Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

hapa ndipo ninapokuheshimi Eiyer kwenye mada kama hizi.
nami naomba nikuulize mkuu kama unaufahau wa lile tendo linalofanywa na rc la kugeuza mkate na divai kua mwili na damu ya yesu,je ni sahihi wanavyofanya? na nisawa na maagizo sahihi ya yesu?
 
Kutokana na tafsiri za hiyo picha inasemekana miongoni mwa wanafunzi wa Yesu Maria Magdalena naye alikuwemo.
Na alishiriki chakula na Bwana ambaye pia inasemekana alikua ni bwana wake na walizaa mtoto.
Hii nimeisoma kwenye kitabu cha the Davinc Code.
Mkuu, The Da Vinci Code ni hadithi ya kubuni tu.
 
Kwa haraka haraka....

Kwanza wengi hawafahamu kwamba kuna michoro mingi tu kabla ya huyu Leonardo Da Vinci kuzaliwa ilishachorwa na wachoraji wengine na ilikuwa tofauti na huu mchoro wa Da Vinci.....

Pili,hakuna anayejua kwa hakika kuwa Leonardo Da Vinci alikuwa akimaanisha nini kwenye michoro yake kwasababu hakuwahi kuacha maelezo kuelezea alichokuwa akikimaanisha.Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni kwamba Leonardo Da Vinci alibuni mchoro huo kwa namna alivyouona na kufikiri yeye na huenda alikuwa na maana ambayo hakuna ajuaye....

Kwa maana hii,yote yanayohusu mchoro huu ambao ni wa kubuni nayo pia ni ya kubuni kwasababu hayana uhakika.Sijaona sababu ya msingi ya watu kuhangaika na mambo ambayo yamejengwa kutoka mchoro wa kubuni na usio na ukweli wowote...

Kama akija mtu na kusema kuwa huyu Da Vinci alikuwa anamaanisha chochote nje ya masuala ya Yesu huenda akasikilizwa kwa sehemu,lakini akija na kusema kuwa Da Vinci alikuwa anamaanisha chochote kuhusu Yesu hatasikilizwa kwasababu ni uwongo kwasababu Da Vinci hakuishi wakati wa Yesu na kwa maana hiyo alibuni tu huo mchoro,kama alibuni kitakachosemwa chochote kuhusu mchoro huo nacho kitakuwa cha kubuni tu....

Nikija kwenye unachotaka kuhusu mabaya aliyomaanisha Da Vinci kuhusu mchoro huo nitaeleza kwa kifupi kwa sababu sikujiandaa na hili na pia ni jambo ambalo halina uhakika pia kwasababu nilizozieleza hapo juu....

Karibu kwa ufupi..

Leonardo Da Vinci alizaliwa huko Italia tarehe 15 April 1452 na jina lake kamili ni Lionardo di ser Piero da Vinci.Leonardo Da Vinci alijulikana sana kwa taaluma yake ya uchoraji mahiri sana kwa wakati wake.Wakati wa ujana wake,Da Vinci na vijana wengine watatu walishitakiwa kwa kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja.hii ilikuwa ni mwaka 1476.

Leonardo Da Vinci aliwahi kuwa msaidizi wa anayedaiwa kuwa mtoto wa Papa Alexanda wa 6 mwaka 1502 hadi October 18 1502.Borgia alizaliwa Sept 13,1475,huko Rumi.Wazazi wake wakiwa ni Papa Alexander na mwanamke aliyajulikana kama Vannozza Dei Cattanei....

Inadaiwa kwamba wakati Da Vinci akiwa ni msaidizi wa kijana huyu huko Rome,walianzisha mahusiano ya kingono ya kinyume na maumbile.Inadaiwa kwamba katika kipindi ambacho walikuwa kwenye mapenzi moto moto ndipo Leonardo Da Vinci alichora picha hizi za kubuni na kutokana na mapenzi yake kwa Borgia aliaamua kuchora sura ya Borgia kwenye umbo la mtu aliyebuni kuwa kama Yesu...

Picha hii maarufu inadaiwa kuchorwa kati ya mwaka 1499 na 1503...

Baadhi ya watafiti wanadai kwamba lengo lingine la mchoro wa Leonardo Da Vinci ni kutaka kuonesha kuwa Yesu hakuwa na Uungu wowote bali alikuwa ni mtu tu...

