Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

mahali hapa naweza pata embe dodo kwenye mchongoma ngoja nivute kiti nikae kabisa aise
 
Bado Tunasoma wengine... Na Umri Bado hujatimia.. tupo kwenye 20s. Tukifika 28-29 Nitaoa Kwa Kweli
Anza maandalizi mapema..wakati nipo kwenye umri wako hata mimi nilikuwa najisemea hivyo hivyo..ila saizi nipo 30's mambo bado bila bila!!
 
Ndio maana naona umeganda hatuendi next step kumbe bado unatafuta?
Ameganda kama yule boyfriend wako ambae alikuwa anakuja kula gheto kwako halafu hachangii chochote kila kitu unanunua wewe!![emoji1]
 
Ameganda kama yule boyfriend wako ambae alikuwa anakuja kula gheto kwako halafu hachangii chochote kila kitu unanunua wewe!![emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu mbona unafukua makaburi ya zamani mtu nlishamsahau hata sura yake inafananaje
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nipe radha ya wakwako ukoje ili nisjuitie
Utakaoupata ukiona una ladha ya faru John ndiyo huo huo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mimi nina file na historia ya mapenzi ya kila mmoja hapa JF![emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we noma ila sio kila mmoja...huwezi kujua habari za kila mtu utakuwa sio binadamu wa kawaida
 
Mkuu ya nini niangaike kufuga ng'ombe wakati nina uwezo wa kupata Maziwa na nyama muda wowote ninaotaka?!

Mimi binafsi sioni sababu yoyote ya kuoa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we noma ila sio kila mmoja...huwezi kujua habari za kila mtu utakuwa sio binadamu wa kawaida
Tupia jina/ID ya member yeyote wa JF ambae unataka nianike file lake hapa mkuu![emoji1]
 
Back
Top Bottom