Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,013
- 3,066
chukua mluguru hapo
ha ha haaa...hiyo huwa tunaita Mbegu fupi....
chukua mluguru hapo
Yani.. yani... yani... yani kabisa yani yani yani kweli kweli kweli kabisa haika yuko hifi kwelyi??
View attachment 82219
hahahahaha kijana kapatia haswa hapo kwa wanyakusa na wachaga
nyingine sina uhakika nazo ila hiyo ya kichaga kapata VEMA,TICK,
sasa naanza kumkumbuka Mama Lyimo jirani.....yani alikuwa bouncer. Kweli wachaga noma!
Naweza kukubaliana na hiyo ya wachaga tu
Bwahahahahhh!Fine.......hata kama tuko hivyo mlivyotuchora......mnaonaje mapigo yetu.......hapana chezeya sisi......
Hata hapo kwenye lugha hawajawasiana, maana sana sana pana kimachame na kimarangu. Sijaona kimkuu, kimashati, kiseri, kiuru, kikisho wala kioldimoshi
Asilimia 90 ya wanajamvi wanakubaliana na picha ya WACHAGGA!...
Kwahivo natoa Conclusive opinion kuwa wachaga generally wako na shepu hiyo.
Lakini pia kila aliyepita hapa ameona jinsi walivyoanzisha kilugha, japo hatujui walikuwa wanajadiliana nini, lakini kurudi kwenye kilugha inaonyesha retreat na kuwa WAMEPIGWA IKULU palepale kwa MANGI SINA!
Wow,onene kokaya kisesa!!!
Mrombo wa wpi mkuu... mengwe, mkuu, mashati au tarakea?
kuna totozi za kichaga siku hizi sijui zimezaliwa wapi aisee! Ni watamu hata kwa macho, loh!
La forme du Haya c'est vraiment bien. . . J'aime beaucoup cette type du forme!
OMG! Asije akawa mke wangu... maana nimeoa hukoAlikuwa akitaja taja jina kama Shimbi Kati hivi, ila sikumbuki vizuri, kwa kuwa sijafika huko. Ila kama wilaya ya Rombo ina jina hilo basi ni huko huko! Nisingependa sana kujadili hilo kwa kuwa huenda anasoma thread hii, kwa sasa ni mke wa mtu, ila she was good at it!
OMG! Asije akawa mke wangu... maana nimeoa huko
hahahaha hiyo kali....ila hiyo ya wachaga kusema kweli ina ukweli...wachaga miguu hawana kabisaaaaaaaaaa!!!!!
Na kwa msitari huo WAHAYA wako juu ka kishada...wamepimwa wakapimika!...huh!
.hahahaha hiyo kali....ila hiyo ya wachaga kusema kweli ina ukweli...wachaga miguu hawana kabisaaaaaaaaaa!!!!!
wachaga wa wapi labda? maana tupo wengi
wachaga shapeless sana,lkn kama we ni fun wa kuchezea boobs hapo ndo penyewe.
wachaga wa wapi labda? maana tupo wengi
lakana nao mashka yaani oo nkanu lazima walurere shimaa mba lukunde nnu aa nkyoki??