Ujinga ni ukosefu wa maarifa.Kwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?
Ujinga ni jambo endelevu.
Ujinga ni ukosefu wa maarifa.Kwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?
Ndiyo tofauti ya msomi na asiye msomi TanzaniaAnaevaa suti na tai na kunywa bia ndio msomi au?
Sasa sijaelewa umeni-mix umemaanisha kwamba wewe ndio umeomba ibadirishwe maana au kibadirishwe kichwa cha mada?Nimeomba mimi
Then ukipata maarifa ujinga unaisha?Ujinga ni ukosefu wa maarifa.
Kuna wadau wamesema huko juu ujinga unaweza kuondoka ila upumbavu kuisha ni kashesheUjinga ni jambo endelevu.
Ahaa sawa AsanteNdiyo tofauti ya msomi na asiye msomi Tanzania
Nimeomba kibadirishwe kicwa cha madaSasa sijaelewa umeni-mix umemaanisha kwamba wewe ndio umeomba ibadirishwe maana au kibadirishwe kichwa cha mada?
Huyo ndio MKANGAFFU kua nae makini ukisikia Mpumbavu Mpumbavu umefikiwa na Mpumbavu mimi simoThen ukiyapata maarifa ujinga unaisha?
Kuna wadau wamesema huko juu ujinga unaweza kuondoka ila upumbavu kuisha ni kasheshe
asante mkuuKusoma hakumuondolei mtu upumbavu kuna kusoma na kuelimika wengi wamesoma Ila hawajeelimika
Ajabu kwelihujawai kumuona msomi anaweka vidore puani tena bila kitambaa anachokonoa uchafu?
Sawa mkuu nimekuelewa kuna wapumbavu waangalie wasije wakachafua uzi huuNimeomba kibadirishwe kicwa cha mada
Huu uzi natamani usiharibike kwa battle kama hizi ambazo hazihusihusiani na mada so please acheniHuyo ndio MKANGAFFU kua nae makini ukisikia Mpumbavu Mpumbavu umefikiwa na Mpumbavu mimi simo
Niishie hapo
Cc: mshamba_mwingine
🙏🙏Sawa mkuu nimekuelewa kuna wapumbavu waangalie wasije wakachafua uzi huu
Ujinga hauishiThen ukipata maarifa ujinga unaisha?
Kuna wadau wamesema huko juu ujinga unaweza kuondoka ila upumbavu kuisha ni kasheshe
Aaah sawa mkuuUjinga hauishi
Kitendo cha kutojua baadhi ya mambo kinakufanya uwe mjinga. Na haiwezekani ukawa unajua kila kitu.
Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔
Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?
Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili
Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?
Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?
Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?
Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi
Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?
Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?
Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu
Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)
Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili
Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?
Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)
ShesRise_1 🤚
It's Furahi deiiiiii💃
Msomi ni mtu yoyote aliyesoma akatunukiwa cheti Lakini haimaanishi kwamba ana akili, akili ni Kitu kingine kabisa kwanza akili haina mipaka Lakini pili mabeberu walitumia akili nyingi kuweka elimu ili msijitambue wawatawale kiurahisi ELIMU ni mfumo mbovu wa kwanza alafu unaofuatia DINI alafu AFYA.Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔
Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?
Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili
Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?
Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?
Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?
Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi
Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?
Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?
Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu
Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)
Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili
Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?
Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)
ShesRise_1 🤚
It's Furahi deiiiiii💃
sawaMsomi ni mtu yoyote aliyesoma akatunukiwa cheti Lakini haimaanishi kwamba ana akili akili ni Kitu kingine kabisa kwanza akili haina mipaka
Hebu fafanua ki vipi elimu imekua mfumo mbovu kwetuLakini pili mabeberu walitumia akili nyingi kuweka elimu ili msijitambue wawatawale kiurahisi ELIMU ni mfumo mbovu wa kwanza alafu unaofuatia DINI alafu AFYA.
Huenda, narudia tena neno "huenda" msomi kuanzia shahada kwenda juu, chini ya hapo sio msomi.Kila mtu ni mjinga kwa wakati wake,ujinga huondoka baada ya kulijua jambo ambalo ulikua hulijui,unaweza ukawa Pilot ila ukawa mjinga kwenye kutengeneza Baiskeli.
😅😅Huenda, narudia tena neno "huenda" msomi kuanzia shahada kwenda juu, chini ya hapo sio msomi.
Utumwa unakuja pale ambapo unatunukiwa cheti maana yake uajiriwe na lazima uwe na cheti kuthibitisha elimu yako huo ni UTUMWA mwanzilishi wa hii platform Maxence Mello hategemei cheti kama nilivyosema hapo awali akili haina mipaka na hakuna binadamu aliyeweza kuitumia akili yake to the maximum mabeberu wanalitambua hili ndo maana wakaweka ELiMU Lakini labda nikuulize swali dogo tu ivi elimu ndo mafanikio au elimu ndo ufunguo wa maisha?sawa
Hebu fafanua ki vipi elimu imekua mfumo mbovu kwetu
Elimu imetumika vp sisi kutawaliwa kirahisi?
Hapo kwenye dini na afya tutaendelea
Asante sanaUtumwa unakuja pale ambapo unatunukiwa cheti maana yake uajiriwe na lazima uwe na cheti kuthibitisha elimu yako huo ni UTUMWA mwanzilishi wa hii platform Maxence Mello hategemei cheti kama nilivyosema hapo awali akili haina mipaka na hakuna binadamu aliyeweza kuitumia akili yake to the maximum mabeberu wanalitambua hili ndo maana wakaweka ELiMU Lakini labda nikuulize swali dogo tu ivi elimu ndo mafanikio au elimu ndo ufunguo wa maisha?