Nini tofauti ya msomi na asiye msomi?

Nini tofauti ya msomi na asiye msomi?

Nimekubari mkuu😁

Acha basi mtumishi😅😅

JF ni nzuri mnoo😍
Ndio nakupangilia hivyo..

Shida we hujui kutofautisha, KITAMBI na MIMBA.
🤣😂

Yes, jf nzuri sana, watu hatujuani lakini tunafurahiana, kuna watu wanatoleana mapovu, kuna wanaozimika na miandiko, kuna wanaozimikia avatar.. 🤣😂
 
Sawa legend 😅😅
 
Binadamu tulio wengi tumezaliwa na tunaendeshwa na ego, once ukijua namna ya kudhibiti ego basi hata uwezo wako wa kufikiri na kuamua unakuwa mzuri (fikiri kabla ya kutenda).

Unaweza kuwa msomi kwa taaluma fulani ila ukakosa elimu juu ya critical thinking. Hapa sasa ukimkuta msomi kwa asili yake ni mjeuri, hutoacha kushangaa maamuzi anayoyafikia.

Vilevile unaweza kukutana na asiyesoma ila kwa asili yake ni mtaratibu na anavipawa vya kufikiri kimakinifu (hili kundi ni wachache).

Hivyo basi, kusoma sana sio kielelezo cha mtu kuwa mahiri kwenye kufikiri na kufikia maamuzi sahihi juu ya mambo mbalimbali ndani na nje ya taaluma yake. Mara nyingi haiba ya mtu ndiyo inaamua.
Shukran 🙏🙏
 
Elimu ya kibongo, haijaketi sana katika kumjenga mtu internally. How? Hii ni elimu ya kikoloni aambayo imelenga kumuandaa mtu kuja kupewa maelekezo, yaani kufanya collar jobs tu.

Lakini haijikiti katika kuassessuwezo halisi wa akili, na wala haijajikita katika kumjenga mtu kihivyo. Kupitia necha ya mitihani, unaona imelenga kwenye kuimpart na kupima uwezo wa kushhika vitu. Lakini haijalenga katika kupima decision making, na creativity yaani matumizi halisi ya akkili za mtu.

Ndio maana ile Aptitude Test wengi wanailalamikia.
Sawa mkuu
 
Ego is the enemy
 
Hakuna Msomi asie na Akili, Huwezi kua graduate kama huna Akili.

Akili inaanza, Usomi unafuata mbele.

Hayo mengine mnayo yaongelea ni Matumizi ya akili ndo tumetofautiana, Wengine wanazitumia 100% wengine 30% wengine hawazitumii kabisa
Hauna akili wewe...elimu na akili ni vitu viwili tofauti kabisa ....kumbuka KITABU KINA WEZA KUWA NA ELIMU TENA ELIMU KUBWA ILA HAKINA AKILI...

NILITOA KANUNI HAPA INAYOSEMA..
Ukiambiwa chagua kati ya FEDHA( utajiri) na ELIMU...Basi bila ya kupepesa macho chagua FEDHA(UTAJILI).
Ila ukiambiwa chagua kati ya FEDHA(UTAJIRI) na AKILI basi chagua AKILI bila ya kupepesa macho .

💥AKILI NI ZAIDI YA UTAJIRI NA UTAJIRI NI ZAIDI YA ELIMU... hivyo elimu ni jambo la mwisho mbele ya hayo matatu.
 
Elimu ya kibongo, haijaketi sana katika kumjenga mtu internally. How? Hii ni elimu ya kikoloni aambayo imelenga kumuandaa mtu kuja kupewa maelekezo, yaani kufanya collar jobs tu.

Lakini haijikiti katika kuassessuwezo halisi wa akili, na wala haijajikita katika kumjenga mtu kihivyo. Kupitia necha ya mitihani, unaona imelenga kwenye kuimpart na kupima uwezo wa kushhika vitu. Lakini haijalenga katika kupima decision making, na creativity yaani matumizi halisi ya akkili za mtu.

Ndio maana ile Aptitude Test wengi wanailalamikia.

Mkuu tulishafanya maboresho ya mitaala mara kadhaa, kwahyo elimu hii ni ya CCM sio ya mkoloni Tena.
 
Hauna akili wewe...elimu na akili ni vitu viwili tofauti kabisa ....kumbuka KITABU KINA WEZA KUWA NA ELIMU TENA ELIMU KUBWA ILA HAKINA AKILI...

NILITOA KANUNI HAPA INAYOSEMA..
Ukiambiwa chagua kati ya FEDHA( utajiri) na ELIMU...Basi bila ya kupepesa macho chagua FEDHA(UTAJILI).
Ila ukiambiwa chagua kati ya FEDHA(UTAJIRI) na AKILI basi chagua AKILI bila ya kupepesa macho .

💥AKILI NI ZAIDI YA UTAJIRI NA UTAJIRI NI ZAIDI YA ELIMU... hivyo elimu ni jambo la mwisho mbele ya hayo matatu.
Hauna akili wewe...elimu na akili ni vitu viwili tofauti kabisa ....kumbuka KITABU KINA WEZA KUWA NA ELIMU TENA ELIMU KUBWA ILA HAKINA AKILI...

NILITOA KANUNI HAPA INAYOSEMA..
Ukiambiwa chagua kati ya FEDHA( utajiri) na ELIMU...Basi bila ya kupepesa macho chagua FEDHA(UTAJILI).
Ila ukiambiwa chagua kati ya FEDHA(UTAJIRI) na AKILI basi chagua AKILI bila ya kupepesa macho .

💥AKILI NI ZAIDI YA UTAJIRI NA UTAJIRI NI ZAIDI YA ELIMU... hivyo elimu ni jambo la mwisho mbele ya hayo matatu.

Yaani kitabu kiwe na Elimu kisiwe na akili, Hicho kitabu cha kichawi ama?

Kwanza sijajua ni kipi ambacho wewe huna, akili, elimu au vyote?
 
Tofauti kati ya msomi na asiye msomi mara nyingi hutegemea kiwango cha elimu na maarifa aliyonayo mtu.
  • Msomi: Ni mtu aliyepata elimu rasmi au maarifa ya kutosha katika fani fulani. Anaweza kusoma, kuandika, kuchambua taarifa, na kutumia maarifa hayo katika maisha au kazi zake.
  • Asiye msomi: Ni mtu ambaye hajapata elimu rasmi ya kutosha au hana uwezo wa kusoma na kuandika kwa kiwango kinachotarajiwa.
Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba:
  • Mtu anaweza kuwa hana elimu kubwa ya shule lakini akawa na hekima, ujuzi, na uzoefu mkubwa wa maisha.
  • Mtu anaweza kuwa na vyeti vingi vya elimu lakini bado akakosa maadili, busara, au ujuzi wa kutatua matatizo ya maisha.
Kwa hiyo, elimu (usomi) na hekima/uzoefu si vitu vinavyofanana moja kwa moja. Mtu anaweza kuwa msomi na mwenye hekima, au asiwe msomi lakini akawa na hekima na ujuzi mkubwa.
 
Siku yangu leo imebarikiwa nimepata comment nzurii mnoo kwako na wengine waliotangulia

Shukrani mkuu♥️
 
Back
Top Bottom