Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

Nini tafsiri halisi ya picha ya the last supper?

Nimeusoma huu uzi wote cha kueleza hapa ni kuwa huyu Leonardo Da Vinci aliichora picha hii ya the Last Super kujaribu kupotosha. Maadui wa Yesu na wafuasi wake wanajaribu mara zote kuvuruga lakini hawajawahi kufanikiwa. That's why kupitia vyama vyao vya siri vina agenda hii tangu miaka ya zamani sana. Vyama hivi vya Illuminati kama vile Freemason, Skull & Bones, Bohemian Grove, Bilderberg group, Thule society,the order of nine angels, Assassins vipo vingi mno. Sio ajabu kwani hawa watu wameingiza mafundisho yao mengi ya upotofu katika dunia na wanaiongoza dunia kupitia viongozi wakuu, habari, bidhaa tunazotumia, habari na mawasiliano .

Kwa namna hiyo ndiyo maana mtunzi wa kitabu cha The Da Vinci's Code anayeitwa Dan Brown pia mchoraji wa picha ya The last supper wote ni wapotoshaji. Tukirudi kwa Yesu na Issa bin Mariam hapa napo kuna mchanganyiko mkubwa imani hizi mbili za Mashariki ya kati wengine wakimuamini mtume aliyepewa utume pale Jabal Hirra Saudi Arabia na wengine wakimuamini Yesu Kristo wa Nazareth. Wakristo wanaamini wao ni Isaka mtoto wa Ibrahimu ambaye alikuwa na mtoto mwingine kupitia mjakazi wake mmisri akiitwa Hijra mtoto anaitwa Ismail (Ishmael). Mafundisho ya dini hizi mbili ni tofauti kabisa japo eti kuna majina ya mitume wa Uislamu yanashabiahiana na wa Ukristo! Kuna dini nyingi sana zingine ukiachia UISLAMU na UKRISTO kuna zingine kama UHINDU (wana maelfu ya miungu na imani ), BUDHA, TAO, KONFUSHIAN, JAI, SHINTO.
 
Hapana siyo mimi hii niliisoma kwenye kitabu cha Davinc code
,kina tafsiri ya vitu vingi vingi vinavyotambulika katika ukristo.
Amejaribu kuvidadavua kwa uwazi zaidi.
Ila kikubwa ni kushikilia Imani yako.
Amini unachoamini yeye Da Vinc anaweza asiwe Sahihi ama akawa Sahihi,
Lakini haifai kubadili imani ya mtu.
Unaelewa nini juu ya wapinga Kristo..? Au unajua chochote kuhusu huyo Davinc na secret service..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na tafsiri za hiyo picha inasemekana miongoni mwa wanafunzi wa Yesu Maria Magdalena naye alikuwemo.
Na alishiriki chakula na Bwana ambaye pia inasemekana alikua ni bwana wake na walizaa mtoto.
Hii nimeisoma kwenye kitabu cha the Davinc Code.
Na huyo mtoto aliitwa Nani?
 
Nadhani ni wengi tumewahi kuisikia au hata kuiona picha maarufu duniani hasa kwa waumini wa dini ya kikristo ya THE LAST SUPPER iliochorwa na mtu anaedhaniwa kuwa miongoni mwa watu wenye akili nyingi (genious) kupata kutokea katika ulimwengu huu. Mtu huyo si mwingine ni LEONARDO DA VINCI.

Kimsingi wengi wetu mie nikiwa mmoja wao nilikua nadhani ni picha ndogo tu ya kawaida lakini inasemekana kwamba picha hio ina urefu wa futi 15 na upana wa futi 29. Vile vile kuna taarifa kwamba picha hio siku za nyuma ilikua ni siri na ilifichwa mpaka ilipofika yapata mwaka 1999 ndipo kwa mara ya kwanza iliwekwa kwenye maonyesho rasmi.

DA VINCI anajulikana kwa kutumia sana alama za siri kuficha jumbe mbalimbali katika sanaa zake. Na inasemekana hio ilitokana na na kuwepo kwa sheria kali kwa wale wote waliokuwa na mawazo tofauti dhidi ya roma katika kipindi cha renaisence

Turudi kwenye mada ya msingi;
Kwenye picha ya THE LAST SUPER inaonyesha yesu akipata mlo wa mwisho na mitume wake 12. Lakini kama tujuavyo miongoni mwa mitume 12 wa yesu hakuwa kuonekana mwanamke , wote walikua wanaume.
Lakini kwa upande wa kulia wa yesu katika picha hio anaonekana mtu anaedhani kwamba ni MARY MAGDALENE.

Swali la msingi ni kwamba
Je DA VINCI ALITAKA KUELEZA NINI KUPITIA PICHA HII KWA KUMUWEKA MTU AMBAE ANALETA UTATA WENGINE WAKISEMA NI MARY MAGDALENE LAKINI WAPO WANAOSEMA NI JOHN THE BAPTIST.
KARIBUNI.
Hapa unauliza swali ambalo hawana majibu. Tafsiri ya hii picha ni kama tunavyoweza kuangalia michoro ya Kipanya, haina maelezo na kila mtu huja na tafsiri yake,ila kungekuwa na nafasi ya kumwuliza mchoraji basi angeweza kusema jambo tofauti kabisa na lile watu wanalolisema.
 
Wanafunzi wake wa kiume hapo kuna wanaume 11 uyo wakike anafanya idadi inakua kumi na mbili je ni mlezi
 
Back
Top Bottom