Lakini bila kutongoza kwa mie ME ni ngumu kupata.Inabidi nitongozetongoze sn.hahahhaah basi tuendele kumuomba Mungu atupe watu sahihi maana kama wewe ni sahihi unastahili kitu sahihi pia kitu sahihi anatoa Mungu tu
Hebu confirm jmn tuondokane na huu u bachelor tukainjoy raha ya ndoaAhahahahah
Pole ndo binadam tunakumbana na mengi tucyoyatarajiayaan daa!!!!
Ntakua refaa[emoji12]Nakupenda mkuu,kama vipi tulianzishe!.....na tukilianzisha hakuna wa kutusimamisha!
Mkuuu please nsaidie link yakupata huu wimbo na jina la mwimbaji
Miss nataftasina hamu na mwanamme bna .siwezi kukudanganya eti
AKILETA PAMPA RIRA NJOO NKUPE MBINU NYINGNEHahaaaa true
Haa haa sometimes maneno na vtendo n the semHahaaaa nyie ndio wale wale
Ukikubali kumheshimu mwanaume utawaona wengi sanahakuna wanaume
Ile harus yako lin vle nmesahau dateHehe..endeleeni nasoma comment Mie
Muulize rutta. ...hahahaa. ..Itakua ilishapitaIle harus yako lin vle nmesahau date
Stidy462@gmail.comDaudi Kabaka - Msichana wa sura, nipe email address nikutumie.