Msomi ni mtu aliyepata elimu au maarifa kupitia kusoma, kujifunza, na kuelewa mambo kwa kiwango fulani.Kusoma hakumuondolei mtu upumbavu kuna kusoma na kuelimika wengi wamesoma Ila hawajeelimika hujawai kumuona msomi anaweka vidore puani tena bila kitambaa anachokonoa uchafu?
Asiye msomi ni mtu ambaye hajapata elimu hiyo kwa kiwango hicho, au hana mafunzo rasmi ya kutosha katika eneo fulani.
Hata hivyo, kuwa msomi hakumaanishi mtu ana hekima zaidi katika kila jambo, na asiye msomi haimaanishi hana maarifa. Watu wengi wasio na elimu rasmi wanaweza kuwa na uzoefu, ujuzi, na busara kubwa katika maisha au kazi zao.