Je, hama hama ndani ya CHADEMA ni mkakati wa CCM au wa CHADEMA yenyewe na kama ni wa CCM nani beneficiary wa hili kwa siku za usoni?

Rais wa Matajiri

JF-Expert Member
Sep 14, 2018
1,475
607
Hello Tanzania!
___________________
Unajua ukifanya ulinganifu wa Utawala wa Mkapa, Mwinyi, Kikwete na huyu John Utagundua kuwa Ndugu John ndiye Kiongozi anaedaiwa kuungwa mkono na Genge là Wahuni wengi zaidi Kuliko wakina mkapa sababu watu kama Mtei walishindwa Kuunga mkono juhudi za Mwalimu Yaani walikuwa tayari kupoteza kazi Kupinga kama kuna Uhuni ulifanywa na Wenye Nguvu, Léo wakina Mtatiro wakina waitara, wakina Ryoba wanaunga mkono eti mtu si Falsafa au itikadi Unaweza kusema huu ni uhalifu zaidi wa Kifikra kwa Vizazi vyetu

Anyway naomba kuzama kwenye Hoja Nimekuwa nikifuatilia kwa kina hii hamahama tena nimefanya hivyo mtu kwa mtu , Mwanzoni sikupata shaka sana na hii ni baada ya kuhama Dk Mollel na rafiki yangu Mh Maulid Mtulia ikiwa ni pamoja na madiwani wengine wenye vinasaba vya U-CCM kwani binafsi niliamini wameamua kweli Kwa ridhaa yao kurejea walikotoka na nikaipongeza sana CHADEMA kwa kusimamia demokrasia kwa vitendo kwa kuwaache Viongozi hao waende kwa amani na nadhani Watanzania ni mashahidi Wa hili,Lakini leo
najaribu kuifikiria CCM Kwa Upande mmoja na CHADEMA Kwa Upande Wa pili, Najaribu kuitazama CCM kama chama dola na CHADEMA kama chama kinachoitaka dola wakati wowote kuanzia mwaka 2020. Najaribu kuifikiria hatma ya CCM yenye dola dhidi ya CHADEMA hii yenye nguvu midhili ya tembo dume aliyejeruhiwa Kwa mbaali naanza kuuelewa huu mchezo.

Watanzania wenzangu nisaidieni kujibu haya maswali muhimu Kwa ili kuleta uelewa Wa pamoja juu ya mada yetu hii.
1 ) Je kunauwezekano Wa CHADEMA kutuma vijana wake CCM kwaajili ya mipango yao ya mbeleni kupitia hamahama hizi zinazoendelea?
2 ) Je ni kweli umaarufu wa CCM umeongezeka sasa baada ya wabunge/madiwani Wa Upinzani kuiunga mkono CCM na Rais Magufuli JP?
3 ) Je ni kweli kwamba CHADEMA wameshindwa na hawana uwezo wa kuzuia hii hamahama hata Kwa kumtoa kafara mmoja Wa wasaliti hao ili kuwa fundisho kwa wengine?
4 ) Kwanini Uongozi Wa CHADEMA umekuwa kimya hata Kwa kukemea tu na mara nyingi wamekuwa wakifanya vikao na wahanga hawa siku chache kabla ya kujitosa kwao CCM?
5 ) Kwanini CHADEMA wameamua kuachana na marudio ya Uchaguzi ili kuipa nafuu ya gharama za uchaguzi CCM na Serikali yake na kulifanya zoezi hili la hamahama kuwa rahisi zaidi je ni kwa faida ya nani?
Hebu tuulizane Sisi Kwa Sisi hawa vijana wanaotimkia CCM toka Upinzani ni kweli kwamba fikra na nadhiri zao wanakwenda nazo huko CCM au wanaziacha CHADEMA yaani phenotipically wataonekana ni CCM wakati huohuo genotypically wakisalia kuwa CHADEMA ? Je ni kweli kwamba huyu mbunge/diwani X anaweza kusahau kirahisi harakati alizozifanya Kwa zaidi ya mwongo mmoja na nusu au zaidi eti kwaajili ya kurudia Ubunge/Udiwani wake uleule?
Hebu tujiulize kama huyu mbunge/diwani anapofika tu CCM kwa ubunge/Udiwani wake moja kwa moja anakuwa kiongozi Wa Chama na hii ni Kwa mujibu Wa katiba ya CCM, Inamtaja Mbunge/diwani kuwa ni mjumbe katika vikao mbalimbali vya Chama, Nisaidieni wanaCCM kuna-siri yeyote itakayoihusu CCM itasitirika machoni pa huyu diwani/mbunge ili asiipate na kuipeleka alikotoka niambieni nani anajua hili?
Narudia swali langu " Je kwenye hii
hamahama nani beneficiary mkubwa kati ya CCM na CHADEMA hapo baadae ?
" tukiiaagalia hii hamahama kwa jicho la tatu la moyoni kunakitu kita-klik tu akilini na hicho ninachokizungumzia..

