Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 30,010
ha ha ha ha ha ha acha kikombe hiki kinipitie pemben kwa kwel[emoji57] [emoji57] [emoji57] wajishaua eeehh
ha ha ha ha ha ha acha kikombe hiki kinipitie pemben kwa kwel[emoji57] [emoji57] [emoji57] wajishaua eeehh
[emoji57] [emoji57] [emoji57]ha ha ha ha ha ha acha kikombe hiki kinipitie pemben kwa kwel
100%
Unajisahulisha makusudi..Twin wako amenikimbia..Halafu yeye ndo alinirubuni mpaka nikakusahau..Poor meSijawahi kujua..hivi ndoa yako na twin wangu iliishia wapi?
You're missed tho.
File lako nililonalo kwa juu limeandikwa kwa rangi nyekundu:Status of relationship of Valentina with Nyani Ngabu is complicated![emoji1]I hope langu huna[emoji12]
Kwa kweli inabidi nijiongezeItabid uanzw wewe tu kumuuliza maana no way
Hahahaua atasema yes akisharudi kawaida sioni daliliLeo usiku mchomekee kuhusu ndoa akichomoa nipm mimi, maana mwanaume akiwa katikati ya tendo ukimwambia chochote atajibu yes si unajua kichwa cha juu huwa kinazima kabisa cha chini ndo huwa kinafanya kazi .
VHuwa Napata ukakasi sana ninapoona hilo swali hapo juu..! Hivi wazazi huwa wanataka Mjukuu ama Mtoto wao Aoe.? Yaani kipi cha muhimu Mtoto ama Ndoa.! Seriously mm naona kuwa na mtoto na wazazi wangu kuitwa Gran (Mom&Papa) ndo kina umuhmu sana kuoa mmhh may be mawazo yabadlike huko mbele
Yani we acha tu... Wanaume hapa hua wanatuweza... Hasa akishalizoea tunda[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo kweli upo katkat ya mto
AsantePole sana...
Nitakupm email yangu aisee kumbe nlikuwa napitwa hiviBasi huwa nakosea e-mail address
Nshakutumia siku ya leo isipite[emoji13][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] weka tu nilinde ndoa nshatingwa
povu la nn sasa[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Unajisahulisha makusudi..Twin wako amenikimbia..Halafu yeye ndo alinirubuni mpaka nikakusahau..Poor me
Haya bana..Basi iingize hiyo kwenye kumbukumbu zako..Kama iliandikwa iwe itakuwa tu..Muda utahukumuHaha sijisahaulishi, sikujua mpendwa.
Nina umri wa kuchangia JF hapa ila mama yangu na baba hawajawahi kuoanasasa huyo mtoto unampataje bila kuoa????
Poleeee mkuu unaonekana bdo ukona hacraaaatulipanga kuoana alisepa baada ya kunipa ujauzito......Ndo kasababisha niwe kwenye list ya waliochelewa kuolewa...DADEKI ZAKE!!!!
Hiiii co sasahihi kbs kwan ughaibun hakuna wanaume mkuuuKuishi nje ya nchi aka ughhaibuni muda mrefu.
Between U&W..?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nshakutumia siku ya leo isipite[emoji13]