Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,180
- 1,277
Chief-Mkwawa vp tofauti kati ya hizi notebook zinazotumia SSD na zinazotumia HDD
Wakuu naombeni msaada
Weekend hii nataka ninunue PC
Nina laki tano mfukoni
Je kwa laki tano bidhaa gani bora nitapata kati ya HP au dell
Msaada wenu Tafadhali
ssd ni storage zinazotengenezwa na flash zinakuwa kimya sana na hazina part za kuzunguka wala kutembea, wakati HDD ni storage yenye disc (kama cd kwa ndani, na yenyewe zinapiga kelele kiaina na zinazunguka.Chief-Mkwawa vp tofauti kati ya hizi notebook zinazotumia SSD na zinazotumia HDD
Kimeo changu changu cha ofisi nimebonyeza kimeandikaMkuu naomba tafsiri ya Maelezo haya kwani kuna laptop nimeinunua juzi na bado ipo ndani ya warranty nikaambiwa kama sijaridhika nayo naweza kuirudisha. Sasa uliposema masuala ya DXDIAG nami nikafanya ila kitaalamu maana ya information hizi sijui. Maelezo ni kama ifuatavyo. Kitakachomiss utasema niongeze au kufanya marekebisho na mwisho naomba ushauri kama yafaa au laah! Nimenunua kwa ajili ya kuandika project mbali mbali za kiofisi!
1. Computer name: laptop
2. Operating system: window 7 professional 32-bit (6.1 build 7600)
3. Language: English
4. System manufacturer: Toshiba
5. Bios: ver 1.00PARTTBLO
6. System model: satellite
7. Processor: genuine Intel (R) CPU T 2250@1.73ghz(2cpus)~1.7ghz
8. Memory: 4096mb
9. Page file: 744used; 5378mb available
10. Direction version:direct X 11
Name: mobile Intel(R) 945 express chipset family
11. Manufacturer: Intel corporation
Note: ltk window system ilikuwa 8 nikaomba installation ifanywe ya window 7!!!
Hayo no Maelezo ya ukurasa Wa kwanza baada ya kugonga DXDIAG
cc: wataalam wa ict wote karibuni!!!
Bei gan hiyoBasi anunue Macbook pro tu atatumia hadi mjukuu
Sijajua unataka laptop au desktop kwa upande wa desktop Dell utakuja lia tu ndugu,motherboard zao mbovu.sana.Nunua hp tu ziko vizuri halafu kingine pc za dell zina power kubwa umeme ukipungua tu kidogo zinazima.

Hard disk yake ni GB ngapiKuna jamaa yngu anauza dell Core i3 mpya..with warranty
550.
sio mbaya hio cpu, ram na HDD sio vya muhimu kivile maana vinabadilishika kiurahisi.Pia procer yake ni Intel (R) core (TM) 15-3340M cpu
kwa matumizi ya kawaida yote utafanya na gaming utafanya kwa games ndogo ndogo.
sio mbaya hio cpu, ram na HDD sio vya muhimu kivile maana vinabadilishika kiurahisi.
-ram 2GB ni shilingi 15,000 hadi 20,000Mkuu sjakuelewa...vinabadilishika kivip