Kuna haja ya wanaccm na CCM yenyewe kutafakari kwa kina Ugeni huu mkubwa kama wanavyouita wao ,Kuna mwanamziki mmoja Wa Bongo fleva amewahi kuimba naomba kuunukuu mstari mmoja anasema " Mbwa ni mbwa hata umpe Mchina " anamaanisha Mbwa yule ambae wewe unaogopa kumla kisa ni Mbwa ila Mbwa huyohuyo ni kitoweo muhimu tena kitamu kweli kweli kwa Mchina japo anabaki kuwa ni Mbwa yule yule. Ni shetani peke yake ndio anaweza akaamini kuwa Patrobas Katambi ni mwanaCCM leo na anaipenda Kwa dhati tena ni tahira tu anayeweza kudhania Marwa Ryoba anakwenda CCM hivihivi au Waitara yule intelijensia mkuu CHADEMA eti leo nae ni MwanaCCM hii hamahama inamaswali mengi kuliko majibu, Ni wiki mbili tu zimepita tangu nimwone Ryoba Marwa kwa macho yangu akiwa na kikao kizito na Viongozi wakuu Wa CHADEMA pale Jijini Dodoma hata yeye anajua kwani niliwaona wote, Je kilikuwa kikao cha kumpa maelekezo mujarabu?? Narudia tena ni kichaa peke yake tu ndio anayeweza kuamini kuwa huu mkakati wa hamahama si mkakati Wa CHADEMA/Upinzani unaoratibiwa na CCM pasipo kujua , Narudia ni laani pekee ndio zinaweza kukufanya uamini kuwa Julius Mtatiro ni mwanaccm kama anavyojitangaza, Eti mtoto Wa Marehemu Chacha Zakayo Wangwe yule shujaa Wa CHADEMA Tarime/Mara mdogo wangu Zakayo Wangwe amabe familia yao inafadhiliwa na CHADEMA hata sasa eti nae ni mwana-CCM nasema ni kichaa tu ndio anayeweza kuamini mambo haya tena ni kwa ukichaa wake tu na si vinginevyo.

