Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Mkuu Heshima mbele, shughuli zimenizidi lakini ninachungulia kwa pembeni, na nitadrudi jumla jumla karibuni!
 
..nimesoma sehemu cuf wanasema wamewashtukia chadema!

..sasa hapa kuna mshikamano kweli?

..halafu ndo baadhi ya watu wanaongea kuhusu 2010!
 
Well, zitaandikwa makala ndeeefu lakini the bottom line ni kwamba upinzani na idea ya alternative path for our country inakwazwa na aina ya viongozi wa upinzani tulio nao. We are stuck between a rock and a hard place. We may have monsters running the government now, but the type of the opposition we have now would be disastrous.

Here is my take of those at least making the news:

Ibrahim Haruna Lipumba – the only serious chap in the pack, but the real CUF power resides in Zanzibar therefore Maalim Seif, a decent and honourable man by the way, is the real broker. The good Prof. is simply being used. He is of better use in the lecture hall.

John Momose Cheyo – a delightful and jolly chap whom I would rather have as a beer buddy, but not my commander in chief. He squandered his riches in profligacy (due to poor education I reckon) and drove UDP, with a potentially strong Sukuma constituency, into a fringe party. You know what I would love to see replayed? His shouting match with Amani Jidulamabambasi. Priceless!

Augustine Lyatonga Mrema – His transformation from the most feared man in the country to a frail wisecrack was sad to watch. I would rather see him acquire a spot in the Ze Comedy.

Joseph Mbatia – Mbatia who?

Christopher Mtikila – lawsuit anyone?

Freeman Aikaeli Mbowe – the transformation from a lazy BOT receptionist, to a Disc Jockey, to a heavily indebted struggling businessman, to a Commander in Chief of the Armed Forces of the United Republic of Tanzania would be one for the history books. His efforts to master Thomas Hobbes, as a way to propel the transformation, is delusional. Intellectualism and leadership cannot be feigned. A love affair with colonialism and slavery is not what the people of Tanzania want in their leader. How about a chat with Rashid Kawawa, Aboud Jumbe, Abdalla Natepe, et al – to appreciate, for better or for worse, what this country is made of.

In the end, I think the idea ya Wachina kuandaa viongozi toka mapema is brilliant hata kama it is boring kwasababu it is predictable. Sisi tunabahatisha tu...hata DJ, baada ya kuwaona wacheza disco wenzake wanakuwa Mawaziri, ndio inakuwa motivation yake kuingia siasa na anataka kuwa Rais. This is a disaster for our country, I am telling you.

Hey! kumbe mambo yenyewe ndio hivi, makubwa basi....
 
Hey! kumbe mambo yenyewe ndio hivi, makubwa basi....

Ngojeni niwape umbea

Leo DCI Manumba ametumwa atangaze kuwa atafuatilia kauli za Mbowe na hata za Zitto kwa kuwa zinachochea uvunjifu wa AMANI.

Ukistaajabu ya Masatu utaona ya Manumba.

Hehe hehe heeeee nicheke mie

Asha
 
Asha,

Wakifanya hivyo watampa Zitto sifa kubwa zaidi ya alizopata sasa.

Polisi wakae pembeni, haya ni mapambano ya fikra na wala sio ya bunduki.

Politics is war by other means.
 
Asha,

Wakifanya hivyo watampa Zitto sifa kubwa zaidi ya alizopata sasa.

Polisi wakae pembeni, haya ni mapambano ya fikra na wala sio ya bunduki.

Politics is war by other means.

Lakini jamani Mbowe taratibu na maneno yake...anajua kuwa CCM wana hasira na the whole Zitto issue sasa hizi kauli zake zitakuja kuwa sababu ya CCM na serikali yake kuzusha makesi
Maneno anayotumia yanaelekea kukidhi matakwa ya kosa la 'uchochezi' na 'uvunjifu wa amani' tumeshuhudia Mtikila na wengine wakipelekwa mahakamani kwa kauli nyepesi zaidi ya za Mbowe
Namshauri Mbowe akiwa jukwaani asipandishe mori, awaeleze wananchi point baada ya point wataelewa tu, after all wameshaelewa, yeye anaongezea tu
 
Ukweli unauma na kama CCM wanataka kufanya another political blander ni kwa kumtaka Mbowe akae kimya ,hili litafungua ukurasa mpya kwa watanzania,.

