Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Yaan..jaman nimesoma tu page 1 lakini nimejikuta nacheka kwa sauti sana..khaa..watu mnajua kkikoment jaman...
 
Boyfriend hajawahi hata kutania kuhusu ndoa
Leo usiku mchomekee kuhusu ndoa akichomoa nipm mimi, maana mwanaume akiwa katikati ya tendo ukimwambia chochote atajibu yes si unajua kichwa cha juu huwa kinazima kabisa cha chini ndo huwa kinafanya kazi .
 
Hiv kuoa nako nililazima nakaribia kugonga 30 hata sina wazo...ubachela rahaa sanaa aisee,
 
Huwa Napata ukakasi sana ninapoona hilo swali hapo juu..! Hivi wazazi huwa wanataka Mjukuu ama Mtoto wao Aoe.? Yaani kipi cha muhimu Mtoto ama Ndoa.! Seriously mm naona kuwa na mtoto na wazazi wangu kuitwa Gran (Mom&Papa) ndo kina umuhmu sana kuoa mmhh may be mawazo yabadlike huko mbele
Utakua SINGLE PARENT wewee....
 
Back
Top Bottom