CCM najua kunawatu wachache miongoni mwenu wanafaidika na mkakati huu moja kwa moja hasa kwaku-overestimate dau la kinachosemwa na CHADEMA kuwa ni "Dau la Ununuzi" lakini hili game CHADEMA wametoboa kirahisi zaidi tena kwa uratibu wenu ninyi wenyewe kumbukeni hizi ni Siasa sio Team za mpira na usajili Wa wachezaji, Hebu fikiria hili kama Upinzani unajumla ya madiwani 1,074 na Wabunge zaidi ya 116 yaani tunazungumzia Viongozi wapya Wa CCM toka Upinzani 1,190 soon watakuwa ndani ya CCM kama viongozi tena Wa wananchi/Chama, CCM simameni mnionesheni ulipo " Usalama Wa chama chenu " kuelekea 2020, Kumbukeni hawa ni watu watakaokuwa na ushawishi na maamuzi ndani na inje ya chama kwenye majimbo/Kata watakazokuwa wakiziongoza,Sikieni hii CCM itawafaa sana " Mtu kuwa mpinzani ni Fikra zake sio Sare za chama anazovaa wala kadi aliyonayo " CCM na WanaCCM lazima muongeze Umakini kwenye hili, Eti unamsikia mtu kama Bernard Mwakyembe anasema nae ni CCM lakini ukimtazama usoni haelekei kabisa kuwa ni MwanaCCM Kuna kitu tunaita " Facial expression " kamwe huwezi kuamini na ili kuamini hili lazima uwe na faili tena lililojaa pale Dodoma kwenye ile hospitali yetu maarufu iliyoko mlimani, nasema awamu hii CCM mmejishikisha pabaya huku, na hakika CHADEMA 2020 watafanya makubwa tuupe muda nafasi hakika utanena.
Wanawalaghai eti wanakuja kumuunga mkono Rais Magufuli JP, Jiulizeni kweli Magufuli anaweza kumvutia Mbunge/diwani kabla ya kuwavutia Wanachi ? Naomba kuwapongeza "think tankers " wote Wa CHADEMA kwa hili 2020 CCM vipande vipande.

Moderators, Uzi huu siku ya kuvunjika vipande vipande Kwa CCM nitaomba muurudie plzzz
 
Hata Mimi nimekuwa najiuliza sana kuhusu hili, Leo umenipa mwanga aise kweli CHADEMA imejaa majasusi ukiangalia utadhani kweli jamaa wanahama kumbe dili la baadae duuu hongera CHADEMA.
 
Gazeti kubwa mno,heshimu fikra,maono yao,wanaitumia demokrasia vizuri sana ,uhuru wa kuamua,ukitaka wafanane na tope lililop kichwani mwako ni ngumu sana,haiwezekani hata siku moja,okoeni chadema , iko taabani
 
Sisi wenye akili tulishalifahamu hili kitambo sana, Huu ndio ukweli Wa mambo hao watu wanatumwa japo si wote ila nauhakika waliotumwa wapo na wataendelea kwenda CCM. CHADEMA wanataka kuwa na CHADEMA/CCM
 
Maneno mengi lakini pumba tupu!! Yaani Chadema iwe na majasusi kuliko CCM?? Wewe nafikiri umevimbewa makande ya Jumapili. Kwa taarifa yako wote hao uliowataja walitoka CCM 2015 sasa kwanini usifikiri walikuja Chadema kukiua Chadema na sasa wameshamaliza kazi yao wanarudi kwenye chama chao. Hukumuelewa Sumaye siku ile Ikulu aliposema kuwa wako Chadema kuisaidia CCM kuongoza. Naona uko kwenye usingizi mzito sana mkuu!!
 
Hata Mimi nimekuwa najiuliza sana kuhusu hili, Leo umenipa mwanga aise kweli CHADEMA imejaa majasusi ukiangalia utadhani kweli jamaa wanahama kumbe dili la baadae duuu hongera CHADEMA.
wenzenu tumelijua hili kitambo.
kuthibitisha hili..kila jembe linalokimbia na kuingia FISIEM ni lazima lirudishiwe nafasi aliyoipoteza na pia kupewa posho NZITO.
Mwisho wa siku wanavishwa magamba.. lkn mioyoni wanabakia CDM
 
Kuna jambo halijaka ccm ndio maana ya haya yote ni long team game isiyo na kipengere maalumu watakuja kujutua maisha yao ya uamuzi mtu kama polepole ni wakuangaliwa kwa jicho la 3
 
