Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

mary madgalena hayupo angalia vizuri

last-supper-names.jpg
 
Kimeandikwa kwa lugha gani?

Unaweza usielewe
Shida sio lugha, shida ni maudhui yaliyomo humo ndani, yanapingana na vile ukristo na Bible inavyosema kuhusiana na yesu ikiwemo na hiyo picha ya the last supper
 
wapo 13 pale Andrew,James,Phillip,judah,Peter,John,JESUS CHRIST,Bartholomew,Thomas,Matthew,jamesh,thaddeus,Simon
i think John ndo ana women face
 
Jamani nijuoavyo mm biblia imeandikwa kwa kutumia akiri nyingi sana ila mtu yeyote akiivamia kwa kutumia akiri ndogo atakuwa Kama Leonado Davince maana akuwa anaongozwa na shetani
 
Hapana siyo mimi hii niliisoma kwenye kitabu cha Davinc code
,kina tafsiri ya vitu vingi vingi vinavyotambulika katika ukristo.
Amejaribu kuvidadavua kwa uwazi zaidi.
Ila kikubwa ni kushikilia Imani yako.
Amini unachoamini yeye Da Vinc anaweza asiwe Sahihi ama akawa Sahihi,
Lakini haifai kubadili imani ya mtu.
Huyu da vinc alikuwa mkristo?
Kama hakuwa mkristo inamaana alikuwa kinyume na KRISTO,
je mtu aliyekinyume na Ukristo anaweza kuusemea jambo kuu lihusulo ukristo kwa usahihi?,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eiyer eti Issa na YESU ni jina moja kama wanavyo itaa?
Kwanini?
Issa haina maana ya Yesu kwa lugha yoyote ile,Issa ni jina lingine linalohusu kitu kingine na lilitumiwa na mtu mwingine kabisa....

Yesu kwa Kiarabu ni Yeshu,sawasawa kabisa na Yesu kwa Kiebrania ambayo ni Yesh'ua..

Sijui wanaosema Issa ni Yesu wanataka kusema nini,lakini hata sifa zao tu ni tofauti.Issa ni mtoto wa mwanamke aliyeitwa Mariamu,alizaliwa chini ya mtende,alikuwa ni binadamu na alitumwa na mungu anayeitwa Allah na hakufa...

Yesu kwa upande mwingine ni Mungu aliyevaa umbo la mwanadamu,alizaliwa kwenye hori la kulishia Ng'ombe,mama yake ni mwanamke aliyeitwa Mariamu,ni mwokozi wa wanadamu maana alikufa kwaajili yao...

Kwa uchache ni hivyo,unaweza kuona tofauti haishii kwenye jina tu bali hadi kwenye sifa zao.....
 
UKRISTO

ALEXANDER,THE GREAT(actually the invader/barbarian)

Alexander,The Great(the barbarian,the invader) aliivamia Kemet(Misri) mwaka 332 BC na kumuondoa mfalme(farao) na yeye kuchukua kiti cha ufalme akiwa hajui chochote kuhusu mila na desturi za Misri.

Aliwalazimisha viongozi wa “dini” iliyokuwa inaabudiwa wamkubali katika dini yao,lakini walimkatalia.Alexander mvamizi alikufa mwaka 323 BC.

Mrithi wa Alexander ,Ptolemy I au Soter(maana ya soter ni mwokozi) naye alikataliwa kuwa sehemu ya “dini” ya wamisri wa kipindi hicho lakini katika mji wa Memphis alipata baadhi ya viongozi wa dini waliosaliti na kumkubali.Walimpa jina la SERAPIS kwa kuunganisha majina Osiris na hepis.Huyu Ptelomy I ndiye aliyetibua misingi ya imani ya wamisri wa kipindi hicho.

Ptolemy I au Soter au Serapis au Christus alijipa cheo cha farao,alitengeneza sanamu ya kichwa yenye sura yake na watu wote walilazimishwa kuabudu lile sanamu.Waliomwabudu serapis walikuwa wanaitwa wakristo(neon la Kigiriki Christus)

SERAPIS 350 BC



ARIUS(256-336 A.D)

Alikuwa mmoja wa viongozi wa dini chini ya utawala wa warumi aliyepaza sauti kuwa kuabudu sanamu la serapis haikuwa sawa hivyo watu wote waache kuliabudu.

MKUTANO WA NICEA 325 A.D(the council of nicea)

Uliwakutanisha viongozi wa juu wa dini chini ya uenyekiti wa mfalme Constantine na ajenda kuu ya kwanza ilikuwa ni kumnyamazisha Arius asiendelee kueneza sumu ya kupinga kumuabudu serapis.Katika kipindi chote kulikuwa hakuna mtu anayeitwa yesu(jesus),aliyeabudiwa alikuwa ni serapis soter au mwokozi kwa Kiswahili.

MAAZIMIO YA MKUTANO WA NICEA 325 A.D

Ambapo ilitolewa “statement” ya imani ya kikristo iliandikwa na makasisi(bishops?) wa kanisa la roma wapatao 318.statement(ambayo ni kanuni ya imani kwenye kanisa katoliki la roma) inasomwa ‘nasadiki kwa mungu baba mwenyezi muumba mbingu na dunia,na kwa yesu kristo mwanae wa pekee’(hapa anaongelewa serapis sanamu).

1.Kubadilisha sanamu la serapis na kuweka la yesu

2. Kumfukuza Arius(exile) asiendelee kupinga imani ya warumi
Out of point hii ndio shida ya watoto wa st.mery wao umeza na kuvitua hata kwenye barabara za mwendo kasi
 
Hii picha ni feki.
Jee wayahudi walikua wakila juu ya meza kama hizi?
Supper ni chai ya jioni ...sana wazungu ndo wanatenga muda huo...jee wayahudi walikua na mlo wa jioni ?
Mbona wamelaliana kama wagonjea fulani hivi?
Nadhani hii picha feki isikushughulisheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of point hii ndio shida ya watoto wa st.mery wao umeza na kuvitua hata kwenye barabara za mwendo kasi
what is your point buddy?
1.st Mary's?
2. age?
prove to members that i am wrong from my post!!!acha vioja.
 
Hii picha ni feki.
Jee wayahudi walikua wakila juu ya meza kama hizi?
Supper ni chai ya jioni ...sana wazungu ndo wanatenga muda huo...jee wayahudi walikua na mlo wa jioni ?
Mbona wamelaliana kama wagonjea fulani hivi?
Nadhani hii picha feki isikushughulisheni

Sent using Jamii Forums mobile app
taswira ya Yesu na Bikira Maria imetokana na hiyo picha
 
Kwa mtazamo wangu,
Mtu yeyote mwenye knowledge ya kutosha kuhusu vitu mbalimbali,hufikia stage ya kuamua aamini nini asiamini nini.
Ndio Maana kuna versions nyingi za dini na sanasana Christianity.

Da Vinci,since alikuwa Ni mtu aliyejua mengi,alikuwa na influence zaidi.
Nikimaanisha mtu mwingine angechora the last supper probably nobody would have noticed anything.

These people of influence Mara nyingi huwa kwenye secret cults zenye dhamira na maono Fulani.

Ukristo Ni dini ambayo imepingwa vikali throughout history;na warumi,waislamu n.k but still managed to survive.

Propaganda au siasa za maneno pekee haziwezi kuangusha ukristo na kivyo longterm plans sanasana zile zinazo disrupt historia au mizizi ya dini,ndiyo suluhisho muhimu.

Quotes nyingi za Da Vinci zinaonesha Ni mtu anayeamini uwepo wa Mungu ila sio mkristo mwaminifu.
Yeye kutokana na reasoning yake aliamini uwepo wa Mungu ila reasoning yake haikutosha kuamini ukristo.
Labda hizi ndio sababu tunaona hizi mocking last supper paintings.

Dan Brown kwenye the da Vinci code alienda mbali na kusema eti Yesu alizaa na Mary Magdalene,mtoto anayeitwa Sarah.
Kwamba hii ndiyo generation ya watu wenye akili duniani.
N.k
Hii haikuwahi kuniingia akilini though.

da Vinci was a very intelligent man,amabaye alimwamini Mungu kutokana na reasoning na deductions.
Apart from that,huyu mwanaume alikuwa na maisha yake mengine ya siri na lengo Fulani,by the way alikuwa na guts za kuwa homosexual katika karne ambayo ilikuwa highly illegal and a punishable act
Hapa ndipo ntapobase my deductions za the last supper.

wengine wanasema huyo anayedhaniwa Ni Mary Magdalene Ni mwanafunzi wake mpendwa John.

Mimi personally naamini huyo Ni John,kwanini?
Da Vinci alidhaniwa Ni shoga kwa sababu mbalimbali; kuchora wanaume wengi tena uchi kuliko wanawake,alishtakiwa for sodomy zaidi ya Mara moja hivi,hakuoa,rumor had it alikuwa na boyfriend ambaye ndiye alichorwa kwenye picha ya monalisa pamoja na mwanamke mwingine..yani aliwablend.

Sasa,da Vinci akaona apotray upendo wa Yesu kwa John anavyoona yeye.John akamchora 'mzuri' na mwenye maumbo ya 'kike' kama yeye anavyowachukulia wanaume kutokana na tabia yake.

Labda alitaka kujifananisha na Yesu kuwa Yesu hakuoa na yeye hakuoa.
Da Vinci alikuwa shoga Akataka na watu wamchukulie hivyo Yesu.Too bad,watu waliishia kufikiria Ni Mary Magdalene.Au labda muda wakufikiri hivyo ulikuwa bado hujafika.

Huyu jamaa Ni wazi alikuwa hamkubali Yesu.Alikuwa anaona Yesu Ni mtu wakawaida kama yeye ambaye alikuwa na akili kama yeye.
Ndio Maana hajawahi kumwongelea Yesu kwenye notes zake.

Hata Christian freemasons wanaamini uwepo wa Mungu,ila acknowledging Jesus?that I do not know.

Nilisema mwanzoni kila jambo lina agenda yake.Katika dunia hii ambayo homosexuality inaanza kuonekana na itakuwa kama kitu cha kawaida.
This last supper paint itakuja kutumika kupropagate hii agenda.Makanisa yanayokubali homosexuality yataongezeka na itafika stage watasema Yesu alikuwa gay.Remember the power of history,especially from a learned da Vinci.

Ndo hapo tutashangaa kumbe muda wote tulipoteza kufikiri da vinci alimchora Mary Magdalene.Kumbe Ana a more secret agenda undercover.
Kuwakomoa vilivyo wakristo kwa kutoruhusu homosexuality,kwa kumtumia the core icon.Ikumbukwe alikuwa hapendi kanisa katoliki.

I'm just thinking out loud.
 
Back
Top Bottom