Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Ndiyo nawachukia sasa, tena sina hisia na nyie hata kidogo hata mngetembea bila nguoHuwezi kuwachukia wanaume wote kwa ajili ya mmoja au wawili
Ndiyo nawachukia sasa, tena sina hisia na nyie hata kidogo hata mngetembea bila nguoHuwezi kuwachukia wanaume wote kwa ajili ya mmoja au wawili
Sio akili yako umeathirika kisaikolojia IPO siku utakaa sawa tu ukimpata ambaye ataukonga moyo wakoNdiyo nawachukia sasa, tena sina hisia na nyie hata kidogo hata mngetembea bila nguo
Unapenda vibamiaNjoo kwangu
Una miaka mingapi sasa?Mmoja wapo ni Mimi naogopa mno maisha ya ndoa japo c vyema kuchukulia ndoa nyingne kama case study bnafc nayaogopa sana napenda nmzalishe tu mtu nimlee akiwa kwake na Mimi nikiwa kwangu basi
Ndo mpango huo,hawa mabinti ndawq yao ni kuwazalisha tu ili wawe na adabu.Wataolewa pale tamaa ya pesa ikikoma.Kutokana na niliyoyaona ctak kuja kuoa ila ntakuwa na watt wa3 tu
Njoo kwangu Jovitha,hutojuta kwa kuwa ulipata uchungu wa mahusiano naamini hutokuja kumfanyia mme wako.Cha kwanza , nayachukia mapenzi mnooo, mbili nawachukia wanaumeee woteeeee, tatuuu sitaki kuolewa kwasababu sioni umuhimu wa hilo jambo....
Japo kuolewa ni heshima
NdioUnapenda vibamia
Akuuu simuamini hataaa mmojaaaNjoo kwangu Jovitha,hutojuta kwa kuwa ulipata uchungu wa mahusiano naamini hutokuja kumfanyia mme wako.
Unatafuta wapi kila siku kuna mabango humu ya kutafuta husband hujayaona au hujaridhika nao wote?Sijapata wakuowa.bado natafuta
Naomba nionane na wewe kama uko dar ma hautajalAkuuu simuamini hataaa mmojaaa
Nani amekuwa tajiri peke yake? Subiri pesa hizo usipoangalia utaolewa ww, mtt wa kiume ukiona analalamikia pesa ujue anatafuta bwana!!! Vibarua vyote hivi unataka uajiliwe sio basi subiri.Uchumi mbaya sana,
Ayo mabango ni ya kiwehu wehu tuu mkuu. 99% ni ya joke.Unatafuta wapi kila siku kuna mabango humu ya kutafuta husband hujayaona au hujaridhika nao wote?
Sitaki, tutaongea nn, sitaki kuwa kwenye mahusiano na mtu yeyotee napenda kuwa peke yanguNaomba nionane na wewe kama uko dar ma hautajal
Sijasema nataka kuwa na wewe kwenye mahusiano, huwezi kuwa peke yako ni kwa muda tu hayo unayoyasema utakula kuyafutaSitaki, tutaongea nn, sitaki kuwa kwenye mahusiano na mtu yeyotee napenda kuwa peke yangu