Hello Tanzania!
___________________
Unajua ukifanya ulinganifu wa Utawala wa Mkapa, Mwinyi, Kikwete na huyu John Utagundua kuwa Ndugu John ndiye Kiongozi anaedaiwa kuungwa mkono na Genge là Wahuni wengi zaidi Kuliko wakina mkapa sababu watu kama Mtei walishindwa Kuunga mkono juhudi za Mwalimu Yaani walikuwa tayari kupoteza kazi Kupinga kama kuna Uhuni ulifanywa na Wenye Nguvu, Léo wakina Mtatiro wakina waitara, wakina Ryoba wanaunga mkono eti mtu si Falsafa au itikadi Unaweza kusema huu ni uhalifu zaidi wa Kifikra kwa Vizazi vyetu

Anyway naomba kuzama kwenye Hoja Nimekuwa nikifuatilia kwa kina hii hamahama tena nimefanya hivyo mtu kwa mtu , Mwanzoni sikupata shaka sana na hii ni baada ya kuhama Dk Mollel na rafiki yangu Mh Maulid Mtulia ikiwa ni pamoja na madiwani wengine wenye vinasaba vya U-CCM kwani binafsi niliamini wameamua kweli Kwa ridhaa yao kurejea walikotoka na nikaipongeza sana CHADEMA kwa kusimamia demokrasia kwa vitendo kwa kuwaache Viongozi hao waende kwa amani na nadhani Watanzania ni mashahidi Wa hili,Lakini leo
najaribu kuifikiria CCM Kwa Upande mmoja na CHADEMA Kwa Upande Wa pili, Najaribu kuitazama CCM kama chama dola na CHADEMA kama chama kinachoitaka dola wakati wowote kuanzia mwaka 2020. Najaribu kuifikiria hatma ya CCM yenye dola dhidi ya CHADEMA hii yenye nguvu midhili ya tembo dume aliyejeruhiwa Kwa mbaali naanza kuuelewa huu mchezo.

Watanzania wenzangu nisaidieni kujibu haya maswali muhimu Kwa ili kuleta uelewa Wa pamoja juu ya mada yetu hii.
1 ) Je kunauwezekano Wa CHADEMA kutuma vijana wake CCM kwaajili ya mipango yao ya mbeleni kupitia hamahama hizi zinazoendelea?
2 ) Je ni kweli umaarufu wa CCM umeongezeka sasa baada ya wabunge/madiwani Wa Upinzani kuiunga mkono CCM na Rais Magufuli JP?
3 ) Je ni kweli kwamba CHADEMA wameshindwa na hawana uwezo wa kuzuia hii hamahama hata Kwa kumtoa kafara mmoja Wa wasaliti hao ili kuwa fundisho kwa wengine?
4 ) Kwanini Uongozi Wa CHADEMA umekuwa kimya hata Kwa kukemea tu na mara nyingi wamekuwa wakifanya vikao na wahanga hawa siku chache kabla ya kujitosa kwao CCM?
5 ) Kwanini CHADEMA wameamua kuachana na marudio ya Uchaguzi ili kuipa nafuu ya gharama za uchaguzi CCM na Serikali yake na kulifanya zoezi hili la hamahama kuwa rahisi zaidi je ni kwa faida ya nani?
Hebu tuulizane Sisi Kwa Sisi hawa vijana wanaotimkia CCM toka Upinzani ni kweli kwamba fikra na nadhiri zao wanakwenda nazo huko CCM au wanaziacha CHADEMA yaani phenotipically wataonekana ni CCM wakati huohuo genotypically wakisalia kuwa CHADEMA ? Je ni kweli kwamba huyu mbunge/diwani X anaweza kusahau kirahisi harakati alizozifanya Kwa zaidi ya mwongo mmoja na nusu au zaidi eti kwaajili ya kurudia Ubunge/Udiwani wake uleule?
Hebu tujiulize kama huyu mbunge/diwani anapofika tu CCM kwa ubunge/Udiwani wake moja kwa moja anakuwa kiongozi Wa Chama na hii ni Kwa mujibu Wa katiba ya CCM, Inamtaja Mbunge/diwani kuwa ni mjumbe katika vikao mbalimbali vya Chama, Nisaidieni wanaCCM kuna-siri yeyote itakayoihusu CCM itasitirika machoni pa huyu diwani/mbunge ili asiipate na kuipeleka alikotoka niambieni nani anajua hili?
Narudia swali langu " Je kwenye hii
hamahama nani beneficiary mkubwa kati ya CCM na CHADEMA hapo baadae ?
" tukiiaagalia hii hamahama kwa jicho la tatu la moyoni kunakitu kita-klik tu akilini na hicho ninachokizungumzia..

