Wanaonipenda nikifika nao kitandani nakosa hamu ya kushiriki nao tendo, sababu ni harufu ya mafuta wengine harufu Kali ya jasho toka mwilini mwao, wengine wanapenda sana pesa nami uchumi sio imara sana......niliyempata sasa nashukuru nakuwa na hamu nae kila dakika hadi kaniambia nina pepo la hayo mambo....nikimaliza huohuo nataka tena yaani hadi raha......kumbe alikuwa mke wa mtu na ana Mtoto mmoja wa miaka kumi, pia mume wake ulikuwa akimnunulia simu za milioni na kuendelea, alikuwa akiachiwa pesa za matumizi hadi milioni
.
Mimi siwezi mfanyia hivyo nimejitahidi mwanzo japo nimeona naumia tu siuwezi mziki wa pesa. Nimeachia mdogo mdogo kiroho safi ila roho inauma maana nahisi ndiye alikuwa kakaa rohoni kwa Mimi.....namuona yule anapepea japo anajaribu kunirudisha lakini kamoyo ka utoaji sana mm sina.....ndio sijaoa hadi sasa...
Nikimpata kama huyu naweza kuoa mda huohuo walahi tena!....nampenda hatari, pesa tu!