search kwenye laptop unayotaka kununua angalia specificationa bila kujali ni dell au hp ama lenovo, Njia rahisi ni kuminya ile button ya start / window then search hili neno DXDIAG Anza kucheki ipi iko poa, Ukiona umechanganyikiwa wewe orodhesha specs ziweke humu tukudadavulue...Cha msingi nakushauri ucheki processor na ussishie tu kucheki kwamba ni core i3, i5 au i7...andika na model kabisa mfani core i5 6500u, core i5 7200u, .n.k
 
Zugak17

JF-Expert Member
Aug 9, 2014
1,077
1,500

Mwambie kabsa asije hapa na short model names/numbers. Tunataka maelf hapa ili tuone ni gen gan na herufi asisahau kuweka kwa mbere ya maelf ili tuone perfomance yake
 
Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,066
2,000
niliipeleka kwa fundi feni ikabadilishwa mara mbili lakini hamna kitu..ikabid nimuuzie tu kama spea
Basi alikidanganya, tatizo halikuwa feni. So far Pavilion kuna model fulani zinakuwaga na tatizo la processor kudisattach na motherboard kwa sababu ya Joto.
 
Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,010
2,000
cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.

kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.

huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.
Mkuuu vitu haviwezi fanana durability.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom