Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

Nadhani ni wengi tumewahi kuisikia au hata kuiona picha maarufu duniani hasa kwa waumini wa dini ya kikristo ya THE LAST SUPPER iliochorwa na mtu anaedhaniwa kuwa miongoni mwa watu wenye akili nyingi (genious) kupata kutokea katika ulimwengu huu. Mtu huyo si mwingine ni LEONARDO DA VINCI.

Kimsingi wengi wetu mie nikiwa mmoja wao nilikua nadhani ni picha ndogo tu ya kawaida lakini inasemekana kwamba picha hio ina urefu wa futi 15 na upana wa futi 29. Vile vile kuna taarifa kwamba picha hio siku za nyuma ilikua ni siri na ilifichwa mpaka ilipofika yapata mwaka 1999 ndipo kwa mara ya kwanza iliwekwa kwenye maonyesho rasmi.

DA VINCI anajulikana kwa kutumia sana alama za siri kuficha jumbe mbalimbali katika sanaa zake. Na inasemekana hio ilitokana na na kuwepo kwa sheria kali kwa wale wote waliokuwa na mawazo tofauti dhidi ya roma katika kipindi cha renaisence

Turudi kwenye mada ya msingi;
Kwenye picha ya THE LAST SUPER inaonyesha yesu akipata mlo wa mwisho na mitume wake 12. Lakini kama tujuavyo miongoni mwa mitume 12 wa yesu hakuwa kuonekana mwanamke , wote walikua wanaume.
Lakini kwa upande wa kulia wa yesu katika picha hio anaonekana mtu anaedhani kwamba ni MARY MAGDALENE.

Swali la msingi ni kwamba
Je DA VINCI ALITAKA KUELEZA NINI KUPITIA PICHA HII KWA KUMUWEKA MTU AMBAE ANALETA UTATA WENGINE WAKISEMA NI MARY MAGDALENE LAKINI WAPO WANAOSEMA NI JOHN THE BAPTIST.
KARIBUNI.
soma [HASHTAG]#Davincicode[/HASHTAG]
 
Uzushi na Da Vinci is known respectable anti christ /pioneers of Freemansonly
 
Niliangalia muvi ya the da Vinci code....mambo niliyoyaona ni ya kushangaza...kama ni ya kweli au si kweli,..basi dunia hii kuna watu wanajua Ku mislead
 
Unajua Da Vinci aliwahi kufanya kazi Vatican na michoro mingi alichora yeye ambayo ipo kwenye basilia Kwa hiyo huwezi kumpuuza kirahisi chimba deep Kwa nini ilikuwa hivyo
 
Watu tunahoji maana halisi ya hii michoro ni nini.maana toka achore hakuwahi nukuliwa popote akiitafsiri.

So dhana mbali mbali juu ya maana halisi ya hii michoro inaibuka,kwani nikikuuliza kwanini aliiweka sura ya huyo mpenzi wake(mtoto wa papa)wa wakati huo unadhani nitapata majibu mangapi????lakini anayejua kwanini ni yeye aliyeweka.
 
Unajua Da Vinci aliwahi kufanya kazi Vatican na michoro mingi alichora yeye ambayo ipo kwenye basilia Kwa hiyo huwezi kumpuuza kirahisi chimba deep Kwa nini ilikuwa hivyo

sio Vatican pekee hata Cathedrals nyingi Duniani kama Ufaransa,UK nakwingine kwingi design ya Makanisa na picha zote walifanya hao hao masons ambao waliweka siri zao za mpinga kristo ndani ya makanisa hayo.

Nimesha soma na ninajua ndio maana na NAMPUUZA kwa herufi kubwa
 
Niliangalia muvi ya the da Vinci code....mambo niliyoyaona ni ya kushangaza...kama ni ya kweli au si kweli,..basi dunia hii kuna watu wanajua Ku mislead
sana kuna watu wapo special ku lead this world to their way of thinking,and if your are not deep enough u might be drifted easly.
 
Mkuu tunaomba na sisi utupe hiyo Elimu uliyosoma nasi tumpuuzee..

Ahsante.
sio Vatican pekee hata Cathedrals nyingi Duniani kama Ufaransa,UK nakwingine kwingi design ya Makanisa na picha zote walifanya hao hao masons ambao waliweka siri zao za mpinga kristo ndani ya makanisa hayo.

Nimesha soma na ninajua ndio maana na NAMPUUZA kwa herufi kubwa
 
Kwa haraka haraka....

Kwanza wengi hawafahamu kwamba kuna michoro mingi tu kabla ya huyu Leonardo Da Vinci kuzaliwa ilishachorwa na wachoraji wengine na ilikuwa tofauti na huu mchoro wa Da Vinci.....

Pili,hakuna anayejua kwa hakika kuwa Leonardo Da Vinci alikuwa akimaanisha nini kwenye michoro yake kwasababu hakuwahi kuacha maelezo kuelezea alichokuwa akikimaanisha.Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni kwamba Leonardo Da Vinci alibuni mchoro huo kwa namna alivyouona na kufikiri yeye na huenda alikuwa na maana ambayo hakuna ajuaye....

Kwa maana hii,yote yanayohusu mchoro huu ambao ni wa kubuni nayo pia ni ya kubuni kwasababu hayana uhakika.Sijaona sababu ya msingi ya watu kuhangaika na mambo ambayo yamejengwa kutoka mchoro wa kubuni na usio na ukweli wowote...

Kama akija mtu na kusema kuwa huyu Da Vinci alikuwa anamaanisha chochote nje ya masuala ya Yesu huenda akasikilizwa kwa sehemu,lakini akija na kusema kuwa Da Vinci alikuwa anamaanisha chochote kuhusu Yesu hatasikilizwa kwasababu ni uwongo kwasababu Da Vinci hakuishi wakati wa Yesu na kwa maana hiyo alibuni tu huo mchoro,kama alibuni kitakachosemwa chochote kuhusu mchoro huo nacho kitakuwa cha kubuni tu....

Nikija kwenye unachotaka kuhusu mabaya aliyomaanisha Da Vinci kuhusu mchoro huo nitaeleza kwa kifupi kwa sababu sikujiandaa na hili na pia ni jambo ambalo halina uhakika pia kwasababu nilizozieleza hapo juu....

Karibu kwa ufupi..

Leonardo Da Vinci alizaliwa huko Italia tarehe 15 April 1452 na jina lake kamili ni Lionardo di ser Piero da Vinci.Leonardo Da Vinci alijulikana sana kwa taaluma yake ya uchoraji mahiri sana kwa wakati wake.Wakati wa ujana wake,Da Vinci na vijana wengine watatu walishitakiwa kwa kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja.hii ilikuwa ni mwaka 1476.

Leonardo Da Vinci aliwahi kuwa msaidizi wa anayedaiwa kuwa mtoto wa Papa Alexanda wa 6 mwaka 1502 hadi October 18 1502.Borgia alizaliwa Sept 13,1475,huko Rumi.Wazazi wake wakiwa ni Papa Alexander na mwanamke aliyajulikana kama Vannozza Dei Cattanei....

Inadaiwa kwamba wakati Da Vinci akiwa ni msaidizi wa kijana huyu huko Rome,walianzisha mahusiano ya kingono ya kinyume na maumbile.Inadaiwa kwamba katika kipindi ambacho walikuwa kwenye mapenzi moto moto ndipo Leonardo Da Vinci alichora picha hizi za kubuni na kutokana na mapenzi yake kwa Borgia aliaamua kuchora sura ya Borgia kwenye umbo la mtu aliyebuni kuwa kama Yesu...

Picha hii maarufu inadaiwa kuchorwa kati ya mwaka 1499 na 1503...

Baadhi ya watafiti wanadai kwamba lengo lingine la mchoro wa Leonardo Da Vinci ni kutaka kuonesha kuwa Yesu hakuwa na Uungu wowote bali alikuwa ni mtu tu...

Jambo hili lilionekana kwenye michoro hiyo ambayo alichora michoro yake bila kuwawekea kitu kinachoitwa "Halo"..

Halo ni nini?

Halo ni ule mduara unaoonekana kichwani kwa mtu yoyote anayechukuliwa kuwa ni mtakatifu...

Angalia picha hizi hapa chini....

36AE7ED900000578-3713591-image-a-19_1469741249702.jpg

Mchoro wa Leonardo Da Vinci wa karne ya 15 ukionesha wahusika wa mchoro wakiwa hawana hiyo mizunguko vichwani mwao kuonesha utakatifu....

36AE7F3500000578-3713591-image-m-22_1469741326502.jpg

Mchoro wa karne ya 14 ukionesha karamu ya mwisho kama ulivyobuniwa na mchoraji kipindi hicho.Hapa tunaona wahusika wakiwa na "halo" au round fulani hivi vichwani mwao kuonesha "utakatifu" wao....

36AE7EE100000578-3713591-image-a-24_1469741352055.jpg

Mchoro mwingine wa karamu ya mwisho wa karne ya 14...

Ukiangalia michoro hii inatofautiana,lakini yote ni ya kubuni tu....

Kwa maana hii ni kwamba mchoro wa Da Vinci una maana mbili hasi na ambazo pia hazina uhakika au ushahidi sana au hakuna kabisa ushahidi wowote...

1;Mahali alipoamua kumchora mtu aliyepachikwa kuwa ni Yesu alimchora mtu huyo kwa sura ya Cecare Borgia...

2; Alichora p[icha hizo kuonesha kuwa Yesu hakuwa na Uungu wowote ule...

Ni hayo tu kwa ufupi sana....

Na dhani nimekata kiu yako kwa sehemu....
Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How Stone Masons Built Cathedrals
BUILDING HEAVEN ON EARTH
Below is a great documentary from the BBC, which details the process and spiritual symbolism of the operative stone masons. These same understandings are what came to be the foundation of the Freemasons and speculative masonry.

Building usually started at the east end, where mass was celebrated. When that was finished the church could be consecrated and put to use. followed by the transepts running north to south, the nave and the side aisles would follow. From foundations to finish might take less than 60 years or as many as 200 if the money ran out. It’s a bit of a myth that the medieval cathedrals somehow design themselves in a great communal outburst of religious energy without the help of what we would call architect. in fact he may not have been called an architect but to create a structure of this ambition you need a man with skill, vision, and expertise. A man who knew what he was doing.

Those men were called Master Masons. They learned everything they knew one site, progressing from apprentice to stone carver. They travelled and made sketches at what they saw, adapting them for their own designs to put to the Bishop. Very few medieval mason’s plans or notebooks survive. Those that do show they knew geometry. Not the theory that we understand today, but a geometry based on the complex manipulation of squares, circles and triangles to produce shapes and patterns in regular proportions.

Some of these patterns can seem pretty sophisticated. The ratio of one to the square root of two for example crops up in lots cathedrals. It’s a formula that suggests some pretty sophisticated mathematics. in fact it’s very easy to generate using some basic geometry. Simply draw a square and draw a diagonal across it and the relationship between the diagonal and the side of the square will be in the proportion of one to the square root of two.

If you take the ground plan or footprint of a cathedral like Norwich for example. the cloister is a square draw a diagonal across it and you get the length of the naive. create a square from that length, on a diagonal across that square gives you the length of the entire church, right up to the high altar.

Proportion, ratio, symmetry. To the medieval mind these were spiritual qualities. they reflected the harmony of creation and the medieval mason’s cared passionately about them. Some have claimed to spot mysterious messages and codes in the dimensions of medieval cathedrals. The number 144 for example, which refers to the number of those who will be saved in the book of Revelation. All kinds of numbers that occurr in the Bible pop up from time to time in Cathedral architecture. These are mostly the ideas and churchmen. Much more common are the basic geometrical principles followed by the master masons with the a square, a circle and a diagonal you can generate an entire cathedral.

Thanks cosa nostra that language used in this string is picture language if you use full your brain you will know who is Freemason
 
Niliangalia muvi ya the da Vinci code....mambo niliyoyaona ni ya kushangaza...kama ni ya kweli au si kweli,..basi dunia hii kuna watu wanajua Ku mislead

Sisi wanafasihi tunaamini fasihi ni zao la jamii Mwandishi hawezikutoka kitu kutoka nnje ya jamii yake iwe uongo au ukweli lakini hicho kitu kinazungumzwa kwenye jamii husika. Kwenye ukweli siku zote uongo hujitenga
 
Thanks cosa nostra that language used in this string is picture language if you use full your brain you will know who is Freemason
I know who Freemanson is and this is how they operate to date, Master to Apprentice.

''If you don’t know where you’re going, any road will get you there".
 
Nadhani ni wengi tumewahi kuisikia au hata kuiona picha maarufu duniani hasa kwa waumini wa dini ya kikristo ya THE LAST SUPPER iliochorwa na mtu anaedhaniwa kuwa miongoni mwa watu wenye akili nyingi (genious) kupata kutokea katika ulimwengu huu. Mtu huyo si mwingine ni LEONARDO DA VINCI.

Kimsingi wengi wetu mie nikiwa mmoja wao nilikua nadhani ni picha ndogo tu ya kawaida lakini inasemekana kwamba picha hio ina urefu wa futi 15 na upana wa futi 29. Vile vile kuna taarifa kwamba picha hio siku za nyuma ilikua ni siri na ilifichwa mpaka ilipofika yapata mwaka 1999 ndipo kwa mara ya kwanza iliwekwa kwenye maonyesho rasmi.

DA VINCI anajulikana kwa kutumia sana alama za siri kuficha jumbe mbalimbali katika sanaa zake. Na inasemekana hio ilitokana na na kuwepo kwa sheria kali kwa wale wote waliokuwa na mawazo tofauti dhidi ya roma katika kipindi cha renaisence

Turudi kwenye mada ya msingi;
Kwenye picha ya THE LAST SUPER inaonyesha yesu akipata mlo wa mwisho na mitume wake 12. Lakini kama tujuavyo miongoni mwa mitume 12 wa yesu hakuwa kuonekana mwanamke , wote walikua wanaume.
Lakini kwa upande wa kulia wa yesu katika picha hio anaonekana mtu anaedhani kwamba ni MARY MAGDALENE.

Swali la msingi ni kwamba
Je DA VINCI ALITAKA KUELEZA NINI KUPITIA PICHA HII KWA KUMUWEKA MTU AMBAE ANALETA UTATA WENGINE WAKISEMA NI MARY MAGDALENE LAKINI WAPO WANAOSEMA NI JOHN THE BAPTIST.
KARIBUNI.

Mada inahusu picha halafu picha yenyewe huiweki. Mijitu mingine bana...
 
Gothic-Cathedrals-Freemasons-Symbols.jpg

Burgos Cathedral is a Gothic-style cathedral in Burgos, Spain. Begun in 1221, it is famous for its vast size and unique architecture. Do ancient secrets lay hidden here?

Hili ni kanisa Kuko Spain ila Sanamu hili halina uhusiano wowote na Ukristo so are Da vinci pictures ,
ukiwa unaeda kanisani kumuomba Mungu wako wapo wanakweenda kumuomba Mungu wao.

mende msafi Gaselle
 
hapa ndipo ninapokuheshimi Eiyer kwenye mada kama hizi.
nami naomba nikuulize mkuu kama unaufahau wa lile tendo linalofanywa na rc la kugeuza mkate na divai kua mwili na damu ya yesu,je ni sahihi wanavyofanya? na nisawa na maagizo sahihi ya yesu?
Sikumbuki kama Yesu aliagiza hili ndani ya biblia lakini hii haimaanishi hakuagiza hilo kwasababu maagizo ya Yesu mengine hayapo kwenye vitabu vilivyoko kwenye biblia na hata baadhi ya vitabu hivyo vinakiri haya....

Kwasababu sijui hayo ni vigumu kusema wanakosea au vinginevyo.....
 
We jamaa una vitu special ila kwanin hutaki kutudondoshea maarifa humu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Vitu vipi unataka mkuu?

Mbona nina thread nyingi tu na pia ninachangia kwenye mada nyingine?
 
Back
Top Bottom