Jambo hili lilionekana kwenye michoro hiyo ambayo alichora michoro yake bila kuwawekea kitu kinachoitwa "Halo"..

Halo ni nini?

Halo ni ule mduara unaoonekana kichwani kwa mtu yoyote anayechukuliwa kuwa ni mtakatifu...

Angalia picha hizi hapa chini....

36AE7ED900000578-3713591-image-a-19_1469741249702.jpg

Mchoro wa Leonardo Da Vinci wa karne ya 15 ukionesha wahusika wa mchoro wakiwa hawana hiyo mizunguko vichwani mwao kuonesha utakatifu....

36AE7F3500000578-3713591-image-m-22_1469741326502.jpg

Mchoro wa karne ya 14 ukionesha karamu ya mwisho kama ulivyobuniwa na mchoraji kipindi hicho.Hapa tunaona wahusika wakiwa na "halo" au round fulani hivi vichwani mwao kuonesha "utakatifu" wao....

36AE7EE100000578-3713591-image-a-24_1469741352055.jpg

Mchoro mwingine wa karamu ya mwisho wa karne ya 14...

Ukiangalia michoro hii inatofautiana,lakini yote ni ya kubuni tu....

Kwa maana hii ni kwamba mchoro wa Da Vinci una maana mbili hasi na ambazo pia hazina uhakika au ushahidi sana au hakuna kabisa ushahidi wowote...

1;Mahali alipoamua kumchora mtu aliyepachikwa kuwa ni Yesu alimchora mtu huyo kwa sura ya Cecare Borgia...

2; Alichora p[icha hizo kuonesha kuwa Yesu hakuwa na Uungu wowote ule...

Ni hayo tu kwa ufupi sana....

Na dhani nimekata kiu yako kwa sehemu....
I do appreciate...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana yule ni Yohana tena sio mbatizaji, bali ni yule wa ufunuo. Ni mdogo wake Yesu kwa kuzaliwa. Kumbuka Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kama zawadi ya binti wa ufalme kucheza vizuri. Lakini yule wa kisiwa cha Patmo alifungwa gerezani, baadae wakamuachia huru na kuenda kutupwa kisiwani, huko ndiko alikoandika ufunuo. Napita nikifika nitarudi tena.
 
Kuna mambo huwa yananisikitisha sana tena sana.....

Hii dunia ni yajabu kweli kweli.Yale mambo ambayo ni conspiracy yanaonekana ndiyo ukweli wenyewe na ukweli unaonekana ni conspiracy.Ukiangalia kwa mfano hili suala la hii inayoitwa picha ya last super,inajulikana ilichorea na mtu aliyeishi miaka mingi sana baada ya kuwepo kwa Yesu na inajulikana kabisa ni ya kubuni tu,ni kwanini watu wanaichukulia kwa namna kubwa kiasi hiki?

Mleta mada umetaka tuijadili picha hii,ni kwanini tuijadili wakati siyo kitu halisi na ni cha kubuni tu? Tena aliyebuni ni mtu tu na interest zake.Leonado da Vinci ni nani haswa hadi tuzingatie michoro yake kuhusu nyakati ambapo hakuwepo?

Ninachojua mimi huyu jamaa alikuwa ni mwanachama wa vyama vya siri na alikuwa anajua siri kadhaa ya vyama hivi na baadhi ya siri hizo aliziweka kwenye michoro yake kwa codes fulani fulani lakini hakuwa akijua lolote kuhusu maisha ya Yesu kiasi kwamba tumtilie maanani kwa kiwango hiki....

Kama tukague kile alichokuwa anakijua kuhusu haya mambo yao ya sirini hapo sawa lakini siyo kukagua michoro yake ya kubuni kama vile ni michoro halisi inayowakilisha maisha ya Yesu....
Sasa mbona umepaniki sana? Hapo suala sio la huyo mchoraji, suala je huyo aliekaa kushoto kwa Yesu ni nani? Nilidhani ungetoa jibu, kama hauna ungekaa kimya tu, wajuvi wa mambo watatujuza. Umebaki kulalamika kuhusu historia, umesahau hata Yesu alifundisha kwa kutumia mifano ili watu wamuelewe. Hoja yangu mifano ina mambo mengi, inaweza ukawa mfano aliouona, inaweza ikawa mfano aliotunga, au inaweza ukawa mfano aliosimuliwa, hapo suala ni mfano kiongozi!!
 
