Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Bora kuliko Double alafu kila day malumbano na kupangiana ratba za kutoka na kuingia.
Maisha yanatofautiana...
Sio kila unaloona au kusikia kwa watu lazima uliishi.

Kuisha na mtu (Haswa Mwanamke) Kunaitaji taaluma ya juu sana, Sio ya kidunia bali ya MUNGU"
 
Back
Top Bottom