Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Mchumba wangu mjeuri sana, tuna mtt na sitaki watoto wangu wawe na mama tofauti, kingine uchumi pia mambo hayaendi sawa sana ila kubwa ni hilo la kwanza
kosa kubwa hilo kufia watoto
 
Hako hakana replacement aisee..Chenyewe kanakuja First ndo mengine yanafwata.. Basi Ngoja tukomae na huu uzi,wote tukitoka bila bila itabidi tu tujoin pamoja kufarijiana ama?
Mimi nna uhakika sitoki bila we kama una mashaka shauri yako [emoji13]
 
Back
Top Bottom