Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,740
Nakupenda mkuu,kama vipi tulianzishe!.....na tukilianzisha hakuna wa kutusimamisha!kumbe sijaolewa hadi leo?
Nakupenda mkuu,kama vipi tulianzishe!.....na tukilianzisha hakuna wa kutusimamisha!kumbe sijaolewa hadi leo?
siko kabisa kwenye mahusiano
sina hamu na mwanamme bna .siwezi kukudanganya etiNakupenda mkuu,kama vipi tulianzishe!.....na tukilianzisha hakuna wa kutusimamisha!
Nakuhakikishia nitairudisha hamu yako dear!sina hamu na mwanamme bna .siwezi kukudanganya eti
sina kabisa hata kwa mbaliNakuhakikishia nitairudisha hamu yako dear!
Mbona juzijuzi ulikuwa kawaida kabisa?ni kitu gani kimekutokea?kuna mwanaume amekugegeda halafu akakudump??sina kabisa hata kwa mbali
Kama unahusika!!
Ni kipi hasa kilicho/kinachokuzuia usioe au usiolewe mpaka sasa...
Sawa ntajaribu mkuuAnza wewe
Ujue wengine tuna akili za kustulie
Mpige stater kdogo
Hahaaaa truebla hvo utabak kupokea tu cad za wenzio
Hahaaaa nyie ndio wale waleTunda n tamu hebu npe mm hyo nafac nitangaze ndoa mapema before hata cjala tunda
nkinki meku okisambo...
nomsuko mcho.
Bado hujapata mwanaume tu?Elimu na mafanikio madogo nilionayo wanaume wanaogopa
Unacheka maumbile yangu?teh teh teh teh😀
Asantehongera sana