Kuna haja ya wanaccm na CCM yenyewe kutafakari kwa kina Ugeni huu mkubwa kama wanavyouita wao ,Kuna mwanamziki mmoja Wa Bongo fleva amewahi kuimba naomba kuunukuu mstari mmoja anasema " Mbwa ni mbwa hata umpe Mchina " anamaanisha Mbwa yule ambae wewe unaogopa kumla kisa ni Mbwa ila Mbwa huyohuyo ni kitoweo muhimu tena kitamu kweli kweli kwa Mchina japo anabaki kuwa ni Mbwa yule yule. Ni shetani peke yake ndio anaweza akaamini kuwa Patrobas Katambi ni mwanaCCM leo na anaipenda Kwa dhati tena ni tahira tu anayeweza kudhania Marwa Ryoba anakwenda CCM hivihivi au Waitara yule intelijensia mkuu CHADEMA eti leo nae ni MwanaCCM hii hamahama inamaswali mengi kuliko majibu, Ni wiki mbili tu zimepita tangu nimwone Ryoba Marwa kwa macho yangu akiwa na kikao kizito na Viongozi wakuu Wa CHADEMA pale Jijini Dodoma hata yeye anajua kwani niliwaona wote, Je kilikuwa kikao cha kumpa maelekezo mujarabu?? Narudia tena ni kichaa peke yake tu ndio anayeweza kuamini kuwa huu mkakati wa hamahama si mkakati Wa CHADEMA/Upinzani unaoratibiwa na CCM pasipo kujua , Narudia ni laani pekee ndio zinaweza kukufanya uamini kuwa Julius Mtatiro ni mwanaccm kama anavyojitangaza, Eti mtoto Wa Marehemu Chacha Zakayo Wangwe yule shujaa Wa CHADEMA Tarime/Mara mdogo wangu Zakayo Wangwe amabe familia yao inafadhiliwa na CHADEMA hata sasa eti nae ni mwana-CCM nasema ni kichaa tu ndio anayeweza kuamini mambo haya tena ni kwa ukichaa wake tu na si vinginevyo.

CCM najua kunawatu wachache miongoni mwenu wanafaidika na mkakati huu moja kwa moja hasa kwaku-overestimate dau la kinachosemwa na CHADEMA kuwa ni "Dau la Ununuzi" lakini hili game CHADEMA wametoboa kirahisi zaidi tena kwa uratibu wenu ninyi wenyewe kumbukeni hizi ni Siasa sio Team za mpira na usajili Wa wachezaji, Hebu fikiria hili kama Upinzani unajumla ya madiwani 1,074 na Wabunge zaidi ya 116 yaani tunazungumzia Viongozi wapya Wa CCM toka Upinzani 1,190 soon watakuwa ndani ya CCM kama viongozi tena Wa wananchi/Chama, CCM simameni mnionesheni ulipo " Usalama Wa chama chenu " kuelekea 2020, Kumbukeni hawa ni watu watakaokuwa na ushawishi na maamuzi ndani na inje ya chama kwenye majimbo/Kata watakazokuwa wakiziongoza,Sikieni hii CCM itawafaa sana " Mtu kuwa mpinzani ni Fikra zake sio Sare za chama anazovaa wala kadi aliyonayo " CCM na WanaCCM lazima muongeze Umakini kwenye hili, Eti unamsikia mtu kama Bernard Mwakyembe anasema nae ni CCM lakini ukimtazama usoni haelekei kabisa kuwa ni MwanaCCM Kuna kitu tunaita " Facial expression " kamwe huwezi kuamini na ili kuamini hili lazima uwe na faili tena lililojaa pale Dodoma kwenye ile hospitali yetu maarufu iliyoko mlimani, nasema awamu hii CCM mmejishikisha pabaya huku, na hakika CHADEMA 2020 watafanya makubwa tuupe muda nafasi hakika utanena.
Wanawalaghai eti wanakuja kumuunga mkono Rais Magufuli JP, Jiulizeni kweli Magufuli anaweza kumvutia Mbunge/diwani kabla ya kuwavutia Wanachi ? Naomba kuwapongeza "think tankers " wote Wa CHADEMA kwa hili 2020 CCM vipande vipande.