Nasubiri kuona tamko lenyewe kwanza.
 
Mpaka Kieleweke,

Sidhani kama CCM wanajadili mambo ya matamshi ya Mbowe au Zitto.

Inawezekana Manumba ameambiwa hivyo lakini kweli sidhani kabisa kwamba kamati ya CCM itakaa kujadili jambo kama hilo.

CCM wanafanya makosa lakini pia sio wajinga sana. Nafikiri wanajadili juu ya mambo ya uchaguzi wao.
 
There is no opposition in this country,nor will it be there for another 100 years.
The atitude of the ordinary Tanzanian is unpredictability in most of things we do.We are never certain of what we really want.

Players in opposition politics are good only when we see them on stages once they go we go back to our old thinking.During the campaign we get carried away by the colourful ruling party sponsored music groups ,dancing boys and beautiful girls,free T shirts ,a little salt and we forget everything about the other side.
If you stop an ordinary Tanzanian on the street and ask him or her on say what he or she knows about the government,or the constitution probably 90% will say they don't know or care.
It is through forums like JF we find a limited number of people who know how things should be and what leadership is etc. etc.
In this country no opposition leader however smart he may be can win the presidency.thre is no way also we can have 40 or 50% of MPs from the opposition.People are just not knowledgable enough and for the CCM is the father and mother.How do you go against your Dad or Mom?So the condition in the country is not yet ripe for changes.We are still very far away from the reality of a true democracy as we have been groomed for a long time to be like what we are today.ndoho taabu...
 
Ngojeni niwape umbea

Leo DCI Manumba ametumwa atangaze kuwa atafuatilia kauli za Mbowe na hata za Zitto kwa kuwa zinachochea uvunjifu wa AMANI.

Ukistaajabu ya Masatu utaona ya Manumba.

Hehe hehe heeeee nicheke mie

Asha

Taratibu Bibie...
 
There is no opposition in this country,nor will it be there for another 100 years.
The atitude of the ordinary Tanzanian is unpredictability in most of things we do.We are never certain of what we really want.

Players in opposition politics are good only when we see them on stages once they go we go back to our old thinking.During the campaign we get carried away by the colourful ruling party sponsored music groups ,dancing boys and beautiful girls,free T shirts ,a little salt and we forget everything about the other side.
If you stop an ordinary Tanzanian on the street and ask him or her on say what he or she knows about the government,or the constitution probably 90% will say they don't know or care.
It is through forums like JF we find a limited number of people who know how things should be and what leadership is etc. etc.
In this country no opposition leader however smart he may be can win the presidency.thre is no way also we can have 40 or 50% of MPs from the opposition.People are just not knowledgable enough and for the CCM is the father and mother.How do you go against your Dad or Mom?So the condition in the country is not yet ripe for changes.We are still very far away from the reality of a true democracy as we have been groomed for a long time to be like what we are today.ndoho taabu...

Defetist minds like these are the real reasons.....inanikumbusha ya Baraka Obama na oppresed mentality za kuwa America is not ready for a black president, na chimbuko lake ni kwa wamarekani weusi wenyewe...

Tanzanianjema
 
Kutokana na wingi wa vyama vya siasa kuwa vingi na kusababisha kutokea wagombea wengi wa nafasi ya urais na kupelekea kupungua kwa idadi ya wabunge wa kambi ya upinzani,Je viongozi wa vyama vya upinzani ngazi ya taifa wabadilishe mtizamo na uwe wa kutafuta idadi kubwa ya wabunge na wao wote kuacha mgombea mmoja wa nafasi ya urais na wengine kwenda kugombea ubunge, je hili litasaidia kuongeza idadi ya wabunge wa kambi ya upinzani na kuipa serekali changamoto na pengine kusaidi taifa kwa ujumla?
Waungwana naomba kutoa hoja.
 
•
CCM yatamba kwenye udiwani



*CHADEMA yafurukuta Songea, TLP Arusha

Na John Daniel, Dodoma

KATIBU Mkuu wa CCM Bw. Yusuph Makamba, ameubeza Muungano wa vyama vinne vya Upinzani, akisema ni sawa na wagonjwa dhidi yakwani utasambaratika wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.

