Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,685
- 26,184
Pumba nyingii.Ninarudia kukuambia maana naona huelewi. Mimi sio mwanachama wa cdm bali ni mshabiki wa kutupwa wa cdm. Naona huelewi hali hizi 2. Mshabiki unawewa kupongeza na kukichangia chama kwa hiari ila huingii kwenye vikao vya chama. Mwanachama lazima umiliki kadi, una haki ya kuchagua au kuchaguliwa kupitia chama, unaweza kuingia kwenye vikao vya chama vyenye kufanya maamuzi. Kutoa michango mbalimbali kwa chama ukiwa mwanachama sio hiari ni wajibu. Huenda kwa sasa utakuwa umeelewa tofauti ya shabiki na mwanachama.
Hata kwenye kupiga vyama vyote huwa vinapata kura toka kwa wanachama wake na wale wasiowanachama. Ukiona unashindwa kuelewa maelezo yangu nenda kamuone Polepole kwa ufafanuzi zaidi baina ya mwanachama na shabiki pamoja na sifa zao. Sawa dogo?