Nini kimemkuta Idris Sultan?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nacheka hapa, hadi niko hoi.
Waja mko leleleee na msivyotaka kusikia.

Sizitaki mbichi hizi. Woiiiiiih
Hawataki kusikia wapi wakisogezewa wanachapa hao.

"Sizitaki mbichi hizi"
 
Hawezi kukubali kwamba inamuuma,lakini anayopitia huko duniani magumu kwake

Hata ningekuwa mie ningejikaza tu na hizo pambee tyuu😁
Aaaaaaaaaaah!!

Kuniumaaa? Kivipii? Kwamba kuwa ktk Gaysim ndo niumiee? Sasa si natoka tyuu, if hiko kitu sikitaki au sikipendi.

Magumu yapi hayo Duniani? Em fafanua, pengine kwako wee ni magumu na sio kwangu mie...

Kuna kujikaza kwenye Gays? Tena km hapa Bongo, kelele kwa keyboard, huko uraiani watu wako lelelee na hawajari wala nn?

Au Unasemea Trauma? Km ni hivyo bas hii ni kwa wale waliongia pasipo wao kutaka au kupenda, ila waliingia kwa kulazimishwa, au factor ingine na hawakua na namna na badoo wanakua na chance ya kutoka huko ikiwa wana dhamira ya kweli...

Walio ingia kwa ridhaa na matakwa yao, mbna mambo ni mswano tyuuu.

Nweiiiiii!! Life tamuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bila kunitajaa huridhikii wee, unahisi
Hawataki kusikia wapi wakisogezewa wanachapa hao.

"Sizitaki mbichi hizi"
Kwa kweli
 
Rich yule ana matatizo ya akili sio mara ya kwanza kufanya ivyo live zake nyingi ndio mamb yake alimleta alslay live bila yeye kujijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…