Amesema Muungano huo pia ni sawa na paka watatu ambao wakiwekewa panya mbele kila mmoja atataka kumla bila kujali kuwa ni kitu kimoja hivyo kuishia kugombana wao kwa wao.
Bw. Makamba alisema hayo jana mjini hapa wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matokeo ya uchaguzi wa udiwani katika kata 14 ambazo alitamba kuwa CCM imeuaibisha muungano huo kwa kunyakua kata 11.

“Kuna Muungano wa Vyama vinne vya Upinzani vya CUF, CHADEMA, TLP na NCCR-Mageuzi, lengo la Muungano huo ni kuing’oa CCM madarakani na juzi wamefanya majaribio ya kuachiana kata katika uchaguzi wa kata 14, lakini awali katika kata 16 walikuwa na viti sita lakini sasa wameambulia viti vitatu tu kati ya kata 14, tumewashinda sana," alitamba.
Katibu huyo ambaye aliainisha kata zote 11 ambazo CCM imeshinda na zile tatu zilizochukuliwa na wapinzani alisema Watanzania bado wanakipenda chama chake tawala na kwamba kama mtu ana matatizo ni mtu na wala si chama na kutamba kuwa kitaendelea kutawala kwa kuwa kina sera zinazotekelezeka. Kuhusu tuhuma zinazotolewa na wapinzani dhidi ya viongozi mbalimbali wa Serikali na chama chake, alikebehi akisema hayo ni maneno yanayotokana na kukosa sera baada ya kuona kuwa za CCM zinatekelezeka na kugusa mahitaji muhimu ya Watanzania na kuwataka kwanza wao wajisafishe kabla ya kukinyooshea kidole chama chake.

“Wapinzani walisema sera za CCM hazitekelezi, sasa shule tunajenga, walimu wanajifunza, barabara tunatengeneza na mwakani tunaanza kila kijiji kuwa na zahanati, wamekosa cha kusema sasa wamebaki na kusema uongo na kashfa dhidi ya viongozi wa Serikali na CCM, rushwa, mara mafisadi. “Hata mwongo uwe na akiba ya uwongo wa kusema kesho, usimalize uwongo wote kwa siku moja, nawatahadharisha wapinzani, kuwa wamewachosha Watanzania kwa uongo, hata siku watakaposema ukweli hawataeleweka,” alisema Bw. Makamba na kuongeza:

“Wanasema CCM inachota fedha za Serikali wakati wao wanaiba fedha za ruzuku zinazotolewa na Serikali na kununua majumba yao binafsi, wanapokuwa jukwaani hawasemi hayo, wanasema tu mawaziri wa CCM, kila chama kinapata ruzuku ya Serikali, CCM inatumia vizuri kwa kazi za chama si kununua nyumba za watu binafsi kwa sh. milioni 40,” alisema Bw. Makamba.
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa CCM alisema maandalizi yote yamekamilika na kwamba kinachosubiriwa sasa ni wajumbe kuwasili na kwamba jumla ya wajumbe 1,969 (sasa ni 1,968 baada ya Bibi Salome Mbatia, kufariki dunia hivi karibuni) wa mkutano pamoja wageni waalikwa 550 wamealikwa wakiwamo 60 kutoka nje ya nchi, viongozi wa vyama vyote vya siasa, waasisi wa CCM, viongozi waastafu na wageni wengine.

“Mwaka huu tumejiandaa vya kutosha, kila mjumbe atapata mashati mawili sawa na muda wa kikao cha siku mbili, hoteli zote tulishalipia tangu mwezi wa nane, nyumba tatu mpya zimejengwa kwa ajili ya viongozi wakuu, wastaafu na waasisi na viongozi waalikwa, hata wajumbe wakifika leo, mkutano unafanyika,“ alitamba Bw. Makamba.

Alipoulizwa kama Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wamealikwa kushughulikia tatizo hilo katika Mkutano huo alisema “wewe (Mwandishi) kazi yako nini...na wale kazi yao ni kushughulikia rushwa popote wanapohisi kuna rushwa wanakwenda si lazima waalikwe".

Kuhusu malalamiko yaliotolewa na baadhi ya wana CCM ya kuwapa vyeo wanaohamia chama hicho kutoka kambi ya upinzani alisema hilo si tatizo na kwamba hata Mwislamu akiokoka na kuingia Ukristo, anaweza kuwa Mzee wa Kanisa ili mradi awe na uwezo.