UKRISTO

ALEXANDER,THE GREAT(actually the invader/barbarian)

Alexander,The Great(the barbarian,the invader) aliivamia Kemet(Misri) mwaka 332 BC na kumuondoa mfalme(farao) na yeye kuchukua kiti cha ufalme akiwa hajui chochote kuhusu mila na desturi za Misri.

Aliwalazimisha viongozi wa “dini” iliyokuwa inaabudiwa wamkubali katika dini yao,lakini walimkatalia.Alexander mvamizi alikufa mwaka 323 BC.

Mrithi wa Alexander ,Ptolemy I au Soter(maana ya soter ni mwokozi) naye alikataliwa kuwa sehemu ya “dini” ya wamisri wa kipindi hicho lakini katika mji wa Memphis alipata baadhi ya viongozi wa dini waliosaliti na kumkubali.Walimpa jina la SERAPIS kwa kuunganisha majina Osiris na hepis.Huyu Ptelomy I ndiye aliyetibua misingi ya imani ya wamisri wa kipindi hicho.

Ptolemy I au Soter au Serapis au Christus alijipa cheo cha farao,alitengeneza sanamu ya kichwa yenye sura yake na watu wote walilazimishwa kuabudu lile sanamu.Waliomwabudu serapis walikuwa wanaitwa wakristo(neon la Kigiriki Christus)

SERAPIS 350 BC

ARIUS(256-336 A.D)

Alikuwa mmoja wa viongozi wa dini chini ya utawala wa warumi aliyepaza sauti kuwa kuabudu sanamu la serapis haikuwa sawa hivyo watu wote waache kuliabudu.

MKUTANO WA NICEA 325 A.D(the council of nicea)

Uliwakutanisha viongozi wa juu wa dini chini ya uenyekiti wa mfalme Constantine na ajenda kuu ya kwanza ilikuwa ni kumnyamazisha Arius asiendelee kueneza sumu ya kupinga kumuabudu serapis.Katika kipindi chote kulikuwa hakuna mtu anayeitwa yesu(jesus),aliyeabudiwa alikuwa ni serapis soter au mwokozi kwa Kiswahili.

MAAZIMIO YA MKUTANO WA NICEA 325 A.D

Ambapo ilitolewa “statement” ya imani ya kikristo iliandikwa na makasisi(bishops?) wa kanisa la roma wapatao 318.statement(ambayo ni kanuni ya imani kwenye kanisa katoliki la roma) inasomwa ‘nasadiki kwa mungu baba mwenyezi muumba mbingu na dunia,na kwa yesu kristo mwanae wa pekee’(hapa anaongelewa serapis sanamu).

1.Kubadilisha sanamu la serapis na kuweka la yesu

2. Kumfukuza Arius(exile) asiendelee kupinga imani ya warumi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
Umenifurahisha leo sana.kila mtu ataleta historia yake ya imani ya kikristo humu na kuaminisha wanachofanya wakristo si sahihi,

Lakini mimi nitakujibu kwa hoja chache tuu mfano
1.imani ya ya king ptolemy haihusiani hata kidogo na imani ya kikristo,hata kama walijiita jina la "mwokozi" haimaanishi nao imani yao ni sawa na wakristo wa leo.
Imani ya wakristo wa leo imejikita katika mizizi ya Abraham Isack na Yacobo alafu pia katika kizazi cha mfalme Daudi ambaye aliahidiwa na Mwenyezi Mungu Ukuu wa kupitia Uzao wake.
2.Msingi wa kanisa katoliki kama ilivo imani yeyote ile ni haswa kuamini mwanzo wake.ile kanuni ya imani ni msingi wa kanisa linasadiki kwa baba Mwenyezi Mungu,Roho mtakatifu na Yesu kristo.hapo haliusiani na jambo jingine lolote la kusadiki tofauti na hapo.
Ushauri wangu kwako sitaki kujua wewe ni imani ipi haswa ila nakushauri jikite kusaidia kuondoa maouvu katika jamii iyo ndio thawabu ya wewe kufika mbinguni.
hatari ya dunia saivi sio wewe unasali wapi ila mauvu ya duniani.mimi au yule kuonekana nafata imani yako haimaanishi ni mtu msafi na sina uovu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na tafsiri za hiyo picha inasemekana miongoni mwa wanafunzi wa Yesu Maria Magdalena naye alikuwemo.
Na alishiriki chakula na Bwana ambaye pia inasemekana alikua ni bwana wake na walizaa mtoto.
Hii nimeisoma kwenye kitabu cha the Davinc Code.
Tunaomba source ya kitabu iwe ni ya maisha ya yesu kipindi iko na imeandikwa pia kipindi iko.tofauti na hapo ni ujinga kusoma ujinga.ni sawa baada ya miaka 1000 mtu anaandika kitabu kuwa raisi wa kwanza Tanzania ni kleist sykes na sio nyerere alafu kizazi kingine kione ni sawa kwa ivo vitabu uchwara

