Nini Mchango wa Msanii Kama Wema Wakati wa Harakati kama za Leo? | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Mchango wa Msanii Kama Wema Wakati wa Harakati kama za Leo?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Chakaza, Nov 26, 2017.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2017
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 25,399
  Likes Received: 26,225
  Trophy Points: 280
  Chama changu kilitumia nguvu nyingi kumtetea na kumnadi msanii Wema na wengine ikiaminika kuwa wanaweza kutumia fursa ya umaarufu wao katika sanaa kuvuta hisia kwa wengine wakati kama huu makamanda wanapo pambana huko field.
  Lakini kwa muono wangu hakuna faida yeyote tuliyopata au tupatayo ukilinganisha na nguvu kubwa iliyotumika kumpokea, kumtetea na hata kumpa nafasi kama mtu wa msaada kwa chama.
  Imagine matukio kama haya ya mawakala kupigwa mapanga na nondo na kuumizwa, mtu kama Wema angeposti katika ukurasa wake kuonyesha kusikitishwa nayo jamii ingepokeaje swala hilo? Hata vijana washabiki wake wangeguswa na kujenga taswira mpya ya kuelewa nini kinaendelea.
  Sasa tokea kampeni za udiwani zimeanza hadi mabaya haya yanatokea yeye hana habari kabisa na hayamhusu. Lakini utetezi wa maonevu aliokuwa anafanyiwa ndio anaona chama kinamhusu, huu ni ujinga usio vumika kabisa. Nadhani kama chama kitengo cha uenezi tuwe na la kujifunza hapa.
  Kama mtu haumizwi na ile damu ya wana Chadema inayomwagwa kwa maumivu makali basi hastahili kuitwa mwenzetu na akae mbali nasi au arudi alikotoka.
   
 2. M

  Meela JF-Expert Member

  #101
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,063
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Wema ni mrembo ni babe. Alipokelewa CDM na kupewa ulinzi mzito wa chama kwa kuwa baadhi ya viongozi walikuwa wanatafuta namna ya kumweka ndani ya 18 ili wam"do" and they have achieved that. Mission accomplished full stop. Sasa hivi Wema is nobody to CDM and Wema has realized that too.
   
 3. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #102
  Nov 27, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,886
  Likes Received: 13,324
  Trophy Points: 280
  Magonjwa hapo nimekuonjesha tu kama Kb 2 za lugha za shombo. Hii ID acha kabisa ni weka mbali na watoto, inaweza lugha za kistaarabu, ina point na ina lugha za shombo ile mbaya. Ukijifanya unajichanganya na mimi ujipange kila channel naiweza, ukija kistaarabu nakujibu kistaarabu, ukileta hoja naina na kuijibu kiungwana sana. Ukija kutafuta mabasha nipo na niko na K Y Jelly kabisa sitaki uchubuke. Tazama hii ID vizuri ni shida, wenzako waliojichanga na mimi waliipata fresh na mpaka leo wanaheshima na mimi nawaheshimu. Ukitaka league ya shombo jipange maana ban itakuhusu kwani washamba huwa mnapandisha jazba kwa haraka na huwa nawamudu. Tazama nimekuprovoke umekuja fasta unahemea juujuu mishipa ya shingo kama unafanyiwa wiring.
   
 4. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #103
  Nov 27, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 12,135
  Likes Received: 6,834
  Trophy Points: 280
  Huna lolote wewe kibwengo.
   
 5. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #104
  Nov 27, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,886
  Likes Received: 13,324
  Trophy Points: 280
  Achana na hii ID itakuharibia siku ni shida. Cheza na mapeasant wenzako sio na mimi. Nakutakia usiku mwema jamaa yangu.
   
 6. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #105
  Nov 27, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 12,135
  Likes Received: 6,834
  Trophy Points: 280
  Yaani katika watu wapuuzi wewe ni mmoja wapo.
   
 7. simbamzeewamwakidila

  simbamzeewamwakidila JF-Expert Member

  #106
  Nov 27, 2017
  Joined: May 4, 2013
  Messages: 1,261
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Anasaidia kuondoa stress
   
 8. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #107
  Nov 27, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,886
  Likes Received: 13,324
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nakutakia usiku mwema kiroho safi, ulikuwa unajichanganya na mimi kishamba, lakini nimekuonjesha shubiri kidogo ili ukae sawa. Niko na kama 100Terrabite shombo tupu kwenye archive, sioni kama kifua chako cha 250gb kinaweza kumudu hiyo volume. Nakukanya, ukitaka hoja njoo kwa hoja. Ukitaka upuuzi fuata mapeasant wenzio, mimi nitakutoa nishai na wewe umekuja mjini ukubwani ukafikia kwa mume wa dada yako kupata kaelimu kwa VETA. Acha kabisa hii ID ni shida mjomba.
   
