Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,545
- 35,405
Au anatumia tenga kuvulia dagaa mwanzaWapi..ametega mikono yake tu sijui anadhani atanasa nini
Au anatumia tenga kuvulia dagaa mwanzaWapi..ametega mikono yake tu sijui anadhani atanasa nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au anatumia tenga kuvulia dagaa mwanza
Inawezekana uko sahihi ila hapo uangalie na umri wako,maana kuanzia miaka 30 na kuendelea kama wewe ni KE kupata mwenza huwa ni ngumu sana,wanachofanya wenzako huwa wana sacrifice,liwalo na liwe,na kuna baadhi kwa kufanya hivyo wanapata watu wanaokuwa wamewakusudia,ushauri wangu ni kuwa,just take a risk,sometimes if not all the time,it pays.ndio nipo sahihi ndio maana nataka mtu sahihi sio kuondoka tu na kila mtu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utakaoupata ukiona una ladha ya faru John ndiyo huo huo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahahhahahaha khaaaaa ushauri wako siwezi sema sio sahihi au ni sahihi ila umri hautanifanya nikurupuke kuolewa hata siku mmoja even if nina 35 now sitafanya hivyo coz hakuna mahali pameandikwa usipo olewa huendi mbinguni au hauta urithi ufalme wa mbinguniInawezekana uko sahihi ila hapo uangalie na umri wako,maana kuanzia miaka 30 na kuendelea kama wewe ni KE kupata mwenza huwa ni ngumu sana,wanachofanya wenzako huwa wana sacrifice,liwalo na liwe,na kuna baadhi kwa kufanya hivyo wanapata watu wanaokuwa wamewakusudia,ushauri wangu ni kuwa,just take a risk,sometimes,if not all the time,it pays.
hahahhaah basi tuendele kumuomba Mungu atupe watu sahihi maana kama wewe ni sahihi unastahili kitu sahihi pia kitu sahihi anatoa Mungu tuney hata mie sijapata mtu sahihi.
Mungu nisaidie nipate Mke.
mtu sahihi hajapatikana
Uchumi tuu bado sija settle
Mh labda upate cngle mothernikimpata mwanamke mkulima kama mimi naoa. Hawa wa snapchat nawaachia wenye visu vikali
Mimi me
Hapana beberu.Mbuzi au
Uyo uyoYule bf ambaye mnasomana tabia?
Hahah Tania basiTutaniane basi au?
KweliInawezekana uko sahihi ila hapo uangalie na umri wako,maana kuanzia miaka 30 na kuendelea kama wewe ni KE kupata mwenza huwa ni ngumu sana,wanachofanya wenzako huwa wana sacrifice,liwalo na liwe,na kuna baadhi kwa kufanya hivyo wanapata watu wanaokuwa wamewakusudia,ushauri wangu ni kuwa,just take a risk,sometimes,if not all the time,it pays.