Inaweza kitabu kingeandikwa hta kipindi hicho ila kingepotosha....me naona haya mambo ni imani tu ya mtu kama mtu, mfano mimi nshaamini yesu alikuja kwa ajili ya mpango wa Mungu kuokoa wanadam nikiwepo mimi so hayo mengine naacha tu yapte.....

Hizi ishu ukiziendekeza utakua mwehu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo huwa yananisikitisha sana tena sana.....

Hii dunia ni yajabu kweli kweli.Yale mambo ambayo ni conspiracy yanaonekana ndiyo ukweli wenyewe na ukweli unaonekana ni conspiracy.Ukiangalia kwa mfano hili suala la hii inayoitwa picha ya last super,inajulikana ilichorea na mtu aliyeishi miaka mingi sana baada ya kuwepo kwa Yesu na inajulikana kabisa ni ya kubuni tu,ni kwanini watu wanaichukulia kwa namna kubwa kiasi hiki?

Mleta mada umetaka tuijadili picha hii,ni kwanini tuijadili wakati siyo kitu halisi na ni cha kubuni tu? Tena aliyebuni ni mtu tu na interest zake.Leonado da Vinci ni nani haswa hadi tuzingatie michoro yake kuhusu nyakati ambapo hakuwepo?

Ninachojua mimi huyu jamaa alikuwa ni mwanachama wa vyama vya siri na alikuwa anajua siri kadhaa ya vyama hivi na baadhi ya siri hizo aliziweka kwenye michoro yake kwa codes fulani fulani lakini hakuwa akijua lolote kuhusu maisha ya Yesu kiasi kwamba tumtilie maanani kwa kiwango hiki....

Kama tukague kile alichokuwa anakijua kuhusu haya mambo yao ya sirini hapo sawa lakini siyo kukagua michoro yake ya kubuni kama vile ni michoro halisi inayowakilisha maisha ya Yesu....
We jamaa una vitu special ila kwanin hutaki kutudondoshea maarifa humu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Kutokana na tafsiri za hiyo picha inasemekana miongoni mwa wanafunzi wa Yesu Maria Magdalena naye alikuwemo.
Na alishiriki chakula na Bwana ambaye pia inasemekana alikua ni bwana wake na walizaa mtoto.
Hii nimeisoma kwenye kitabu cha the Davinc Code.
Wanafunzi walikuwa 12 au 13?
 
Sasa mbona umepaniki sana? Hapo suala sio la huyo mchoraji, suala je huyo aliekaa kushoto kwa Yesu ni nani? Nilidhani ungetoa jibu, kama hauna ungekaa kimya tu, wajuvi wa mambo watatujuza. Umebaki kulalamika kuhusu historia, umesahau hata Yesu alifundisha kwa kutumia mifano ili watu wamuelewe. Hoja yangu mifano ina mambo mengi, inaweza ukawa mfano aliouona, inaweza ikawa mfano aliotunga, au inaweza ukawa mfano aliosimuliwa, hapo suala ni mfano kiongozi!!
Mbona mie simuon mwanamke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidogo ungeangali film hizi ili zikufungue akili kidogo
-the da vinci demons(hii ni series)
-the da vinci codes (hii ina kitabu chake pia ni vizuri ukasoma novel yake) nadhani vitakufungua zaidi.
ila nijuavyo mm kama mkuu eiyer alivyosema huyu jomba alikuwa kwenye chama kimoja cha siri walichokiita prior of zion.

