FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Mie msomaji?
Me nataka kuoa but daa wa kumwoa sasa!?naona mko wengi sana masingle sasa si mjitahidi kuondoa hayo mapungufu muoe na kuolewa 🙂
Na nyie sikuhizi hamna subira mkiletewa invoice hadi JF watajua hahah...baba zetu walisomesha ukoo wa mke mchezoo,.. Mnaweza nyie?wadada skuiz akilala njaa hana subira mtaa mzima watajua
Ule au Uliwe?Acheni nile ujana kwanza
Pole sanaMpenz wangu alishafariki . Tena dah usinilize [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
TrueBado mkuu, si unajua heri ukosee kujenga kuliko kuoa.
Pole sana. Haya mambo hayana formula waweza ona mtu ni kondoo kumbe ndani chui. Hakuna mkamilifu tuishi kwa kuchukuliana mapungufu.Daaaaa mwenzenu nilishajiingizaa cha kike zaman ..kuoaaa najutraaaa
Pole hakua wako Mungu kakuepusha na kitu.. Yuko wako Mungu atakupa.tulipanga kuoana alisepa baada ya kunipa ujauzito......Ndo kasababisha niwe kwenye list ya waliochelewa kuolewa...DADEKI ZAKE!!!!
Utampata tu endelea kugoogleMy soulmate sijampata,girls jitokezeni basi.
Weee umeolewa?? Maana naona unatoa pole tu.Utampata tu endelea kugoogle
Sijaolewa. Natoa pole kwa waliopatwa na maswahiba km msiba nk.Weee umeolewa?? Maana naona unatoa pole tu.
???bado!
nawafurahisha walimwengu