THE FIRST BORN JF-Expert Member Apr 24, 2019 1,727 3,286 Mar 22, 2021 #1 Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?
Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,134 141,958 Mar 22, 2021 #2 Tafsiri isiyo rasmin: Msemaji wa mambo au shughuli za kiserikali ni mmoja tu na siyo vinginevyo.