Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Ndiyo hii ninayoinywa mimi nini?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Daaaah aisee mkuu utakuwa hunifanyii vyema, itabidi nichukue wakwako maana hakuna namna nyingine maana wangu ndo umeshaula tayar[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Khaaa acha ulongo kama we ndo umeghairi sema
Ebooo!! Mi naanzaje kughairi tena.. Mi nikajua Douta alikutisha ukatishika.. Kwa hiyo sihitaji ku subscribe huu uzi??
 
Daaaah aisee mkuu utakuwa hunifanyii vyema, itabidi nichukue wakwako maana hakuna namna nyingine maana wangu ndo umeshaula tayar[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukiuona ubavu wangu uchukue tu huu mtamu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nshakuona wewe huna nia.. endelea kutafuta na mimi nasubscribe kwenye huu uzi
Teh teh... Haya bana.. Wewe Unataka kunichomesha mahindi tu.. Mwisho Wa siku nikose vyote
 
mhh, let me think abit... will come back with an answer
 
Back
Top Bottom