Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
- Thread starter
- #21
Mkuu nilifikri kila kampun inastaili yake
cha muhimu ni kilichomo ndani, haisaidii ukiwa na laptop ya HP au DELL halafu ndani ina specification ndogo.
kuhusu kuharibika, zote zinaharibika cha muhimu uwe tu na warranty ikizingua unairudisha.
huwa kikawaida laptop karibia zote zinafanana vitu vya ndani sababu watengenezaji ni hao hao.