Huwa Napata ukakasi sana ninapoona hilo swali hapo juu..! Hivi wazazi huwa wanataka Mjukuu ama Mtoto wao Aoe.? Yaani kipi cha muhimu Mtoto ama Ndoa.! Seriously mm naona kuwa na mtoto na wazazi wangu kuitwa Gran (Mom&Papa) ndo kina umuhmu sana kuoa mmhh may be mawazo yabadlike huko mbeleKama unahusika!!
Ni kipi hasa kilicho/kinachokuzuia usioe au usiolewe mpaka sasa...
We upo sahihi. Usahihi ni mgumu kwa wasahihishajimtu sahihi hajapatikana
ndio nipo sahihi ndio maana nataka mtu sahihi sio kuondoka tu na kila mtuWe upo sahihi. Usahihi ni mgumu kwa wasahihishaji
Jinsia yako please?my ugly face..
Swali zuri sana..Kama unahusika!!
Ni kipi hasa kilicho/kinachokuzuia usioe au usiolewe mpaka sasa...
sasa huyo mtoto unampataje bila kuoa????Huwa Napata ukakasi sana ninapoona hilo swali hapo juu..! Hivi wazazi huwa wanataka Mjukuu ama Mtoto wao Aoe.? Yaani kipi cha muhimu Mtoto ama Ndoa.! Seriously mm naona kuwa na mtoto na wazazi wangu kuitwa Gran (Mom&Papa) ndo kina umuhmu sana kuoa mmhh may be mawazo yabadlike huko mbele