Naye Cresensia Kapinga anaripoti kutoka Songea, kuwa mgombea udiwani katika Kata ya Majengo mjini hapa kwa tiketi ya CCM, Bw. Alfani Kigwenembe, amebwagwa na mgombea wa CHADEMA, Bw. Iddi Ibrahim Abdalah, aliyeibuka kidedea kwenye uchaguzi mdogo.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo juzi saa 5 usiku huku mamia ya wakazi wa manispaa ya Songea wakiwa wamelizunguka jengo la SACCOS ya wafanyakazi wa halmashauri ya manispaa ya Songea ambamo shughuli za kuhesabu kura, zilikuwa zikifanyika, msimamizi wa uchaguzi, Bw. Edgar Belege, alisema wapiga kura waliotarajiwa walikuwa 3,754 kati yao wanawake wakiwa 1,948 na vituo vilivyopangwa kupigia kura vikiwa 10.

Bw. Belege ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea, alisema katika uchaguzi ambao ulianza saa 12 asubuhi, ulifanyika vizuri na kwamba matokeo ni Kwamba Bw. Kigwenembe alipata kura 554 na Bw. Abdalah kura 1,015 na hivyo kutangazwa kuwa mshindi.

Alisema pamoja na ushindi huo, Bw. Abdalah hatua ya kwanza atakula kiapo cha kuingia kwenye Baraza la Madiwani ambalo linatalajiwa kufanyika hivi karibuni na kuwa mpaka mchakato wa uchaguzi unamalizika hakukuwa pingamizi kutoka kwa mgombea aliyeshindwa.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutangazwa mshindi, Bw. alisema ushindi alioupata ni matokeo ya udhaifu wa CCM kwani awali aliomba kugombea udiwani kwa tiketi ya CCM kwenye kura za maoni, wakambwaga na kudai kwamba yeye ni 'bata' asiyeuzika lakini CHADEMA wakaridhika naye na kumteua kugombea.

Alieleza kukubali kuwa mwakilishi wa wananchi wa Majengo kwenye Baraza ambako atakuwa mtetezi katika kuchochea maendeleo ya kata hiyo na si kukimbilia kutafuta maslahi binafsi ambayo hayanufaishi wananchi ambao ni wapiga kura wa kata ya Majengo.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Bw. Joseph Fuime, alisema ushindi wa udiwani wa kata ya Majengo, ni mvua za rasharasha na kwamba kwa sasa CHADEMA inajipanga kuchukua nafasi nyingine za udiwani wa kata zingine ikiwa ni pamoja na ubunge wa jimbo la Songea Mjini.

Aidha, matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata za Muwesi na Malumba wilayani Tunduru, CCM iliibuka kidedea, ambapo katika kata ya Muwesi, Bw. Nurdini Nolela alipata kura 1,140 na kata ya Malumba Bw. Msenga Saidi alipata kura 1,557.

Naye Glory Mhiliwa, anaripoti kutoka Arusha, kwamba CCM katika manispaa ya Arusha kimebwagwa na Tanzania Labour Party (TLP), katika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya Sombetini uliofanyika juzi.

Kabla ya kutangazwa matokeo ya jumla ya uchaguzi huo, TLP tayari ilishabaini kuwa mgombea wao amenyakua kiti cha udiwani wa kata hiyo, hivyo kuanza shamrashamra kushangilia kuibwaga CCM.

Shamrashamra hizo zilisababisha vurugu kubwa baada ya aliyekuwa mgombea ubunge wa TLP, Arusha, Bw. Godbless Lema kupigwa na Polisi.

Pia wafuasi wa TLP katika vurugu hizo, walipigwa na mabomu ya machozi na Polisi kwenye kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Sombetini, ambako kulikuwa na vurugu.

Vurugu hizo zilianza saa 12 jioni, kutokana na wafuasi wa TLP na CCM kuanza kurushiana maneno ya kejeli na polisi kufika katika kituo hicho na kutumia mabomu ya kutoa machozi kutuliza vurugu.

Hata hivyo, licha ya tambo na shamrashamra za wana CCM kujihakikishia kuchukua kata hiyo kwa madai kuwa ni chama tawala kisicho na upinzani,TLP iliibuka kidedea kwa kura 42.