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Sasa mbona umepaniki sana? Hapo suala sio la huyo mchoraji, suala je huyo aliekaa kushoto kwa Yesu ni nani? Nilidhani ungetoa jibu, kama hauna ungekaa kimya tu, wajuvi wa mambo watatujuza. Umebaki kulalamika kuhusu historia, umesahau hata Yesu alifundisha kwa kutumia mifano ili watu wamuelewe. Hoja yangu mifano ina mambo mengi, inaweza ukawa mfano aliouona, inaweza ikawa mfano aliotunga, au inaweza ukawa mfano aliosimuliwa, hapo suala ni mfano kiongozi!!

Labda nimpumzishe tu mkuu eiyer,nimsaidie kukujibu,maana hutoshani naye,utampotezea muda.

Umeuliza swali usijiandalie majibu yako,subili upewe ukweli was mambo.
Huyo aliyeko kushoto mwa picha ya unayemwita yesu,hajulikani ni nani,ni picha tu ya kubuni ambayo mchoraji ndiye anajua alitaka amwite nani,amaanishe kitu gani,kama hujui mpaka Leo hakuna mwenye uakika hasa da vinc alikuwa na maana gani hasa,ni kubuni tafsiri tu,ambazo wewe ama Mimi pia naweza andika chochote kingine kuhusu hizo picha.

Mifano ya Yesu unailinganisha na picha hizi kwa namna gani ndugu????
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
Umenifurahisha leo sana.kila mtu ataleta historia yake ya imani ya kikristo humu na kuaminisha wanachofanya wakristo si sahihi,

Lakini mimi nitakujibu kwa hoja chache tuu mfano
1.imani ya ya king ptolemy haihusiani hata kidogo na imani ya kikristo,hata kama walijiita jina la "mwokozi" haimaanishi nao imani yao ni sawa na wakristo wa leo.
Imani ya wakristo wa leo imejikita katika mizizi ya Abraham Isack na Yacobo alafu pia katika kizazi cha mfalme Daudi ambaye aliahidiwa na Mwenyezi Mungu Ukuu wa kupitia Uzao wake.
2.Msingi wa kanisa katoliki kama ilivo imani yeyote ile ni haswa kuamini mwanzo wake.ile kanuni ya imani ni msingi wa kanisa linasadiki kwa baba Mwenyezi Mungu,Roho mtakatifu na Yesu kristo.hapo haliusiani na jambo jingine lolote la kusadiki tofauti na hapo.
Ushauri wangu kwako sitaki kujua wewe ni imani ipi haswa ila nakushauri jikite kusaidia kuondoa maouvu katika jamii iyo ndio thawabu ya wewe kufika mbinguni.
hatari ya dunia saivi sio wewe unasali wapi ila mauvu ya duniani.mimi au yule kuonekana nafata imani yako haimaanishi ni mtu msafi na sina uovu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Jesus's Story Is An Obvious Rehashing Of Numerous Previous Characters

Perhaps even more compelling is the story of Christ himself. As it turns out it's not even remotely original. It is instead nothing more than a collection of bits and pieces from dozens of other stories that came long before. Here are some examples.

  1. Asklepios healed the sick, raised the dead, and was known as the savior and redeemer.
  2. Hercules was born of a divine father and mortal mother and was known as the savior of the world. Prophets foretold his birth and claimed he would be a king, which started a search by a leader who wanted to kill him. He walked on water and told his mother, "Don't cry, I'm going to heaven." when he died. As he passed he said, "It is finished."
  3. Dionysus was literally the "Son of God", was born of a virgin mother, and was commonly depicted riding a donkey. He healed the sick and turned water to wine. He was killed but was resurrected and became immortal. His greatest accomplishment was his own death, which delivers humanity itself.
  4. Osiris did the same things. He was born of a virgin, was considered the first true king of the people, and when he died he rose from the grave and went to heaven.
  5. Osiris's son, Horus, was known as the "light of the world", "The good shepherd", and "the lamb". He was also referred to as, "The way, the truth, and the life." His symbol was a cross.
  6. Mithra's birthday was celebrated on the 25th of December, his birth was witnessed by local shepherds who brought him gifts, had 12 disciples, and when he was done on earth he had a final meal before going up to heaven. On judgment day he'll return to pass judgment on the living and the dead. The good will go to heaven, and the evil will die in a giant fire. His holiday is on Sunday (he's the Sun God). His followers called themselves "brothers", and their leaders "fathers". They had baptism and a meal ritual where symbolic flesh and blood were eaten. Heaven was in the sky, and hell was below with demons and sinners.
  7. Krishna had a miraculous conception that wise men were able to come to because they were guided by a star. After he was born an area ruler tried to have him found and killed. His parents were warned by a divine messenger, however, and they escaped and was met by shepherds. The boy grew up to be the mediator between God and man.
  8. Buddha's mother was told by an angel that she'd give birth to a holy child destined to be a savior. As a child he teaches the priests in his temple about religion while his parents look for him. He starts his religious career at roughly 30 years of age and is said to have spoken to 12 disciples on his deathbed. One of the disciples is his favorite, and another is a traitor. He and his disciples abstain from wealth and travel around speaking in parables and metaphors. He called himself "the son of man" and was referred to as, "prophet", "master", and "Lord". He healed the sick, cured the blind and deaf, and he walked on water. One of his disciples tried to walk on water as well but sunk because his faith wasn't strong enough.
  9. Apollonius of Tyana (a contemporary of Jesus) performed countless miracles (healing sick and crippled, restored sight, casted out demons, etc.) His birth was of a virgin, foretold by an angel. He knew scripture really well as a child. He was crucified, rose from the dead and appeared to his disciples to prove his power before going to heaven to sit at the right hand of the father. He was known as, "The Son of God".
THE STORY OF MOSES

