Nini Mchango wa Msanii Kama Wema Wakati wa Harakati kama za Leo?

Tofauti ya ccm na chadema katika hili ni moja.

Mtu akitoka chadema kwenda ccm anakaa benchi angalau kwa miaka 2 ndio atapewa cheo..

Mtu akitoka ccm kwenda chadema siku hiyohiyo anakabidhiwa funguo hadi za chumbani
Acha uongo wewe! Mtu kama Mgwira hata kwenye chama hajaingia cheo juu mpaka wale mnaongojea vyeo mumenuna. Ona hata issue ya Slaa.
 
Chama changu kilitumia nguvu nyingi kumtetea na kumnadi msanii Wema na wengine ikiaminika kuwa wanaweza kutumia fursa ya umaarufu wao katika sanaa kuvuta hisia kwa wengine wakati kama huu makamanda wanapo pambana huko field.
Lakini kwa muono wangu hakuna faida yeyote tuliyopata au tupatayo ukilinganisha na nguvu kubwa iliyotumika kumpokea, kumtetea na hata kumpa nafasi kama mtu wa msaada kwa chama.
Imagine matukio kama haya ya mawakala kupigwa mapanga na nondo na kuumizwa, mtu kama Wema angeposti katika ukurasa wake kuonyesha kusikitishwa nayo jamii ingepokeaje swala hilo? Hata vijana washabiki wake wangeguswa na kujenga taswira mpya ya kuelewa nini kinaendelea.
Sasa tokea kampeni za udiwani zimeanza hadi mabaya haya yanatokea yeye hana habari kabisa na hayamhusu. Lakini utetezi wa maonevu aliokuwa anafanyiwa ndio anaona chama kinamhusu, huu ni ujinga usio vumika kabisa. Nadhani kama chama kitengo cha uenezi tuwe na la kujifunza hapa.
Kama mtu haumizwi na ile damu ya wana Chadema inayomwagwa kwa maumivu makali basi hastahili kuitwa mwenzetu na akae mbali nasi au arudi alikotoka.
Mchango wake kumliwaza.mzee fry to KIA
 
Wewe dogo endelea kuwa karai. Wema Ni wa mwenyekiti.
 
..mbona ccm walimtumia vizuri?

..nini kifanyike ili ujio wake uwe na faida kwa chama?

..tukubali kuwa cdm inapigwa mabao ktk level zote.

..sasa collectively watu inabidi warudi kwenye drawing board na kupanga mbinu na mikakati mipya.

..hakuna mwenye afadhali cdm sasa hivi.

..everybody sucks.
Now you're talking
 
Makamanda tulizeni akili huu si wakati wa kulaumiana , najua kila mtu kwa sasa ana hasira na uchungu mkubwa kwa kile kilichotokea.

Tuwe watulivu ,na tutafakali kwa makini ,tukianza kulaumiana tutampa nafasi zaidi mtesi wetu.
Makarai ya chadema wakati Mbowe anakula Maisha Na wema:D:D
 
Chama changu kilitumia nguvu nyingi kumtetea na kumnadi msanii Wema na wengine ikiaminika kuwa wanaweza kutumia fursa ya umaarufu wao katika sanaa kuvuta hisia kwa wengine wakati kama huu makamanda wanapo pambana huko field.
Lakini kwa muono wangu hakuna faida yeyote tuliyopata au tupatayo ukilinganisha na nguvu kubwa iliyotumika kumpokea, kumtetea na hata kumpa nafasi kama mtu wa msaada kwa chama.
Imagine matukio kama haya ya mawakala kupigwa mapanga na nondo na kuumizwa, mtu kama Wema angeposti katika ukurasa wake kuonyesha kusikitishwa nayo jamii ingepokeaje swala hilo? Hata vijana washabiki wake wangeguswa na kujenga taswira mpya ya kuelewa nini kinaendelea.
Sasa tokea kampeni za udiwani zimeanza hadi mabaya haya yanatokea yeye hana habari kabisa na hayamhusu. Lakini utetezi wa maonevu aliokuwa anafanyiwa ndio anaona chama kinamhusu, huu ni ujinga usio vumika kabisa. Nadhani kama chama kitengo cha uenezi tuwe na la kujifunza hapa.
Kama mtu haumizwi na ile damu ya wana Chadema inayomwagwa kwa maumivu makali basi hastahili kuitwa mwenzetu na akae mbali nasi au arudi alikotoka.
Siku zote wapigania chama wa ukweli ni wananchi wa kawaida wasio Na majina yeyote.hawa wana uchungu wa kweli.Ila Viongozi Na watu wenye majina ni wasaka fursa tu.Yaani wanachama Huwa wanaumia sana chama kinapopoteza kuliko Viongozi Na wenye majina au wenye umaarufu Fulani.
 
