Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,648
- 7,568
Nawezaje kuongoza kikao bila kuwa biasKila la kheri
Nawezaje kuongoza kikao bila kuwa biasKila la kheri
Kuna watu Wana vituko wewe 😅😅😅Acha basi 😅😅
Sasa mtu asipende makalio 😅
Au kosa lake ni ku post nimecheka😅
Hata mimi kuna watu hua na waheshimu sana akipewa nafasi aongee heh unachoka
😀 😀 umenikumbusha mbali sana,,, nikiwa mdogo kiasi kuna kikao cha wajomba walikaa kumjadili binadamu yangu mmoja ambaye akiwa njiani kutoka kwao ( Tarime ) akisindikizwa kwenda kwa mumewe aliyokuwa akifanya kazi Kilombero Sugar-Morogoro walipotea kusikojulikana na msindikizaji ambaye alikuwa mdogoake na muoaji..Mimi bado nina changamoto ya kubadilishana mawazo na kuweka mambo sawa mf.Kesho kutwa tutakuwa na kikao cha ndugu moja ya ajenda kuu ni kuhusu dada yetu aliyetoroshwa na mwanaume
To be continued😀 😀 umenikumbusha mbali sana,,, nikiwa mdogo kiasi kuna kikao cha wajomba walikaa kumjadili binadamu yangu mmoja ambaye akiwa njiani kutoka kwao ( Tarime ) akisindikizwa kwenda kwa mumewe aliyokuwa akifanya kazi Kilombero Sugar-Morogoro walipotea kusikojulikana na msindikizaji ambaye alikuwa mdogoake na muoaji..
Wakaja kurudi wenyewe nyumbani baada ya miaka kama mitatu wakiwa tayari na watoto 2 na maisha yamewagonga...
SijuiNawezaje kuongoza kikao bila kuwa bias
😅😅😅 nacheka mieKuna watu Wana vituko wewe 😅😅😅
Haya maoni huwa ni ya watu ambao hamna elim. Embu tueleze elim yako ni darasa la ngapi?????Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔
Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?
Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili
Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?
Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?
Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?
Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi
Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?
Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?
Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu
Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)
Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili
Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?
Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)
ShesRise_1 🤚
It's Furahi deiiiiii💃
Elimu bila maarifa ama upeo ni sawa na upumbavuKuna jambo huwa linanichanganya sana🤔

Duuuh hii noma kinoma noma😀 😀 umenikumbusha mbali sana,,, nikiwa mdogo kiasi kuna kikao cha wajomba walikaa kumjadili binadamu yangu mmoja ambaye akiwa njiani kutoka kwao ( Tarime ) akisindikizwa kwenda kwa mumewe aliyokuwa akifanya kazi Kilombero Sugar-Morogoro walipotea kusikojulikana na msindikizaji ambaye alikuwa mdogoake na muoaji..
Wakaja kurudi wenyewe nyumbani baada ya miaka kama mitatu wakiwa tayari na watoto 2 na maisha yamewagonga...
Good pointElimu bila maarifa ama upeo ni sawa na upumbavu
Hua unaangalia mpira? Jibu kwanza km hua unaangalia mpira utakua umeshanielewa namaanisha nini km sio mpira angalia hata masubwi au ndondi au basketball au tennis, utaona pale kuna waamuziNawezaje kuongoza kikao bila kuwa bias
Binadamu tulio wengi tumezaliwa na tunaendeshwa na ego, once ukijua namna ya kudhibiti ego basi hata uwezo wako wa kufikiri na kuamua unakuwa mzuri (fikiri kabla ya kutenda).Kwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?
Huwa naangalia kaka basi nitaimitate nashukuruHua unaangalia mpira? Jibu kwanza km hua unaangalia mpira utakua umeshanielewa namaanisha nini km sio mpira angalia hata masubwi au ndondi au basketball au tennis, utaona pale kuna waamuzi
Kabudi ni msomi yye ni mjinga au siyo mjinga?Kwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?
Acha kuongopea ww🤣🤣Watu hawastahili kukufanya ujione huna maana nikiwemo mimi
Nb : sina chuki na yeyote
Ego ndo nini mkuu ebu toa mfano ili tuiepukeBinadamu tulio wengi tumezaliwa na tunaendeshwa na ego, once ukijua namna ya kudhibiti ego basi hata uwezo wako wa kufikiri na kuamua unakuwa mzuri (fikiri kabla ya kutenda).
Unaweza kuwa msomi kwa taaluma fulani ila ukakosa elimu juu ya critical thinking. Hapa sasa ukimkuta msomi kwa asili yake ni mjeuri, hutoacha kushangaa maamuzi anayoyafikia.
Vilevile unaweza kukutana na asiyesoma ila kwa asili yake ni mtaratibu na anavipawa vya kufikiri kimakinifu (hili kundi ni wachache).
Hivyo basi, kusoma sana sio kielelezo cha mtu kuwa mahiri kwenye kufikiri na kufikia maamuzi sahihi juu ya mambo mbalimbali ndani na nje ya taaluma yake. Mara nyingi haiba ya mtu ndiyo inaamua.
Labda niwasaifie kitu kimoja. Msomi ni mtu anayejua kusoma na asiyemsomi ni yule ambaye hajui kosoma.Ni sawa na ofauti kati ya loose Nut na secretarybird
Sahihi, mwendesha ndege asiyejua kuendesha gari, n sio msomi wa kuendesha gari 🔥Na ni muhimu kua Msomi wa Medics, ni mjinga katika Engeneering, Political sciences etc.
Ndo maana usishangae Rubani wa Ndege asijue kuendesha gari au piki piki.
Elimu ya kibongo, haijaketi sana katika kumjenga mtu internally. How? Hii ni elimu ya kikoloni aambayo imelenga kumuandaa mtu kuja kupewa maelekezo, yaani kufanya collar jobs tu.Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