 9. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #108
  Nov 27, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 12,135
  Likes Received: 6,834
  Trophy Points: 280
  Yaani hata upuuzi wako huuoni wewe kibwengo?
   
 10. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #109
  Nov 27, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,886
  Likes Received: 13,324
  Trophy Points: 280
  Usiku mwema jamaa yangu nakutakia njozi njema. Sasa naamini discipline itakurudia hata kama ni taratibu.
   
 11. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #110
  Nov 27, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 12,135
  Likes Received: 6,834
  Trophy Points: 280
  Nenda kamwambie baba yako.
   
 12. mafinyofinyo

  mafinyofinyo JF-Expert Member

  #111
  Nov 27, 2017
  Joined: Nov 29, 2012
  Messages: 4,363
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Labda faida yake ni baby Fly to KIA
   
 13. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #112
  Nov 27, 2017
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 11,886
  Likes Received: 13,324
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakusihi kiungwana nenda kalale, samahani kwa kukukwaza haikuwa lengo langu lakini nilipaswa kukuweka sawa. Sorry as I didn't mean to hurt you. Next time take care.
   
 14. Bandiwe

  Bandiwe JF-Expert Member

  #113
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 19, 2013
  Messages: 7,165
  Likes Received: 2,313
  Trophy Points: 280
  Kazi ya Wema ni kumliwaza mwenyekiti haswa baada ya kipigo cha jumapili. Yupo njiani kuelekea Kia
   
 15. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #114
  Nov 27, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 12,135
  Likes Received: 6,834
  Trophy Points: 280
  Nimeshakuambia nenda kamwambie baba yako. Husikii?
   
 16. Bandiwe

  Bandiwe JF-Expert Member

  #115
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 19, 2013
  Messages: 7,165
  Likes Received: 2,313
  Trophy Points: 280
  Nyalandu itakuwa mara yake ya tano !
   
 17. Bandiwe

  Bandiwe JF-Expert Member

  #116
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 19, 2013
  Messages: 7,165
  Likes Received: 2,313
  Trophy Points: 280
  Nyalandu itakuwa mara yake ya tano !
   
 18. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #117
  Nov 27, 2017
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 9,676
  Likes Received: 7,263
  Trophy Points: 280
  Turudishieni Wema tumpeleke rehab.
   
 19. nygax

  nygax JF-Expert Member

  #118
  Nov 27, 2017
  Joined: Jun 4, 2017
  Messages: 1,065
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 280
  Imefika hatua chadema mnatia huruma kwelikweli. watu wanajitahidi kuwashauri, mnaishia kuwaita LB7, tatizo la chama chenu lipo ktk uongozi ambao mimi naweza kuuita wa kiimra, kwa sababu wanachama wa kawaida wamekuwa hawana maamuzi juu ya chama chao, na kwamba maamuzi yote yanatoka juu, na wanachama mnalazimika kuyapokea kama yalivyo.
  Chama kinakaribisha watu wa `ajabuajabu' tuu na hakuna wa kuhoji, halafu leo unasema chama kimejipanga kuchukua dola. Ama kwa hakika hili haliwezi kutokea leo ama kesho kwa huu mfumo wenu.
  Mbowe na Mashinji wamefikia mwisho ktk mbinu za kisiasa kuweza kukisaidia chama. And there fore, they have to step down.
   
 20. T

  TOMNOTKAT Member

  #119
  Nov 27, 2017
  Joined: Apr 5, 2013
  Messages: 66
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 25
  Tusubiri Mwenyekiti Mbowe aje atueleze. Hakika ana majibu ya undani zaidi.
   
 21. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #120
  Nov 28, 2017
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,746
  Likes Received: 1,580
  Trophy Points: 280

  Sasa Nyalandu naye ni asset au mzigo tu? Hajawahi fanya chochote jimboni mwake wala kuchangia hoja yeyoye bungeni, leo hii ndiye awe asset Chadema? Yeye kama alishawishiwa na Wema basi alikuwa alikubali tu ili mwisho wa siku aje kumla Wema kama alivyomla Aunt Ezekiel kule Marekani. Nyalandu ni fuska tu hana ushawishi wowote Chadema zaidi ya kuwa mzigo!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...