Michael Martin mganga
New Member
- Aug 31, 2023
- 2
- 1
Kweli lazima umuulize dareva why unaendesha gari uku umelewaMtazamo wako huu unanikumbusha hivi majuzi tukiwa safari huku tukiendeshwa na dreva ambaye kiukweli alikuwa amelewa pombe!
Kwakuwa watu walimwamini hawakutaka kumtilia shaka japo wakati mwingine aliendesha gari isivyo sawasawa, yaani aliendesha kwa kasi kubwa sana au wakati mwingine kupunguza kabisa mwendo!
Huzuni ni kwamba, watu wengi wanahofu ya kumueleza ukweli dreva, hata kama wanaona chombo kinaendeshwa isivyo sawasawa!
Nchi ni yetu sote!