Waambie direct,wengine tunawaambia direct na wanaelewa.

Mkuu Tetty nashukuru kwa ushauri wako. Tatizo sina namba za hao viongozi wa juu kiasi niweze kuwaambia direct. Ila kwakuwa najua tuko nao humu kwenye social media hii ndio direct yangu. Unaweza kunirekebisha ukipenda.
 
Si tuliambiwa kuwa ni asset,na kwamba amekuja na mikakati ya kuwaboresha BAWACHA ili waache kutumia mikorogo.

Yaani nimecheka mpaka basi, yaani Wema ana ushawishi, upi huo ikiwa yeye mwenyewe hajitambui. Kama kweli Wema ni asset kwanini asingekwenda mikoani kuwanadi madiwani katika chaguzi hii? Mbowe ana makengeza na akili yake yote iko hivyo......Wema si mtu wa kumnadi kwa wana chadema. We ona toka kajiunga na Chadema watu mashuhuri kibao wamekikimbia chama. Huyu ndiyo asset kweli au majanga?
 
Muwe mnajifunza kuchangia hoja kwa hoja. Sasa hicho ulichoandika maana yake nini? Ndiyo maana huwa mnajibiwa kwa maneno makali halafu mnavimbisha mashavu. Grow uuuuuuuuuuuup!!!!!!

Ukinishambulia kwa maneno makali utapoteza tu muda wako...kama hujui maana ya nilichokiandika funga bakuli.
 
Mkuu Tetty nashukuru kwa ushauri wako. Tatizo sina namba za hao viongozi wa juu kiasi niweze kuwaambia direct. Ila kwakuwa najua tuko nao humu kwenye social media hii ndio direct yangu. Unaweza kunirekebisha ukipenda.

Mtumie Private meseji atakusikia
 
Yaani nimecheka mpaka basi, yaani Wema ana ushawishi, upi huo ikiwa yeye mwenyewe hajitambui. Kama kweli Wema ni asset kwanini asingekwenda mikoani kuwanadi madiwani katika chaguzi hii? Mbowe ana makengeza na akili yake yote iko hivyo......Wema si mtu wa kumnadi kwa wana chadema. We ona toka kajiunga na Chadema watu mashuhuri kibao wamekikimbia chama. Huyu ndiyo asset kweli au majanga?
Wema ni asset ametupa madiwani 2 Kati ya 43. Uoni alivyo asset.
 
Wakati mwingine kuzungumzia damu ya wanachadema inahitaji moyo wa kipekee sana.

Mke wa Dr Slaa alimwaga damu pale Arusha kwa sababu ya siasa hizi hizi, nini kilimkuta baada ya hapo?.

Ni ujuha uliopitiliza kumtegemea Wema Sepetu awe na impact kwenye siasa za chadema, maslahi ya maisha yake yapo mijini, biashara zake zipo mijini.

Mchango wake ni mdogo sana, simuoni kama ni mtu wa harakati za kisiasa za huko mikoani, ni sistadu wa Dar, sio wa kumtegemea kwenye mapambano ya huko mikoani.
 
Hivi CCM na Mbowe nani aliyekaa madarakani kwa muda mrefu?????
1. CCM(TANU)......1961- 2017{56}.
2. NYERERE.......... 1961- 1990{29}.
2. MBOWE.............1995- 2017{22}.
Miaka 56 ya CCM madarakani, miaka 29 Nyerere madarakaani na 22 ya Mbowe ipi miingi??
Tunaongelea kiongozi kukaa madarakani sio chama .Uliona wapi chama tawala kikajiuzulu kuongoza kisa kimekaa madarakani?
Ndio maana kuna kupokezana vijiti,mbowe anapaswa kupisha mawazo mapya
 
Back
Top Bottom