Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

May be sababu ni single mother maana watu hawawapendi single mother humu sijui hata waliwakosea nn!!!! 🙁🙁
 
Hiiii co sasahihi kbs kwan ughaibun hakuna wanaume mkuuu
Hahahhh wapo lakini hawapo Mkuu. Shida ya ughaibuni kila mtu ni mgeni kwa mwenzake wakati nyumbani mnakuwa pamoja rahisi kufahamiana.
 
Back
Top Bottom