Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Achana nao, mashaka ya nini!

Poleni sn gfsonwin, naona hii kitu imewaboa sn wachagga, maana inaonyesha kuna ushahidi wa mazingira mwingi unaojaribu kuthibitisha kuwa mko hivo.
Msiumie, just walk head-high with that.

hahahahha! PJ umewah kuniona?? sina mashaka ya kwamba niko hivyo, manake najiamini kwamba am also among the most beautiful woman although at my late 30's. na katika familia na ukoo wetu hakuna walioko hivyo. kinachoboa mm ni kwamba kila siku nyuzi lazima ziwaseme wachagga na hata tuko alitaka kuwasema wachagga ila akapitia mlango wa nyuma.

najivunia kuwa mchagga.
 
Halafu wewe..........subiri......
 
Jamaa amefanya research vizur, lakin kama co mhaya basi amechemka kidogo kwa upande wa wahaya,
 
Maana angekuwa fea angechora makabila yote

View attachment 82179

Eti ndugu wanachi.... Hii ni sawa?

To some extent Yes. Ila wahaya, wamakonde, wamwera, wanyiramba, wanyaturu, warangi, na baadhi ya makabila ya Arusha wana shepu za kufa mtu. Wanyakyusa, wapare, na wachagga ni shapeless. Utakufa aidha kifua kikubwa miguu membamba, meno meusiiiiii, au juu kukubwa chini kudogo ila sura nzuri, yaani basi tu.
 
Mkuu, mbona hii mada ilishfungwa

Hivi kwanini unapenda kuumiza mioyo ya wenzako??? wengine tumeoa kwa Shirima:doh::doh::doh:
 
lyo lee wamama wengi wa mushi watiri shape iyo lyo! au nyinso wa uru na mbeke eto waneee?

ndede nkwe, lakin ewa mbwalya wa kasha we kutuyaa mso a uru na mbekye. ewaa wa siku iti lee mbakee wesha dede.
sha eny yaandi ol!! hahahhah!
 
ahaaa kwa! ebi shiwikwa picha yaa te ma! ata en iruwa eshekya lyo ndwu da ike shi nini? shikefanya diet shiwe sha muhaya yoo picha ei yaa avatar yako le nyako dede ahaaaa!
 
Mkuu, mbona hii mada ilishfungwa

Hivi kwanini unapenda kuumiza mioyo ya wenzako??? wengine tumeona kwa Shirima:doh::doh::doh:
tatizo watu wanatupenda wachaga sana ..hamuwezi kulala bila sisi
 
ahaaa kwa! ebi shiwikwa picha yaa te ma! ata en iruwa eshekya lyo ndwu da ike shi nini? shikefanya diet shiwe sha muhaya yoo picha ei yaa avatar yako le nyako dede ahaaaa!

enyi mbo shiiishi sheelyi picha yei nyafo na kwifoo nkonu shekwiiya kwalema kukumbuyee??
 
yangu hii
541608_604577336225212_524530360_n.jpg
 
hahahahha! PJ umewah kuniona?? sina mashaka ya kwamba niko hivyo, manake najiamini kwamba am also among the most beautiful woman although at my late 30's. na katika familia na ukoo wetu hakuna walioko hivyo. kinachoboa mm ni kwamba kila siku nyuzi lazima ziwaseme wachagga na hata tuko alitaka kuwasema wachagga ila akapitia mlango wa nyuma.

najivunia kuwa mchagga.

mwenyewe ameoa mchaga.................umbo la kipekee ndio maana wakimbiliamo
 
Back
Top Bottom