Nini tofauti ya msomi na asiye msomi?

Nini tofauti ya msomi na asiye msomi?

Mimi naona ile heading ya kwanza ndo mada yako umekosea kubadili

Hapo ni genius vs intelligent

Genius ni natural or biological, intelligent ni mechanical so lazima itakuwa flawed na mazingira yaani programming
Shukran
 
Na Mungu alivyo sasa sijui tuseme ana sense of humor, au ndo katika kudhihirisha kuwa kuna tofauti ya Maarifa na Hekima ambayo hutoka kwa Mungu mwenyewe, kwa makusudi anachagua vinavyoonekana havistahili ili kuvishusha vinavyoona vinasatahili.

Ndiposa utakuta mtu ana mahela mengi lakini mjinga mjinga akili anaibia kwa maskini.

Au mtu ana PhD lakini mjinga mjinga akili anaibia kwa college drop out.

Au mtu mzee lakini mjinga mjinga, akili anapata kwa mjukuu wake.

Au mzuri sana lakini mjinga mjinga akili anakuja kuibia kwa ngolo kante.
Eh nimekumbuka,

Ndomana kachagua kanchi kadogo, kenye tuwatu tuchache kupelekesha manchi makubwa / dunia nzima! ! ! ! ! Yani hadi wauza mihogo huku Manzese tunateseka kwa kupanda mafuta kwa sababu yao! !

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

1000060872.jpg

1000060874.jpg
 
Eh nimekumbuka,

Ndomana kachagua kanchi kadogo, kenye tuwatu tuchache kupelekesha manchi makubwa / dunia nzima! ! ! ! ! Yani hadi wauza mihogo huku Manzese tunateseka kwa kupanda mafuta kwa sababu yao! !

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

View attachment 3611229

View attachment 3611230
Dada hii inamaana gani ?
Kwanini Mungu alichagua ka nchii kadogo?

Ni mapenzi pekee au upendeleo dear?
 
Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔

Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?

Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili

Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?

Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?

Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?

Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi

Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?

Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?

Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu

Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)

Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili

Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?

Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)

ShesRise_1 🤚

It's Furahi deiiiiii💃
Msomi ni sawa sawa na kitabu chenye elimu na asiye msomi ni sawa sawa na kitabu kitupu ambacho akija chapichwa elimu yoyote...KUMBUKENI ELIMU SIYO AKILI
 
Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔

Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?

Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili

Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?

Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?

Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?

Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi

Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?

Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?

Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu

Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)

Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili

Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?

Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)

ShesRise_1 🤚

It's Furahi deiiiiii💃
Sijui naangukia wapi
 
Nini kinafanya useme kwamba huyu mtu kafanya maamuzi sahihi?
 
Maamzi sahihi yataonekana zaidi baada ya matokeo ya ulichoamua
Mf: ukaamua kuruka shimo refu na kudumbukia ukavunjika mguu hapo utajua kua ulikosea kuamua

Ila ukaamua uzunguke hilo shimo na kufika upande wa pili salama
Utagundua kua uamzi wako ulikua sahihi sana
 
Maamzi sahihi yataonekana zaidi baada ya matokeo ya ulichoamua
Mf: ukaamua kuruka shimo lefu na kudumbukia ukavunjika mguu hapo utajua kua ulikosea kuamua

Ila ukaamua uzunguke hilo shimo na kufika upande wa pili salama
Utagundua kua uamzi wako ulikua sahihi sana
Mimi bado nina changamoto ya kubadilishana mawazo na kuweka mambo sawa mf.Kesho kutwa tutakuwa na kikao cha ndugu moja ya ajenda kuu ni kuhusu dada yetu aliyetoroshwa na mwanaume
 
Kusoma na kuwa na akili ni vitu viwili tofauti
Unaweza ukawa msomi lakini huna akili
Unaweza ukakuta mtu ana akili ya kuchanganua mambo ila Hana elimu kubwa(usomi)

Na tofauti Yao utaiona katika utendaji wao wa mambo.namna wanavyotekeleza.

Hakuna Msomi asie na Akili, Huwezi kua graduate kama huna Akili.

Akili inaanza, Usomi unafuata mbele.

Hayo mengine mnayo yaongelea ni Matumizi ya akili ndo tumetofautiana, Wengine wanazitumia 100% wengine 30% wengine hawazitumii kabisa
 
Ngoja aje ulie m quote huende ana cha kuongeza
 
Back
Top Bottom