Moderators, Uzi huu siku ya kuvunjika vipande vipande Kwa CCM nitaomba muurudie plzzz
Mkuu umeandika uzi mreeefu lakini bahati mbaya sana kuna kitu umekisahau au umekiacha kwa makusudi. Hivi unakumbuka ujio wa Lowassa na washirika wake Chadema 2015? kuna watu walijiuliza hivi hivi kama unavyouliza wewe leo. Kwamba huu siyo mkakati wa CCM kuivunja vunja Chadema? Sasa haya yanayotokea leo Chadema inabidi tujiulize kuanzia 2015 ndo tuanaweza kufanya analysis vizuri. Ukiuliza kuanzia leo, kwa maoni yangu huwezi kupata majibu sahihi kulingana na hoja yako.
 
Mission ya Lowasa ilikuwa ni kusaka Urais na Dunia inajua hilo, Tulia soma huu Uzi Kwa utulivu utaelewa achana na ushabiki hata Mimi ni mwanaCCM
 
Kada mtiifu Lumumba.
 
Ila kwa sasa wakiuweka Store ya JF itapendeza maananaona kama unafanya uchochozi vile?
Hahaaaaaaaaaaaaaa! Yajayo yanafurahisha!
 
Mission ya Lowasa ilikuwa ni kusaka Urais na Dunia inajua hilo, Tulia soma huu Uzi Kwa utulivu utaelewa achana na ushabiki hata Mimi ni mwanaCCM
Mkuu nimejaribu kuwa critically kwa hoja uliyoitoa na wala mimi siyo mwanaccm kama unavyodhani. Again, ukisema lowassa agenda yake ilikua urais, nasisi tutasema wabunge wanaohama agenda yao kubwa ni huo ubunge kwasabbu wengi wanajua kurejea tena 2020 ni mtihani mkubwa.

Jambo lingine ulilohitaji kulifikiria au kulikumbuka ni nguvu ya Lowassa kipindi kile ndani ya CCM. Kama alishindwa kuibomoa CCM wakati ule sijui hawa wabunge na madiwani wachache wanaohama sasa watawezaje. Lowassa alikua na watu wake wanaomuunga mkono ambao alihama nao na wengine aliwaacha CCM tena wengine walikua kwenye vyombo vya maamuzi vya CCM kama Kamati Kuu n.k. watu hawa walikua wanajua siri na mikakati yote ya CCM. Lakini jiulize ni kwa vipi alishindwa kuibomoa CCM?

Hebu nawwe jifikirishe tena bila kuniwazia mimi ni mwana CCM.
 
Kongole kwako wenye akili za kuvukia barabara hawawezi kuelewa haya
Kwa majibu yako haya, unaonekana hii hoja hukuileta jukwaani kwa ajili tafakuri bali ni propaganda ya kuficha aibu ya chama chako kukimbiwa na wabunge wake.
 
Back
Top Bottom