Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Upatikanaji au kusex bila tabu ndio kunafanya watu wasioe/kuolewa laiti kama ingekuwa kuna kizuizi kuwa no marriege no sex wote tungeoa kinachofanya tusahau kufuga ng'ombe ni kwakuwa bila hata kufuga maziwa tunakunywa.
Among of the good reason.

Mkuu hiki ndicho kizuizi chako pia?
 
IMG_1484045489.213810.jpg
 
Nadhani hili swali lingetamka kabisa ni kuanzia umri gani ndio walengwa? kwani wenye miaka kumi na nane mpaka ishirini na tano hawatokuwa na sababu nzito saaaana kulinganisha na wenye thelathini mpaka arobaini.
 
Back
Top Bottom