Akitangaza matokeo hayo jana jijini hapa, Msimamizi wa Uchaguzi wa manispaa ya Arusha, Dkt. Job Laizer, alisema Bw. Chemu Mawazo wa TLP aliibuka mshindi baada ya kupata kura 1,515 na mpinzani wake kutoka CCM Bw. Fabian Muhindi kupata kura 1,473.

Dkt. Laizer alisema katika uchaguzi huo, kura 2,988 zilipigwa sawa na asilimia 13 ya watu waliojiandikisha ambao walikuwa ni 22,149.

Alieleza kuwa katika uchaguzi huo, kura 49 zilikataliwa na wapiga kura waliojitokeza.

Upinzani katika kampeni zake ulitumia silaha za kashfa kuhusiana na mkataba wa Buzwagi na tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa Serikali.

Hata hivyo, baadhi wa wana CCM wa wilaya ya Arusha, waliwatupia lawama viongozi wa CCM ngazi ya wilaya, kwa kukaidi maoni yao ambao tangu awali waliutaka uongozi huo kuwa makini katika uteuzi wa wagombea.

http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=4371


sasa hili la kuiba pesa za ruzuku si ufisadi eeh?

haya tuchambue ripoti ya mkuuu makamba.

mwaka huu utaisha kwa kilio kwa ndugu zetu hawa.
 
mnyika njoo huku utujibu vyema kuimarika kwa upinzani unakokuzungumzia.

"Kuna Muungano wa Vyama vinne vya Upinzani vya CUF, CHADEMA, TLP na NCCR-Mageuzi, lengo la Muungano huo ni kuing'oa CCM madarakani na juzi wamefanya majaribio ya kuachiana kata katika uchaguzi wa kata 14, lakini awali katika kata 16 walikuwa na viti sita lakini sasa wameambulia viti vitatu tu kati ya kata 14, tumewashinda sana," alitamba.


unasemaje kuhusu maneno ya mh makamba haya hapa?
 
mnyika njoo huku utujibu vyema kuimarika kwa upinzani unakokuzungumzia.

“Kuna Muungano wa Vyama vinne vya Upinzani vya CUF, CHADEMA, TLP na NCCR-Mageuzi, lengo la Muungano huo ni kuing’oa CCM madarakani na juzi wamefanya majaribio ya kuachiana kata katika uchaguzi wa kata 14, lakini awali katika kata 16 walikuwa na viti sita lakini sasa wameambulia viti vitatu tu kati ya kata 14, tumewashinda sana," alitamba.


unasemaje kuhusu maneno ya mh makamba haya hapa?

Mtu wa Pwani:

Na wewe humjui makamba? anaweza kusema chochote!

Ataje basi hizo kata 6 kati ya hizo 14 ambazo zimepigiwa kura ambazo zilikuwa chini ya upinzani! Nijuavyo mimi kati ya kata 14 zilizopigiwa kuwa juzi sio sita ambazo zilikuwa chini ya CHADEMA, TLP, CUF na NCCR Mageuzi. Hii pekee inadhirihirisha upotovu wa habari yenyewe.

Some people can be fooled for sometime, but not all the people all the time.

Time tells

Unganisha hii thread na ile nyingine ambayo nimeshatoa ufafanuzi kuhusu hayo matokeo yanamaanisha nini katika kukua kwa upinzani kutokana na ushirikiano. Kule kuna majibu pia ya kitila.

I am out

JJ
 
Mtu wa Pwani,
Kweli na kusikitikia sana, sijui kama wewe unaona Makamba ni mtyu makini, na sijui kama kwako kipi kiko mbele, maslahi ya viongozi watu wachache wa CCM au maslahi ya taifa. Unadhani hizo tuhuma za mabilioni yaliyochotwa ni sifa kwa CCM? Sasa hivi uchunguzi unaendelea yeye Makamba ambaye nina hakika hajui loop holes za grand corruption, anasema mbele za watu tena bila hata aibu waongo, je ikijathibitishwa nani atakuwa mwongo.
Labda utueleze kama wewe pia ni beneficiary wa hiyo mipesa, au ni shabiki tu wa kama yangu na Simba. Nasikitika kuona kuwa wewe unaona maslahi ya watu wachache ndani ya CCM yana maana zaidi kuliko maslahi ya taifa. Lakini unatakiwa ujue kuwa kuna watu wa maana nadni ya chama chako ambao wanaupinga uchafu huu kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom