Nini tofauti ya msomi na asiye msomi?

Nini tofauti ya msomi na asiye msomi?

Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔

Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?

Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili

Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?

Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?

Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?

Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi

Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?

Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?

Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu

Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)

Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili

Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?

Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)

ShesRise_1 🤚

It's Furahi deiiiiii💃
Tofauti kuu kati ya "Genius" (Mtu mwenye akili ya kipekee) na "Mpumbavu" ni uwezo wa kutambua ukweli, kufikiri kwa kina, na kufanya maamuzi sahihi. Mwanafizikia mashuhuri Albert Einstein aliwahi kunukuliwa akisema: "Tofauti kati ya genius na upumbavu ni kwamba genius ana mipaka yake," ikimaanisha kuwa akili kubwa inajua mipaka ya uwezo wake, lakini upumbavu hauna kikomo.

Nitarejea
 
Umefanya nimecheka😅😅

Unataka kusema wakati anakesha kuyatengeza hajui ni wapi pa kuyatumia
Mkuu si anatengeneza ili afanye biashara au?
Sawa maisha kwa jumla ni biashara

Sasa ni juu yako biashara ya ustawi au maangamizi.! 😎
 
🫡🫡🫡👏👏👏 asante kaka kama una cha kuongeza ongeza nisome tena
Iko hivi , kuna upumbavu wa aina tatu.

Huu wa kwanza ,ni ule wa mtu kudhani tayari anajua kila kitu, hivyo hapaswi kujifunza tena.
Wasomi wengi wana huu upumbavu, unakutana na mtu anakwambia ("nina PhD ,una nini wewe mpaka unielekeze hili?" )

Upumbavu wa pili ni pale ambapo mtu ana akili, ana uwezo lakini anaogopa kukosea hadharani kiasi kwamba hajiamini.

Anakaa kimya wakati anapaswa kusema., anakuwa mtu wa kufuata mkondo wakati anapaswa kupinga.

"Viongozi wengi wana huu upumbavu"

Upumbavu wa tatu ni ule wa mfumo, mtu mwenye akili akizingirwa na watu wasio na nia njema, mifumo mibaya, au mazingira yanayomkandamiza ,polepole akili yake inaanza kuzima kama mshumaa.

Kujipima kama una akili, jiulize hivi.

Unaamua vipi ukiwa peke yako bila kuwepo mtu wa kukuangalia?

Huwa unashughulika vipi na mtu/watu wanaokuchukia bila sababu?

Unakubali vipi makosa yako mbele ya watu?

Unawezaje kumsaidia mtu asiyeweza kukufaa kwa chochote?
 
Tofauti kuu kati ya "Genius" (Mtu mwenye akili ya kipekee) na "Mpumbavu" ni uwezo wa kutambua ukweli, kufikiri kwa kina, na kufanya maamuzi sahihi. Mwanafizikia mashuhuri Albert Einstein aliwahi kunukuliwa akisema: "Tofauti kati ya genius na upumbavu ni kwamba genius ana mipaka yake," ikimaanisha kuwa akili kubwa inajua mipaka ya uwezo wake, lakini upumbavu hauna kikomo.

Nitarejea
Karibu
 
Sawa asantee
Kua genius maana yake unazungumzia fikra mfano evil genius maana yake fikra mbaya, uwezo wa asili wa kufikiri, uwezo wa asili wa kuelewa, uwezo wa asili wa kufanya jambo/kitu fulani bila kufundishwa na mtu, ni mtu kua zaidi ya mtu mwerevu, unaelewa nini kwa kutumia uwezo wako wa asili au unaelewa kiasi gani kwa kutumia uwezo wako wa asili au ana uelewa wa kiasi gani kuhusu kitu au jambo fulani kwa kutumia uwezo wake wa asili ndio tunaita genius maana yake wewe una kipaji, uwezo wa asili ni kitu ambacho hujakaa ukafundishwa ni kitu umezaliwa nacho wewe kiasili upo hivyo mfano uwezo wa asili wa kuogelea, uwezo wa asili wa kuongea, uwezo wa asili wa kukimbia, uwezo wa asili wa kuhesabu, uwezo wa asili wa kuimba, uwezo wa asili wa kutibu watu, nk

Pia unapozungumzia genius unazungumzia intellectual, unazungumzia expert mfano wa JF expert Member, unazungumzia talent ya mtu na pia unazungumzia aptitude

Mpumbavu
nimeshamuelezea ni mtu wa aina gani ni mtu mpuuzi mpuuzi tu asie na maana yoyote ni sawa useme MKANGAFFU, mpumbavu hana tofauti na mavi ya binadamu yakishatolewa tumboni hayana maana tena mfano wewe hapo ukishakunya mavi yako hua yana maana gani tena zaidi ya kuchimbiwa chini? Sasa huo ndio upumbavu

Niishie hapo
 
Iko hivi , kuna upumbavu wa aina tatu.

Huu wa kwanza ,ni ule wa mtu kudhani tayari anajua kila kitu, hivyo hapaswi kujifunza tena.
Wasomi wengi wana huu upumbavu, unakutana na mtu anakwambia ("nina PhD ,una nini wewe mpaka unielekeze hili?" )
Nakosa cha kuongeza✍️
Upumbavu wa pili ni pale ambapo mtu ana akili, ana uwezo lakini anaogopa kukosea hadharani kiasi kwamba hajiamini.

Anakaa kimya wakati anapaswa kusema., anakuwa mtu wa kufuata mkondo wakati anapaswa kupinga.

