Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

The truth always comes out it woz jst a matter of tym....leo mambo hadharani
[emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] haya bwana...!

sina cha kunena miye...!!

wajua ukweli wa mtu anaujua mtu mwenyewe
 
Ukiuona ubavu wangu uchukue tu huu mtamu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nipe radha ya wakwako ukoje ili nisjuitie
 
Kama unahusika!!
Ni kipi hasa kilicho/kinachokuzuia usioe au usiolewe mpaka sasa...
Ujue kwenye uwanda wa mapenzi kuna vigezo vingi, ikiwemo mtu sahihi, kipato, mazingira halisi ya mlengwa n. K,
Hivyo kuoa ama kuolewa watu wengne huchukulia Kama sehemu ya kujikwamua kiuchumi, ndio maana unaweza ukampenda binti lkn ukitaka kutangaza nia anakuuliza ama unaulizwa na wazazi wake umejipangaje kuishi Na binti yetu, ama una nini (vitega uchumi), hivyo hili n swali gumu Sana kulijibu
 
Back
Top Bottom