MOSES

Moses is known as the Law-Giver, the giver of the Ten Commandments, the Mosaic Law. However, the idea of a Law being passed from God to a prophet on a mountain is also a very old motif. Moses is just a Lawgiver in a LONG line of Lawgivers in Mythological History.

MANU

In India, Manu was the great Lawgiver.

MINOS

In Crete, Minos ascended Mount Dicta, where Zeus gave him the Sacred Laws.

MISES

In Egypt there was Mises, who carried stone tablets and upon them the Laws of god were written. As far as the Ten Commandments, they are taken outright from Spell 125 of the Egyptian Book of the Dead. What the Book of the Dead phrased “I have not stolen”, became “Thou shall not steal.” “I have not killed”, became “Thou shall not kill.” “I have not told lies” became “Thou shall not bear false witness”, and so forth.

Mmh!!!minos,mises….moses

NOAH’S FLOOD Vs GILGAMESH FLOOD

The Gilgamesh Flood
In reality, it was Utnapishtim’s flood, told in the 11th tablet. The council of the gods decided to flood the whole earth to destroy mankind. But Ea, the god who made man, warned Utnapishtim, from Shuruppak, a city on the banks of the Euphrates, and told him to build an enormous boat:

Utnapishtim sealed his ark with pitch,7 took all the kinds of vertebrate animals, and his family members, plus some other humans. Shamash the sun god showered down loaves of bread and rained down wheat. Then the flood came, so fierce that:

Then the ark lodged on Mt Nisir (or Nimush), almost 500 km (300 miles) from Mt Ararat. Utnapishtim sent out a dove then a swallow, but neither could find land, so returned. Then he sent out a raven, which didn’t return. So he released the animals and sacrificed a sheep. This was not too soon, because the poor gods were starving:

The Noah’s flood bears roughly 95% of the above features.

THE HOLY TRINITY

Ancienty Egypt had the holy trinity,Osiris(The God father),Isis(The Goddess or God mother) and Horus(The Son God,also known as the god of the sun)

Christians have The God father, The God mother and the God son

What a similarity!!!coincidence?

NOTE: All the events happened thousands of years before the so called jesus of nazareth
 
Ukiangalia kwenye picha hiyo unaona kuwa wanafunzi wa Yesu wako katika makundi manne ya watu watatu watatu na Yesu yupo kati kati yao, je ni wapi tena tunapata mgawanyo wa makundi manne? angalia alama za zodiac zipo kwenye makundi mangapi na ni nini kipo kati kati ya zodiac. swali kuu ndio linaanzia hapo
 
Attachments

Tunaomba source ya kitabu iwe ni ya maisha ya yesu kipindi iko na imeandikwa pia kipindi iko.tofauti na hapo ni ujinga kusoma ujinga.ni sawa baada ya miaka 1000 mtu anaandika kitabu kuwa raisi wa kwanza Tanzania ni kleist sykes na sio nyerere alafu kizazi kingine kione ni sawa kwa ivo vitabu uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilicho sahihi kwako hakiwezi kuwa sahihi kwa kila mtu.
Na umeshaconclude ni ujinga wala haina haja ya kupewa link wala kitabu.
 
Back
Top Bottom