"Viongozi wengi wana huu upumbavu"
Kaka unaniongezea kitu hapa
Nadhani hata kwa wengine watakao soma comment hapa wataondoka na kitu shukrani sana
Upumbavu wa tatu ni ule wa mfumo, mtu mwenye akili akizingirwa na watu wasio na nia njema, mifumo mibaya, au mazingira yanayomkandamiza ,polepole akili yake inaanza kuzima kama mshumaa.
Asanteee broo👏👏👏
Kujipima kama una akili, jiulize hivi.

Unaamua vipi ukiwa peke yako bila kuwepo mtu wa kukuangalia?

Huwa unashughulika vipi na mtu/watu wanaokuchukia bila sababu?

Unakubali vipi makosa yako mbele ya watu?

Unawezaje kumsaidia mtu asiyeweza kukufaa kwa chochote?
Hapa majibu tayari ninayo ila nitajitafakari tena

Thank you Marcostilone 👏👏🫡
 
Kua genius maana yake unazungumzia fikra mfano evil genius maana yake fikra mbaya, uwezo wa asili wa kufikiri, uwezo wa asili wa kuelewa, uwezo wa asili wa kufanya jambo/kitu fulani bila kufundishwa na mtu, ni mtu kua zaidi ya mtu mwerevu, unaelewa nini kwa kutumia uwezo wako wa asili au unaelewa kiasi gani kwa kutumia uwezo wako wa asili au ana uelewa wa kiasi gani kuhusu kitu au jambo fulani kwa kutumia uwezo wake wa asili ndio tunaita genius maana yake wewe una kipaji, uwezo wa asili ni kitu ambacho hujakaa ukafundishwa ni kitu umezaliwa nacho wewe kiasili upo hivyo mfano uwezo wa asili wa kuogelea, uwezo wa asili wa kuongea, uwezo wa asili wa kukimbia, uwezo wa asili wa kuhesabu, uwezo wa asili wa kuimba, uwezo wa asili wa kutibu watu, nk

Pia unapozungumzia genius unazungumzia intellectual, unazungumzia expert mfano wa JF expert Member, unazungumzia talent ya mtu na pia unazungumzia aptitude

Mpumbavu
nimeshamuelezea ni mtu wa aina gani ni mtu mpuuzi mpuuzi tu asie na maana yoyote ni sawa useme MKANGAFFU, mpumbavu hana tofauti na mavi ya binadamu yakishatolewa tumboni hayana maana tena mfano wewe hapo ukishakunya mavi yako hua yana maana gani tena zaidi ya kuchimbiwa chini? Sasa huo ndio upumbavu

Niishie hapo
Asante kwa maoni yako umedadavua vyema 🙏🙏
 
Nakosa cha kuongeza✍️

Kaka unaniongezea kitu hapa
Nadhani hata kwa wengine watakao soma comment hapa wataondoka na kitu shukrani sana

Asanteee broo👏👏👏

Hapa majibu tayari ninayo ila nitajitafakari tena

Thank you Marcostilone 👏👏🫡
Keep showing up like this, tunahitaji watu wanaouliza maswali yenye mantiki kama haya.

Uwe na wakati mwema.
 
Kua genius maana yake unazungumzia fikra mfano evil genius maana yake fikra mbaya, uwezo wa asili wa kufikiri, uwezo wa asili wa kuelewa, uwezo wa asili wa kufanya jambo/kitu fulani bila kufundishwa na mtu, ni mtu kua zaidi ya mtu mwerevu, unaelewa nini kwa kutumia uwezo wako wa asili au unaelewa kiasi gani kwa kutumia uwezo wako wa asili au ana uelewa wa kiasi gani kuhusu kitu au jambo fulani kwa kutumia uwezo wake wa asili ndio tunaita genius maana yake wewe una kipaji, uwezo wa asili ni kitu ambacho hujakaa ukafundishwa ni kitu umezaliwa nacho wewe kiasili upo hivyo mfano uwezo wa asili wa kuogelea, uwezo wa asili wa kuongea, uwezo wa asili wa kukimbia, uwezo wa asili wa kuhesabu, uwezo wa asili wa kuimba, uwezo wa asili wa kutibu watu, nk

Pia unapozungumzia genius unazungumzia intellectual, unazungumzia expert mfano wa JF expert Member, unazungumzia talent ya mtu na pia unazungumzia aptitude

Mpumbavu
nimeshamuelezea ni mtu wa aina gani ni mtu mpuuzi mpuuzi tu asie na maana yoyote ni sawa useme MKANGAFFU, mpumbavu hana tofauti na mavi ya binadamu yakishatolewa tumboni hayana maana tena mfano wewe hapo ukishakunya mavi yako hua yana maana gani tena zaidi ya kuchimbiwa chini? Sasa huo ndio upumbavu

Niishie hapo
u

Madhara ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ndiyo haya.
Why are you a gay?
 
🎥🎞️
 
Attachments

  • 71Kih9pBDyL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
    71Kih9pBDyL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
    51.1 KB · Views: 8
  • Forrest_Gump_-_poster_%28English%29.webp
    Forrest_Gump_-_poster_%28English%29.webp
    18.7 KB · Views: 7
Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔

Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?

Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili

Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?

Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?

Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?

Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi

Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?

Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?

Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu

Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)

Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili

Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?

Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)

ShesRise_1 🤚

It's Furahi deiiiiii💃
Kwa Tanzania ni kuvaa suti na tai na kunywa bia
 
Back
Top Bottom